Search results

  1. JAPUONY

    Kanda ya Ziwa hawamtaki Zitto na ACT-Wazalendo, anapoteza muda

    Hata Mama yako Mwenyewe ni Mbaguzi maana anampenda Babayako tu?
  2. JAPUONY

    Panya road warudi Tena mchana huu

    Mama aliwaomba PanyaRoad waache hizo tabia. Nilidhani ni Wasikivu kumbe Bado? Tutamwambia Mama awaombe tena...nadhani ni Wasikivu wataacha
  3. JAPUONY

    TUCTA, kudai 'vyeti feki' warudishwe kazini ni aibu!

    Nyie ndo wapumbavu wachache mliobaki Tanzania!
  4. JAPUONY

    Ufisadi na ubadhirifu kwenye halmashauri za miji umerudi kwa kasi. Pesa za umma zinatafunwa kama njugu

    Tumia urefu wa Kamba yako. Kama Kamba yako fupi, ongezea urefu. Acha kulalamika fainali uzeeni. Utabaki na uzalendo wako mwenyewe!
  5. JAPUONY

    Rais Samia, Mkuu wako wa Wilaya ya Musoma, Dkt. Khalfan Haule amuweka ndani Afisa Elimu Wilaya kinyume na Maelekezo yako

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma amemuweka ndani Polisi Afisa Elimu wa Wilaya ya Musoma Mwl Kalugendo kwa uonevu ati kwa sababu Afisa Elimu huyo alichelewa kuhudhuria Kikao chake cha Chama kilichopangwa kupokea taarifa ya Maendeleo ya Wilaya ya Musoma. Mkuu huyu wa Wilaya anaenda kinyume na Maelekezo...
  6. JAPUONY

    January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Naibu yupi?[emoji41]
  7. JAPUONY

    Prof. Joseph Mbele: Nimewabaini wanaomkwamisha Rais Magufuli

    Wangeshauri utakavyo wangeendaje Ulaya? Let people get per diems!
  8. JAPUONY

    January Makamba anafaa kusimamia TAMISEMI?

    Pale ni PAGUMU. Hapawezi. Jafo anatosha!
  9. JAPUONY

    Kwanini Mhe. Mbowe aliamua kubaki Dodoma siku Mhe. Lissu alipopigwa risasi wakati alitakiwa kuwepo Dar es Salaam

    This might be true! Kumbukeni CHADEMA ukionekana KINARA tu ama uhame au maisha yako yaondolewe! Mbowe awe ni miongoni mwa wahojiwa na Jeshi la Polisi kuhusu kuhusu Lisu kupigwa risasi.Over!
  10. JAPUONY

    Geoffrey S. Wasonga, aliyefungua kesi ya kupinga uchaguzi wa TLS ni nani?

    Wewe mtoa post hii ni mshamba na mjinga wa kutosha kabisa...inaonekana haufahamu hata historia ya nchi yako. Usidhani kila Mjaluo ni Mkenya. Luos are all-over...kuanzia Sudan ya Kusini, Kenya, Uganda, Tanzania, Central Africa na hata USA. Lakini pia inaonekana haufahamu maana ya nani ni "Raia...
  11. JAPUONY

    Sitosahau alichonifanyia Lowassa na wenzake

    Omera Nyarwath...wachie!
  12. JAPUONY

    Hatimaye ZEC yatoa ushahidi jinsi uchaguzi ulivyoharibiwa kwa hujuma

    Hivi kumbe Wazanzibara wenzetu wana hati mbaya kiasi hicho? Wanagapi wanajua kusoma katika kisiwa kile?
  13. JAPUONY

    Kubenea na muongozo wa udhalilishaji kwa wabunge wa kike wa UKAWA

    Leo nimesikitishwa sana na kitendo cha Mbunge wa CHADEMA Bwana Kubenea kuwadhalilisha wabunge wanawake wa UKAWA kuwa wanavaa shanga viunoni. Nimejiuliza maswali kadhaa. Hivi Kubenea ana akili nzuri kweli? kama anazo akili nzuri, je, zile articles anaandika mwenyewe au anaandikiwa? Je, waume...
  14. JAPUONY

    Mbowe: Kukosa pesa za MCC Inachafua jina la nchi ktk medani za kimataifa

    Kwanza Mbowe hamtambui Magufuli sasa kwanini aambiwe Kama haumtambui? Pili, hatuwezi kuuza Uhuru wetu kwa sababu ya vijana wa CHADEMA waliotaka kusevu matakwa ya wachache na kuleta fujo katika nchi hii. Kwa akili ya Mbowe Marekani akimwambie Tanzania iruhusu ushoga atabadili hata na sheria ya...
  15. JAPUONY

    Tafadhali naombeni ushauri wa kielimu

    Somea Bachelor of education with Commerce
  16. JAPUONY

    Kuna haja ya kumpigia Simu/SMS mpenzi uliyeachana nae?

    Endeleza mahusiano ya kawaida usijenge chuki naye ya milele. Kumbuka kuna Kesho.
Back
Top Bottom