Ukweli ni kuwa Uwepo wa chenge kama Mwenyekiti wa Bunge ni kejeli kwa serikali kuwa itapambana na ufisadi. Kama kinara wa madili ya mali za umma ndiye mwenyekiti, watanzania wategemee nini? Naamini shetani na Mungu hawataweza kuwa na shabaha moja kamwe. Namkubali sana Dr JPM lakini uwepo wa...
Tatizo lako unataka wafikiri kijinga kama wewe. Wakati Zitto aliposimamishwa Bunge kwa tuhumu za Buzwagi watu kama ww walimwona hana akili lakini mda mfupi ukweli ukajulikana MUNGU akathibitisha ukweli mbele ya wanafiki. Lakini ipo siku utatambua lengo la Wabunge wa ukawa kutoka nje ya Bunge...
Ni aibu kuonataifa la kidemokrasia kama Tanzania kuanza Kuhujumu watanzania kupata habari za wale waliowatuma kuwawakilisha. Matangazo ya bunge ni kioo cha kutuonesha kama kweli wanatimiza wajibu wao au wameenda kulala ili kufanya maaumzi tena ya kuwachagua au la. Ajabu ninaiona ni kwa wabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.