Search results

  1. Mentee

    Mama Salma, Ally Kessy wapinga wanafunzi waliopata mimba kurudishwa shuleni, wasema dini haziruhusu

    Hivi si huyu huyu Salma alipokuwa first lady alipigania wasichana wanaopata mimba wakiwa shuleni waendelee Inavyoelekea huna mtoto. Subiri upate kabinti tuone kama utasema hayo.
  2. Mentee

    Amnesty International: Kenya, Tanzania Miongoni Mwa Wakandamizaji Wapinzani

    Nyoosheni tu hadi mkose wa kuwanyoosha mgeukie miti.
  3. Mentee

    Amnesty International: Kenya, Tanzania Miongoni Mwa Wakandamizaji Wapinzani

    Baada ya kufanya tafiti na kutoa matokeo, je wanatushauri nini au wanachukua hatua gani?
  4. Mentee

    English learning thread

    Umeniua mwanangu.....dah!!
  5. Mentee

    English learning thread

    Members wa forum, natafuta mwalimu au mkufunzi wa lugha ya Kiingereza haraka. Mama mkwe anataka kwenda nje hivyo anahitaji kuongea kizungu ndani ya siku 7. Msaada tafadhali.
  6. Mentee

    Mjadala: Je, ni kweli Magari aina ya Nissan Xtrail ni mabovu?

    Ninaitumia mwaka wa 4 sasa sijaona tofauti ya bei na Benz au BMW. Nunua gari inayolingana na mfuko wako. Gari yoyote ni matunzo. Ushauri tu.
  7. Mentee

    Nape Nnauye apata ajali Kilwa, alikuwa akitokea Dar kuelekea Lindi

    Wanaogopa kumpeleka India....hatarudi mzima.. halafu nani atawasaidia kutukana akifa?
  8. Mentee

    Msaada: PSPF kwa wanaoifahamu

    Hakuna Mfuko wa Pensheni unaotoa mkopo wakitegemea ulipwe baada ya kumaliza mkataba. LAPF wanatoa mkopo wa elimu ya juu kwa watumishi wa Mfuko huo tu na si kwa wanachama. Waulize upate uhakika.
  9. Mentee

    Msaada: PSPF kwa wanaoifahamu

    1. Wana fao la kujitoa ndiyo. Ila interest wanayokupa kwa ajili ya michango yako ni chini ya 1% . 2. Kulipwa pensheni ni hadi ufikishe miaka 55 au ustaafu kwa lazima ufikishapo miaka 60, na uwe umechangia zaidi ya miaka 15. Chini ya muda huo hata kama ni tofauti ya siku moja, hulipwi pensheni...
  10. Mentee

    Mfuko wa Pensheni wa LAPF: Mkutano wa Sita wa Wadau-AICC-Arusha

    Ingekuwa Mgeni rasmi katika mikutano hii haandikiwi Hotuba na mwenye mkutano, ningeamini yote Hawa Ghasia liyosema kuhusu LAPF. Watu wangeujua undani wa LAPF basi wanachama wangeandamana ili kujitoa kwenye Mfuko au kuing'oa Bodi na Menejimenti. LAPF inaanzisha miradi kila siku wakati mingine...
  11. Mentee

    Azzan: Nitajiuzulu ikibainika nauza dawa za kulevya

    Kuhusu hiyo sababu ya "China is our dear....." ebu rejeeni hapa http://jasonbournetz.wordPress.com ....RAIS KIKWETE AIWEKA NCHI REHANI... mtajua kwa nini kasema hivyo
  12. Mentee

    Funguka Mbunge Wako Yukoje?

    Mi Mbunge wangu naona hata aibu kumtaja ila inabidi kwa mujibu wa thread hii. Anaitwa Ndugu....ayiiiiiii!!! Hana udugu huyu. Kila siku anaongea pumba na kugombana na Kisu ( Lissu). Nikisikia kaongea kitu huwa najificha kwanza ili wenzangu wasinicheke!!! 2015 mbali sana.
  13. Mentee

    Wanawake wanaodharau watu soma hapa

    Benz/ X5/ VX V8, vinatuponza. Nawasikitikia wasichana wadogo wanaolimbukia maisha na kutaka kupewa kazi, kupangishiwa nyumba na wababa wenye wake na watoto. Jiulize, y u?
  14. Mentee

    Ubaguzi wa Rangi wabisha hodi Tanzania

    Na kwenye Mifuko ya Hifadhi za Jamii je? Hasa LAPF
  15. Mentee

    Tunapokea kero ambazo ungependa ziwasilishwe bungeni na wabunge wa CHADEMA

    1.Wabunge wa CDM msichukue rushwa ambazo hata watu wakisikia wanawadharau, hasa nyie wa Kamati ya Sheria na Katiba. Mliyofanya mwaka huu hasa kwenye Mifuko ya Hifadhi za Jamii yanatia ukakasi; 2. Mh. Mnyika, ukipewa issue yenye ushahidi, jaribu kui-pursue. Usikimbilie kuonekana kwenye tv tu
  16. Mentee

    Rangi za nguo za ndani.

    Hivi jamani, kwani mada inasema "rangi ya nguo za ndani za mwanamke" ? Naona mada inazodoa wadada tuuuu! Wa kaka wao wanavaa bukta?
  17. Mentee

    Rais Kikwete ameshindwa kuitetea Katiba! Je, sisi wapagani tunawekwa wapi?

    Rais anapojitetea kama yuko kizimbani haieleweki kabisa. Hivi jk, unashindwa kuchukua hatua yoyote dhidi ya unayodai unasingiziwa na kutendewa? Umekuwa mtu baki na si rais? Wacha cheap popularity
  18. Mentee

    Pres. Joyce Banda: My Country takes Lake Malawi row with Tanzania to court (ICJ)

    Watanzania tufungue macho jamani. China hawatatusaidia kitu na hawana nia njema kabisa na sisi. Hivi hatuoni tu? Mimi jilifungua ka-mgahawa China, Guangzhou mwaka 2009-2010, serikali yao ilini-harass mpaka nikafunga. Kwa mtu mweusi kutemewa mate na mchina kule kwao ni jambo la kawaida, na huwezi...
Back
Top Bottom