Search results

  1. Hiphop

    Haki ya mtoto huyu wa nje ya ndoa ikoje?

    Taxbabe, mpaka sasa sijapata pia kusikia kwenye mahakama yoyote ile conflict ya aina hiyo imejitokeza, mpaka sasa case law iliyotajwa kwenye thread hii imekuwa ikitumika sana kuwanyima watoto wa nje ya ndoa haki ya kurithi, natamani nione hukumu itakayokuja na mtazamo tofauti ya mahakama kuu ili...
  2. Hiphop

    Haki ya mtoto huyu wa nje ya ndoa ikoje?

    Ni kweli juu ya Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 imeanisha kuwa mtoto wa nje ya ndoa anaweza kurithi, suala ni je, sheria hiyo mpya ina provision inayoonyesha kuwa vipengele vyote vya Sheria ya ndoa na sheria za mirathi vinayoonyesha mtoto wa nje ndoa asirithi vinafutwa?
  3. Hiphop

    Msaada kuhusu ununuzi wa hii nyumba

    kama ardhi ambayo nyumba hiyo imejengwa ipo ndani ya ardhi ya kijiji basi ipo chini ya usimamizi wa serikali ya kijiji, cha kufanya kwanza ni kwenda kwenye serikali ya kijiji ili kujiridhisha kama wanamtambua muuzaji kama mmiliki halali wa eneo hilo,ni vema pia ukapitia kwa majirani wa eneo hilo...
  4. Hiphop

    Stop the serengeti highway: Your opinion please!

    Habari wana JF, nimekuwa nikifuatilia habari za ujenzi wa barabara hiyo kwa kipindi kirefu sasa.Nimesikia maoni kutoka kwa wanamazingira,serikali ya tanzania na wananchi wa pande zote mbili(Mugumu-Musoma na Loliondo-Manyara) Nimepitia pia mapendekezo ya ramani ya barabara kutoka pande...
  5. Hiphop

    Vyuo 3 bora vya sheria Tanzania ni vipi?

    Unachosema hakina ushahidi wa kutosha maana kama source yako ni law school then itabidi ufanye utafiti upya coz hata mimi nimepita huko na nimeona uozo mwingi tu wa udsm wanaodhani wanajua sana sheria,ukweli ni kuwa imebaki historia tu coz ya kuwa chuo cha kwanza kutoa degree ya sheria nchini...
  6. Hiphop

    Kalapina ''nabii koko'' na maneno yake mmh!

    Hana jipya,Kikosi kilikuwa hai kipindi cha Hashimu Dogo sio sasa,Kalapina ni msanii mwenye njaa ndio maana amekubali kuwasujudia clouds fm ili apate show na kuendelea kusikika na watu.Kikosi cha mizinga kimebakiza jina tu Pina na Nasibu wanaendesha kundi kibabiloni ndio maana watu wengi...
  7. Hiphop

    Village land act 1999

    Kila la heri!
  8. Hiphop

    Toyota corolla for sale

    automatic
  9. Hiphop

    Toyota corolla for sale

    Habari za kazi wadau, nauza gari yenye details zifuatazo; Make: Toyota Model: Corolla Colour: Pearl Year of manufacture: 1999 Engine capacity: 1587 Odometer: 109700 Price ni Millioni Nane tu (8,000,000Tshs) Mawasiliano 0713700660
  10. Hiphop

    msaada wa I-phone

    wadau naomba msaada wa namna ya ku unlock application store ya i-phone version 4.1.
  11. Hiphop

    Hukumu yenye utata!

    FaizaFoxy ahasante kwa maoni yako, nilichokuwa najaribu kuonyesha hapa ni jinsi hiyo transmission ya land ilivyokuwa na impact kwenye ownership ya land. Hizi sheria mbili zinakinzana katika vifungu hivyo, wakati Land Act ikisema kuwa a foreigner cannot own land in Tanzania, sheria ya Land...
  12. Hiphop

    Sheria ya ardhi inasemaje?

    Eneo litakuwa la serikali mara baada ya taratibu za kuwalipa fidia kuwa zimekamilika, lakini pia kama wakazi mliokutwa na mradi hamna budi kupatiwa viwanja mara baada ya upimaji kumalizika, kila mtu atapatiwa kiwanja kimoja ila haitakuzui kuomba kviwanja vingine mara watakapotangaza uuzwaji wa...
  13. Hiphop

    Sheria ya ardhi inasemaje?

    Eneo linapotangazwa kuwa la mipango miji basi zipo taratibu ambazo zinahitajika kufanyika,kwanza inabidi wananchi wapewe elimu ya kutosha juu ya upimaji wa maeneo katika huo mradi mpya, pili fidia ya haki, kamili na wakati inabidi kulipwa kwa waliokutwa na mradi huo, tatu mara baada ya fidia...
  14. Hiphop

    Naombeni msaada wa kisheria katika hili jambo

    Mimi ni muathirika wa zoezi la bomoa bomoa ambalo linatarajiwa kufanyika hivi karibuni,ninahitaji ushauri wa kufahamu haki zangu maana tumeambiwa na serikali kama tumevamia eneo hilo kutokana na vipimo vya barabara vilivyo hivyo tunatakiwa kupisha mpango wa barabara wa serikali. Swali langu ni...
  15. Hiphop

    Wanasheria naomba mnisaidie kufahamu

    Ipo principle moja kwenye criminal law inayoitwa kwa kilatini "nullum crimen sinelege" inayomaanisha "there is no offence without law" hivyo hata kama hilo jambo lina negative implication kama halijatamkwa na sheria kama ni kosa then haliwezi kuwa kosa.
  16. Hiphop

    Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

    Maggid, Ahsante sana kwa mjadala wako mzuri unaotoa historia iliyofichika kwa muda mrefu sasa. Ukipata nafasi jaribu kumtafuta mdogo wake Kambona anayejulikana kama Matia Kambona aliyeko uhamishoni nchini Uingereza. Binafsi nimepata nafasi ya kuongea naye na ana mengi kuhusiana na historia ya...
  17. Hiphop

    Hukumu yenye utata!

    Well Nyani Ngabu, let me highlight some of the queries which you have raised in your comment as follows; quoting the words of the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere with the title words "RUKSA ARDHI KUUZWA KAMA KANZU!!", alisema, "Katika nchi kama yetu, ambamo waafrika ni masikini na wageni...
  18. Hiphop

    Hukumu yenye utata!

    I do respect your thoughts but it is of my view that the case has just open up a pandora box. it is true that there is gap in the land act that if it is not addressed early it will bring a lot of confusion ahead, though statistically most of the grabbed land by the non-citizens in this country...
  19. Hiphop

    Hukumu yenye utata!

    Habari ya kazi wadau?nimeipitia hii hukumu iliyotolewa na Judge Faudhi Twaib ambayo amekubali ardhi kupewa mgeni (non-citizen) kwa njia ya urithi, hebu ipitieni na nyie muone kama kweli inaleta maana!
  20. Hiphop

    Window 7 Ultimate keys

    Habari za kazi wadau?naomba kwa mwenye keys za window 7 ultimate anisaidie,nimejaribu kutumia loaders lakini zimegoma kua activate!
Back
Top Bottom