Search results

  1. K

    Kutoka Mliman City, Diamond na Zuchu mahaba nje nje

    Mtuache wa znz. Ni watu tunaojali hayo mengine uliyoyaweka humu ni uzushi tu. Kwa maelezo ya watu zuchu anajua sana kupika
  2. K

    Kutana na Luludiva; superstar anayeishi nyumba ya tope

    Mimi hapa namtetea, kamuuguza mamaake more than 5 years. Kamchukua mamaake akaenda kukaa nae mjini. Hakumuacha huko kijijini. Kuuguza kuna garama mno, specially yeye mamaake ali paralyze kwa muda mrefu. Mwenyewe alishawahi kusema. Operesheni ilim cost zaidi ya milioni 20 hapo kuna dawa ambazo ni...
  3. K

    Tunaziomba Benki kuwa na ATM Center hapa nchini kwetu

    Na iwe free kutoa hela wasichaji chochote.nchi nyengine kutoa hela kwa kutumia Atm machine ni bure huchajiwi
  4. K

    Shilole amchana Alikiba

    Ali kiba ndivyo alivyo . Sio mtu wa kupenda kwenda mbali Mziki wake ukipendwa East Africa kwake ameridhika. Sio mtu wa kujionyesha. Mlijaribu kum compare na diamond wakati yupo tofauti. Diamond anapenda kwenda mbali zaidi. Na kupata mafanikio zaidi. Ila kwa miaka yote ya mziki amejitahidi mpaka...
  5. K

    Tumepoteza kijana huko Houston, Texas. RIP Humphrey Magwira

    Wengi wana stress za maisha. Kuna mmoja alimuua mwenye duka Lisa aliambiwa avae mask. Alitoka bastola akamuua muuza duka
  6. K

    Tukio la Bwana Hamza kuwapiga polisi risasi ni matokeo ya mfumo wa utoaji haki kuoza

    Hii family wako poa sana. Kaka yao mkubwa anaitwa mahmood ni mtu poa. Nasikia kweli jamaa ni kweli alidhulumiwa na polisi. Ila kidogo ni mvutaji wa madawa labda siku hiyo alivurugwa akaamua aue polisi. Wanaishi faya. Na watu wanasema familia yote imekamatwa sio kweli
  7. K

    TANZIA Mmoja ya wamiliki wa mabasi ya Sumry, Humud Sumry afariki dunia

    Mwezi gani? Maana wa tz hawaruhusiwi kwenda uk
  8. K

    #COVID19 Kaka yangu amefariki kwa ugonjwa wa CORONA

    Inategemea na unavyoumwa.kama ukifikia stage ya kupumua kwa shida solution ni kwenda hospitali kupatiwa oxygen. Inategema na unavyoumwa
  9. K

    #COVID19 Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

    Hao wazungu wanaochanjwa kuzuia mafua ( flu jab) sio wote wanaochanjwa. Wanaochanjwa ni wazee ukiwa mzee kinga zako za mwili zinakuwa sio strong Na wenye matatizo ya ki afya ambao kinga za mwili zao hazipo imara. Na sio wazungu peke yao wanaochanjwa hata watu weusi, wahindi wanachanjwa...
  10. K

    Huduma ya kubandika kucha, kope za macho na kutoa magaga imepamba moto

    Na wanaume nao kuwa chawa imekuwa ndio kazi inamuweka mtu mjini
  11. K

    Kuombana sukari na chumvi ni kuendeleza umasikini?

    Mimi nilivyokuwa mdogo nilikuwa nikitumwa nikachukue maji ya baridi tulikuwa hatuna fridge.nilikuwa nachukia mno,naenda na jagi langu, nakumbuka mpaka jirani akanichoka.baadae tukanunua freezer letu. Ila kama huna uwezo haina haja ya kuomba omba vitu vidogo vidogo unaweza kuishi bila kuwa...
  12. K

    Kuombana sukari na chumvi ni kuendeleza umasikini?

    Hili neno la kukazia ugali linanichekesha
  13. K

    ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    Mimi nahisi hakuna ugonjwa unaotesa kama kansa na figo kufeli. Mambo ya dialysis kama huna hela unakufa huku unajiona
  14. K

    Shinyanga: Mume amuua Mkewe akimtuhumu kutumia ARV kwa siri

    Kuna kesi moja marekani jamaa alikuwa na now na mchepuko, mchepuko alikuwa anatumia dawa mahusiano yakaendelea gemu bila kinga. Mchepuko akaona hakuna haja ya siri tena aka confess kwa jamaa. Jamaa alishikwa na hasira alimpiga huyo mwanamke mpaka akafa. Jamaa alikamatwa. Alifungwa ila baadae...
  15. K

    ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    Sio ya kucheka ila nimecheka ulivyosema maluweluwe kama yote.
  16. K

    Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

    Huyu mama kifo chake kimenihuzunisha. Alikuwa anapenda kwenda kula kempiski na watoto wake
  17. K

    Familia ya marehemu Joe Mutaboyerwa yavamiwa. Mama na watoto wawili wauawa

    Mungu amlaze mahali pema na watoto wake. Huyu mama namfahamu alikuwa na maisha mazuri tangu zamani kabla hata ya kuolewa.
Back
Top Bottom