Search results

  1. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Kwa leo inatosha. Fake ID mnajua nyie vijana, sisi tuko humu ndani wakati hujaota hata mavuzi. 😁😁 Fungua thread nyingine ya Kipara tutaendelea.
  2. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Usimumshe asiyelala. You think you are important hadi unajidillusion kwamba Waziri wa Foreign Affairs wa Jamhuri ya Tanganyika atakuja kubishana na wewe humu 😂 Sasa tajiriiiii roho haikuchomi vipi wakati asubuhi mchana jioni TikTok we unamuongelea mtu mmoja tena kimbea na kipashkuna. Mi...
  3. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Maharage alikuwa boss wa DStv Africa. Sio bongo
  4. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Bwana TikTok umekaa ukajiaminisha kabisa mimi Waziri wa mambo ya nje. 😂😂. Kweli akili yako fupi, hata nyakati husomi. Halafu you don't think it's homosekshuo behavior kuongelea mwanaume mwenzako anamkaza nani, chalii jifunze etiquette kidogo 😭 You are obsessed na JM. Pole boss, roho...
  5. S

    Tutahakisha Makamba anawajibika kwa madudu aliyofanya TANESCO akiwa hukohuko Mambo ya Nje

    Labda kwa nini usianze na kututajia MAKOSA yake haswa. Maana naona kama hisia tu zinakuongoza. Kila siku mnafungua thread za Makamba, kumbe ndio mnampaisha vilaza nyie.
  6. S

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Wamefeli kukutia mimba au? 😅😅
  7. S

    Makamba na Maharage hawapo, sasa tuone kama matatizo ndani ya TANESCO yatafika mwisho

    Kuongeza grid Kigoma na Migodini ni kuharibu? Kuunganisha wateja laki tano kwa mwaka ni kuharibu? TANESCO kutengeneza faida mwaka jana ni kuharibu. Mshirika wenu kwa mara Ya kwanza at least unaendeshwa kisasa nyie mmeleta wanajeshi 🤣🤣
  8. S

    Makamba na Maharage hawapo, sasa tuone kama matatizo ndani ya TANESCO yatafika mwisho

    Mkuu samahani labda utuelezee hata ufisadi mmoja tu uliofanyika
  9. S

    Kama maharage ndio anamiliki call centre ya TANESCO akae pembeni kabla Waziri Biteko hajafika

    Hii ni hadithi ya kutunga, ikiwa na lengo maalumu la kuwachafua watajwa hapo juu kwa faida ya mchafuaji,. Hujaweka kielelezo hata kimoja cha au chanzo cha kuaminika cha habari zako. Siku moja watu watasue Jamii Forum kama platform for allowing idiots to post this nonsense. 😂😂. Liable
  10. S

    Maharage ana uwezo kweli kuendesha shirika la kitaalam kama TANESCO?

    Kwa utashi huu wa kufikiria Tim Cook CEO wa Apple inabidi awe fundi simu kwanza. Amueni kama taifa, Tanesco liendeshwe kibiashara, then u need hao bankers etc. Kama Tanesco iendeshwe kama SUKITA then weka hao maInjinia wako. Thinking ya Mama Abdul makes sense. Make Tanesco Profesional...
  11. S

    Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

    Asingekuwepo Inchaji, watu tungemwagishana radhi. Alhamdulilah, Mungu sio TikTok2020 😁
  12. S

    Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

    Utafungua uzi kuhusu JM mpaka uchoke, ndio kwanza sasa hivi ni country top top Diplomat Bwa Mdogo. Na bado.
  13. S

    Waziri Doto Biteko kapelekwa Nishati kuangushiwa jumba bovu

    Wacha kuchonga ngenga tuliza kipago, JM yupo Gado. 😁
  14. S

    Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi

    Nadhani anafunguliwa uzi kwa sababu somewhat watu wanamuassociate na hiyo power. Na aliingia tano bora tayari. Pia Kampeni za CCM za mikakati na mbinu pia Makamba anafanya sana ambayo inamuongezea maadui. Hakuna bad publicity
  15. S

    Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

    Nimeziona. Kwahivyo utendaji wa Maharage Tanesco despite making the company profitable, vastly improving customer care, in short modernizing Tanesco to become corporate in a sense of can compete in the world unaishia kuwa judged na nguzo moja. Halafu nguzo za zege ni zama za jiwe kumbuka ndio...
  16. S

    Waziri Biteko, yatie chachu Maharage ya Chande yachache haraka

    Kwahiyo kupata matokeo chanya sio kipimo cha utendaji wa Maharage?
Back
Top Bottom