Search results

  1. Snowpiercer

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    hateeb10 To observe Earth’s curved horizon, one must be at least 10,668 metres (about 35,000 feet) above its surface. Since the technology of ancient cultures was insufficient to allow people to reach such heights, the world around them appeared to be flat and stationary.
  2. Snowpiercer

    Anaetoa assist ya goli na mfungaji, yupi hufanya kazi kubwa?

    Uliwahi ona wapi swali la moja jumlisha moja sekondari!
  3. Snowpiercer

    Usiku wa deni haukawii kukucha, TANESCO tunawasubiri Februari 16, 2024

    And why 16th Feb, why not before or after! I mean why it is specifically on 16th Feb?
  4. Snowpiercer

    Kupenda ni mara moja tu, haya mahusiano mengine nikuigiziana tu!

    Hii weekend unalewa pombe gani hiyo, kila nyuzi unalia wewe tu!
  5. Snowpiercer

    Nimefika Newala salama

    Mtafute LIKUD akutembeze misele.
  6. Snowpiercer

    Sifa za Mashangazi Original

    Vipi mamiloo, je wewe umequalify sifa hizo!
  7. Snowpiercer

    Hapa nimenyimwa penzi, ninahasira sana

    Seems bado uko na foolish age, mfanye akutake yeye. Unapomtaka wewe akizingua usimsumbue, usisubiri mpaka wanaume tukwambie nini cha kufanya.
  8. Snowpiercer

    Gari za kununua South Africa Zimetembea Kms sio poa!

    Tabata-Posta kwenda na kurudi si chini ya 22 km kwa wastani, ungesema si chini ya km 100 hapo sawa na sio hiyo 30 yako.
  9. Snowpiercer

    Ogopa kilichomuua Samsoni

    Ku-discuss ushamba wa Manara ni kupoteza muda.
  10. Snowpiercer

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Morata sio Kagere 😅
  11. Snowpiercer

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

    Hizi ni kauli tu za ku-loosen/balance tension za uchaguzi kunako U.S.A
  12. Snowpiercer

    Usimpe hela Mwanamke ila fanya hivi

    Ngoja waje kukulaani
  13. Snowpiercer

    Nimeibiwa Ng'ombe 10 Kisiju

    Shida ni kwamba ulienda kuhesabu misikiti badala ya kufuata kilichokupeleka, wakaona wakunyooshe kwanza!)
Back
Top Bottom