Search results

  1. thetowerofbabel

    Bila ugawaji wa dawa za ARV huu UKIMWI ungeshaisha miaka mingi sana

    Kwenye HIV hakuna carrier Ni situation mbili unao au hauna Sema kuna watu ambao hawawezi ambukizwa ukimwi
  2. thetowerofbabel

    Bila ugawaji wa dawa za ARV huu UKIMWI ungeshaisha miaka mingi sana

    Unapoint sema watu hawatakuelewa Jiulize kwanini ulaya mbilikimo wachache Na kule China watu wavivu ni kama hakuna Kusingekuwa na dawa Wangekufa wengi na hao wachache ndo wangepona Ingewezekana Africa nzima wangebaki hata Million 100 tu Selection ingefanya kazi na ingeacha machungu...
  3. thetowerofbabel

    Serikali ipongezwe kwa hili la jambo la Bima

    Shida ya Tanzania mbumbu kibao Bei ya gharama NHIF huwa haibadiriki na ipo kwenye mkataba na hospital husika na ni bei elekezi kwa Tanzania nzima Maana yake mwenye hospital hawezi panga bei Kwa mgonjwa private bei ndo inaweza badirika kutokana na hospital husika ameamua kuuza kwa shi ngapi...
  4. thetowerofbabel

    Ukiweza kufanikiwa Joburg basi wewe ni Mpambananji na unatakiwa upewe maua yako

    Johanesburg ilikikata stimu kabisa nilikuwa huko mwezi ulipita kwa wiki moja Mitaa ya watu weusi kumechoka na kuchafu sana Vijana mtaani wamechoka na wanaonekana wapo under drug influence Mademu wa kitaa South wamechoka sana Daa hawatii hata mzuka ... ndo nikaelewa why mademu wa South waraisi...
  5. thetowerofbabel

    Vijana mnakwama wapi? Kuna kijana nilimuunganisha ajira hata asante hajanipa anataka nimtafutie ajira sehemu nyingine sasa

    Hamjamwelewa mtoa maada Kwa ufupi kamaanisha huyo dogo anapenda kitonga na hajui namna ya ku interact na watu wa connection mjini .. kwa ufupi hili ni janga kwa vijana wengi Tanzania Wana akili za kukariri darasani sio akili ya kitaa
  6. thetowerofbabel

    Video: Rais Samia apewa zawadi ya ng'ombe na madereva bodaboda

    Rejea kilichotokea South Korea baada ya mke wa rais kupewa kibegi cha Dior kama zawadi na Mchungaji .. kunatokota hadi sasa
  7. thetowerofbabel

    Madaktari kuchati kazini: Ongezeko la machekibobu

    Shida wagonjwa wa siku hizi mmekuamadaktari Mtu anakuja na list ya vitu anavyotaka kupimwa Kwa ufupi ujuaji mwingi
  8. thetowerofbabel

    Kwa anaejua chimbo Kali la kitimoto kigamboni

    Sio kweli watu wengi wanadhani ni nyama nyeupe ila ni nyekundu ... Wagonjwa wangu wengi nikiwaambia kuwa kitimoto ni nyama nyekundu huwa wanashangaa sana
  9. thetowerofbabel

    Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    You are too stupid to argue with me...
  10. thetowerofbabel

    Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Bila kujua chimbuko la mgorogoro huu wa Palestina na Israel utawalau Hamas bure ... hata kivyo RIP KIJANA WETU...
  11. thetowerofbabel

    Sijapenda matumizi ya label ya Maokoto kwenye bia ya Serengeti Larger ndogo

    Kwa ufupi maokoto ni lugha ya kimasikini kuashilia maisha ya kuunga unga...
  12. thetowerofbabel

    Hawa ndiyo wasanii wa Hip-hop Tanzania Kama wangeamua kutoa diss track kuhusu kaligraph Basi ingekua ni kisanga

    Vijana wa zamani Vijana wa zamani tumeacha hizi mambo last time checking diss track was Lil romeo dissin bow wow thru " u cant shine like me "
  13. thetowerofbabel

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mkuu ile sentene inayoinshia in the eyes of beholder inakuwa approved hapa😂😂😂
Back
Top Bottom