Search results

  1. hermes

    kutoa ni moyo si utajiri

    Jamani ligi ndo inakalibia kuanza Liverpool a.k.a liverpoor wame fulia kwa hiyo tunaomba michango yenu ili tuweze kuwasaidia katika usajili ili ligi iletemsisimko kama zamai.Mimi nimejitolea kwa kila mchezaji watakaye mtaka nitatoa asilimia 25 ya gharama za kumsajili na nitachangia asilimia 20...
  2. hermes

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni

    Ilikuwa jana usiku katika taarifa ya habari nilipo shuhudia watu wakishangilia kukubaliwa na kupitishwa kwa sheria ya kuruhusu ndoa ya jinsia moja huko Argentina.Nilishangaa nilipo sikia kuwa si Argentina pekee Duniani iliyo pitisha sheria hiyo tu!kumbe kunanchi nyingine saba zilizo pitisha...
Back
Top Bottom