Search results

  1. KAPERO

    nini kinasababisha mwanaume kwenda round moja wakati wa kusex?

    SABABU KUBWA KUKOSA MAANDALIZI, NA PUPA WAKATIMWINGINE KWA SABABU YA PUPA HATA BABU ANAWEZA AKAZIMIA KABLA HUJAANZA MECHI. Pengine matumizi ya pombe sigara na mazingira pia. mazingira ya wizi kama huna uhalali na huyo unae shiriki nae, na hofu ya kupigwa chabo ni tatizo pia. hali ya hewa...
  2. KAPERO

    Kupenda bila kutamani

    Hapa kinachotangulia ni tamaa. kutamani huwa huanza kwa kuona kusikia kuhisi au kuwazia. na baadaye swala la kupenda au kutokupenda ni matokeo ya kile ulicho tamani. kwenye swala la mahusiano, mara nyingi hutokea matokea tofauti hasa pale unaposhindwa kuhimili baadhi ya tabia za...
  3. KAPERO

    Hilii la ajabu...

    kwani manii ni kama mkojo!? hebu jaribuni kufanya uchunguzi mjue manii hutengenezwa wapi. msidanganyike.. sio kazi ndogo kiwanda cha hiyo kitu mashine yake iko kichwani. hivyo sio kweli hayo myasemayo na kuyasikia.
  4. KAPERO

    Naombeni mnisaidie hili jambo

    hapa zipo mbili.. huyu anetaka kusoma sms za wenzake bila shaka ametumwa na CIA. SHUSHU WEWE AU WIVU TU.,! Haya sasa mimba.. Nawe ulijiachia mno usinge mpa bila kinga. sijui hata kama mlipima kabla.. pole sana ila Mungu ni mwema sana kama ukimtumainia Mungu utayashinda hayo ni mapito tu...
  5. KAPERO

    WIVU: Maana, faida na hasara zake

    Wivu ni kitu cha thamani kubwa sana.. ukikosa kuwa na wivu,, utakuwa umepungukiwa na upendo. bila wivu huwezi kujitahidi kuwashinda wenzako wivu ndiyo sababu kubwa ya maendeleo na mafanikio katika kila jambo.. hata wanyama na ngege pia wadudu wana wivu.. wewe binadamu mwenye utashi ukose wivu...
  6. KAPERO

    Kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na wakati umeolewa; ni tamaa au umalaya?

    kina mama wana siri kubwa sana kwenye haka kamchezo.. ila wengi wanaotoka nje ya mahusiano ni kwa sababu ya mapungufu mawili muhimu.. kwanza ni uchumi na pili ni kina baba kukosa ubunifu.. Napenda kuwaasa kina baba. jamani acheni uvivu wahudumieni wake zenu kwa bidii.. kibamia wala...
  7. KAPERO

    Kosa gani hutoweza kumsamehe mpenzi wako ?

    Akishindwa kuthamini na kuutambua upendo wangu.. out., siwezi kuwa na mpenzi asiye jali.
  8. KAPERO

    Nasaha Kwa kina dada:

    hawa wapo kazini. kila mtu huvaa kuendana na kazi aifanyayo.
  9. KAPERO

    Wanawake wanaipenda hii?

    kina dada wajanja sana siku hizi. akiona una mwelekeo wa kuoa na huku una sogeza kalenda, anaamua kukuachia ili aharakishe Ndoa. mimi yalinikuta hayo.. na kweli sikuwa na namna ilibidi nitangaze ndoa haraka kabla kitambi hakijapata umaarufu.. nilifnya sherehe ndogo na ya maandalizi mwezi...
  10. KAPERO

    Mwanamme kumuomba pesa mpenzi wake, imekaaje?

    pole sana mama. unajua, huwa kwa kawaida hutegemea mwanzo wenu ulikuaje. ikiwa kipato chako ni kizuri sana sio vibaya kumhudumia mpenzi wako.. ila jichunge sana isije ikawa umetana na kina papaa,, hawa wanaume wanao suka nyele na kutoga masikio.. hawa wanaodai haki isiyo patana na akili za...
  11. KAPERO

