Search results

  1. M

    AVN number ilivyokatisha ndoto zangu

    Am still waiting tuone hicho unachokisema usahihi wake upo wapi bwana ndosh
  2. M

    AVN number ilivyokatisha ndoto zangu

    Pole sana kwa yaliyokukuta naomba namba yako ya kidato cha nne na mwaka uliomaliza nikusaidie kujua nini tatizo na soln yake by kesho
  3. M

    NACTE: SIFA ZA UDAHILI WA WANAFUNZI KWENYE KOZI MBALIMBALI

    NACTE: SIFA ZA UDAHILI WA WANAFUNZI KWENYE KOZI MBALIMBALI
  4. M

    News Alert: NACTE AVN NI ZAIDI YA TATIZO;

    Hapa kwanini upige magoti nacte lkn wewe siumesoma huku chuo nakilipia ni responsibility ya chuo kuhakikisha muhitimu wake anatambulika kote. Kama hawafanyi hivyo nafikiri hwatendi haki kwa wahitimu wao. Pambana nao wapeleke hata mahakamani ukiweza kwa sababu wanakunyima haki yako ya msingi...
  5. M

    Udahili NACTE lini?

    Kwa taarifa zisizo rasmi nasikia kua baada ya kumalizika huu wa intake ya march. Matarajio ni ktikati ya mwezi wa tano ndio utaanza ule wa watakaoingia september.
  6. M

    Kama kuna yeyote mwenye ufafanuzi tafadhali ninaomba msaada wa kinachoendelea NACTE

    Leta ushahidi wa hayo madudu. Maana mie nimetoa kila walichopost kwenye site yao. Na ukiangalia hiyo post inayojadiliwa hapa naona ni upotoshaji tu.
  7. M

    Naweza kukishtaki chuo?

    Hapa upumbavua wa nacte upo wapi? Maana toka kabla ya nacte vyuo vilikuwa vinaanzishwa kwa kuendesha kada moja tu mfano nursing.
  8. M

    Kama kuna yeyote mwenye ufafanuzi tafadhali ninaomba msaada wa kinachoendelea NACTE

    Na wewe ndio walewale. Soma kwenye matangazo ya nacte yanajieleza vizuri. Huyo aliyesema kaenda ofisi za nacte muongo nimeshakwambia katumwa aje kuchafua tu hapa. Maombi ni vyuoni pale unapotaka kawafuate kama utaratibu wa mwaka jana. Na vyuo vya serikali ualimu na afya kwa sasa bado mpaka...
  9. M

    Kama kuna yeyote mwenye ufafanuzi tafadhali ninaomba msaada wa kinachoendelea NACTE

    Uhakiki wa wanafunzi hapa Uhakiki wa Wanafunzi | Student Verification
  10. M

    Kama kuna yeyote mwenye ufafanuzi tafadhali ninaomba msaada wa kinachoendelea NACTE

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU UDAHILI WA WANAFUNZI KATIKA KOZI MBALIMBALI ZA NGAZI YA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA MUHULA WA UDAHILI WA MARCHI/APRIL, 2018 - NACTE
  11. M

    Kama kuna yeyote mwenye ufafanuzi tafadhali ninaomba msaada wa kinachoendelea NACTE

    PUBLIC NOTICE FOR MARCH/APRIL INTAKE, 2018 ADMISSION CYCLE FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018 FOR HEALTH AND ALLIED SCIENCES PROGRAMMES - NACTE
  12. M

    Kama kuna yeyote mwenye ufafanuzi tafadhali ninaomba msaada wa kinachoendelea NACTE

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU UDAHILI WA WAOMBAJI WA MAFUNZO KATIKA PROGRAMU MBALIMBALI KWA NGAZI ZA ASTASHAHADA NA STASHAHADA KWA MUHULA WA MACHI/APRILI, 2018 - NACTE
  13. M

    Kama kuna yeyote mwenye ufafanuzi tafadhali ninaomba msaada wa kinachoendelea NACTE

    Mzee wewe ni mpotishaji hatari. Umetumwa nini? Maana nimejaribu kupitia matangazo yote habari mabalimbalizinazotolewa na NACTE sijaona mahala walipo sema udahili unafanyika online. Hebu tupatie ushahidi wa hii hadidhi yako uliyotengeneza. Kwa taarifa yako kinachoendelea sasa ni vyuo ambavyo si...
  14. M

    NACTE tafadhali toeni transcript

    Kwani umemaliza lini chuo?
  15. M

    Chuo cha Prof. Mlacha, Kachenje Training Institute (KATI); NACTE na TAMISEMI walikisajili namna gani bila kukamilika?

    "Chuo kina tumia umeme wa aina 3, wa generator ,solar na upepo na vyoo vipo kama vinavyoonekana kwenye picha" from wahusika sasa huyu mtoa mada atoe evidence ya kupinga hili ili tujue kwamba hatupotoshi.
  16. M

    Wizara ya elimu yawataka NACTE kufungua udahili leo awamu ya pili.

    Lakini hili si tangazo ni taarifa kwa umma labda mie sijaelewa kiswahili
  17. M

    Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    Belive or not let wait uone kabla wahusika hawajasema hamuoni kitu nacte.
  18. M

    Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    Kwa taarifa nilizo nazo majibu hayatangazi na nacte mwaka huu. Ni vyuo husika ndio vitakavyosema nani kachaguliwa wapi. Kwa elimu vyuo vya serikali ni wizara ndio itakayo toa tamko vivyo hivyo na afya pia. Kazi ya nacte ni kutoa ratiba na kuacha wahusika waitekeleze.
  19. M

    Matokeo ya NACTE yametoka?

Back
Top Bottom