    Nampenda nisaidie jamani..!

    wewe mtoto wa shule. kwanza unataka kuikosea heshima shule.. mapenzi na shule ni sumu.. sasa sikia kijana. jitahidi sana kumchukia hadi uwe hutaki kumuona. hii ni nafasi ya kipekee umeipata. kumbuka kuwa wengi walioingia kwenye mapenzi wakiwa na umri mdogo wamepoteza yote. kila jambo lina...
  12. KAPERO

    Chupi imeleta kizaazaa

    bujibuji,... umenifanya nicheke sana. japo jambo lenyewe ni la huzuni..
  13. KAPERO

    Nampenda sana mpenzi wangu

    hongera zako. ila kuwa makini sana kwani ukizidisha kujiachia kwake anaweza kukuchukia mapema. kwa kuwa ameonesha wasiwasi asubuhi jitahidi sana kujiepusha na vitu vya kumuogopesha. au vinavyo weza kumuongezea mashaka. pia tahadhari pia ni muhimu kwako. wengi huanza moto sana na...
  14. KAPERO

    ndoa yadumu siku mbili tu!!!!!!!!!!!

    wanawake wengne wanakaa kwa waume wao kwa mateso sana. huenda dada kakuta kaka ana saizi siyo sawa. mimi nimewahi kusmuliwa na wenawake wawili juu ya wanaume ambao ni zaidi ya kawaida. na balaa zaidi wegine wanataka kukaanga vitumbua bila mafuta. hawana huruma kwa ile kitu. mzuka uksha panda...
  15. KAPERO

    Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

    mimi jibu ni [Yes] hapa bado. wakati wote nilijiona mkosaji. kila nikimuona nasahau hata nimsalimieje..nilijikuta nikiomba msamaha bila kosa. simu, niliweka mlimo wa peke yake. ilikua ikilia mapigo ya moyo yanakwenda kasi hadi mwili unakosa nguvu. wakati mwingine nilishindwa kupokea simu...
  16. KAPERO

    Hivi hili linawezekana likawa na ukweli jaman?

    Huyo jamaa alikua anampotezea muda dada wa watu. naamini kuwa huyo dada alikua amejishikiza kwa taabu sana. jamaa alipo mpa nfasi dada kaitumia vizuri.. hili kwangu ni funzo zuri sana wakuu, nahakikisha wangu simpi nafasi ya kusepa. jamaa ishakula kwake; mwambie atafute mwingine hapo...
  17. KAPERO

    Wadada hata Mkinichukia Poa tu

    Asanteni kwa mchango wa mawazo.. mimi naichukia sana sigara kwa wote. katika vitu vinavyo kera kwa harufu mbaya mdomoni,, cha kwanza ni bangi na pili ni sigara,, nawapa pole sana wavutaji..
  18. KAPERO

    Wanawake wenye sura nzuri na vioja vyao kwa wanaume

    pole sana,. usiogope.. ukweli ni kwamba. wanaume ndiyo chanzo na sababu inayowafanya hawa warembo wachanganyikiwe. kama wanaume wangepata ujasiri wa kuwapotezea wala wasingekua na shida.. hebu jaribu kuchunguza zaidi. utagundua ambavyo wanaume wengi wamepanga foleni kwa mlimbwende mmoja...
  19. KAPERO

    Ndiye yule yule, au?

    Sikuweza kutimiza ndoto yangu.. ila kwa hasira niliamua kumchukua Dada yake ambae wamepishana 2ys, ila mpaka sasa sijapona.. maana sitaki tena kumuona wala kumsikia.. hata akija kumtembela dada yake/mke wangu najitahidi sana kutokuwepo nyumbani ili nisionane nae.. ila nashukuru kwa namna...
  20. KAPERO

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Duuh!!! sikutegemea kuona mawazo ya namna hii. Kumbe hakuna mjanja Duniani, mko fit kwa maujanja wakuu.
Back
Top Bottom