Search results

  1. Babumawe

    FT: Tanzania 1-1 Zambia | AFCON 2024| Laurent Pokou Stadium | 21.01.2024

    Mzamiru ni mchezaji wa ovyo tangu mpira unaanza hadi unaisha anapiga back passes tu
  2. Babumawe

    Ni lipi basi zuri VIP la kwenda Tanga?

    Ingia mtandaoni utazipata otherwise unapoelekea watakupiga kihela chako hiko
  3. Babumawe

    Ni lipi basi zuri VIP la kwenda Tanga?

    Panda Ratco ofisi zao zipo Shekilango
  4. Babumawe

    Baada ya Gwambina kujitoa Ligi Daraja la Kwanza (Championship), Ndanda nayo yajitoa

    Klabu ya Ndanda ya Mtwara imetangaza kujitoa katika Ligi Daraja la Kwanza (Championship), huku sababu ikielezwa ni ukata kiasi Cha kushindwa kumudu gharama za kujiendesha. Ndanda imekuwa haifanyia vizuri kwenye ligi hiyo kuanzia mwanzoni na sasa inaonekana kuamua kuachia ngazi rasmi. Timu hiyo...
  5. Babumawe

    TANZIA Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa

    Tupige vita ushoga na usagaji kwa nguvu zetu zote kuokoa kizazi kijacho
  6. Babumawe

    Kuna siri gani kwenye noti ya shilingi mia tano ya zamani?

    Hii pesa sasaivi mtu yupo tayari akupe hata milioni ili umpatie hii pesa. Ina kitu gani cha ziada wenye kuelewa nasi watujuze.
  7. Babumawe

    Tuzitambue Wilaya maarufu kuliko mkoa hapa

    Mimi naanza na hizi. 1. Mpanda (Katavi) ~ Hapa Mpanda ni maarufu kuliko mkoa husika wa Katavi, Sumbawanga (Rukwa). Hapa utasikia mtu anakwambia ninaenda Sumbawanga yaani huwezi kusikia mtu akikwambia anaenda Rukwa kamwe. 2. Bukoba (Kagera) ~ Bukoba ni maarufu sana kuliko Kagera yenyewe...
  8. Babumawe

    Huu mkoa kila mwanamke ninaepishana nae ana ndevu

    Nipo Mbeya hapa kuanzia Uyole, Rungwe, Kyela, Chunya na kila ninapopita napishana na wakinamama wana ndevu. Sasa sielewi jamii za huku ndo walivyo au...au Kuna mkoa mwingine wapo kama huku maana ndevu tena kwa mtoto wa kike mbona naogopa aisee.. Huko kwenu vipi?
  9. Babumawe

    Jezi 42,000 za Simba zimeuzwa kwa siku

    Takribani jezi elfu arobaini na mbili za mabingwa wa Tanzania Simba sports club zimepigwa bei kwa siku moja. Hii ina maana kwamba ikiwa kila jezi imeuzwa kwa 30,000 basi almost 1.26Billions zimeingia kutokana na jezi. Naona kabisa vunjabei amepiga mshindo mkubwa kwenye hili dili na anatamani...
  10. Babumawe

    Mtaje mtu maarufu hapa unayeona unamzidi hela

    Mimi naanza.. babalevo namzidi akiyanani
  11. Babumawe

    Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Watu wawili wamepoteza maisha mkoani Njombe baada ya kuingia na jiko la mkaa ndani ya chumba cha kulala kwa lengo la kupunguza baridi Mkoani Njombe. Kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Hamisi Issa amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililowakuta Benitho Mbatha (23) mpiga debe wa mjini Njombe na...
  12. Babumawe

    Hakuna ubishi tena Mugalu kamuacha mbali kagere

    Hii ni vita Kati ya mashabiki wa timu moja wengine wakiamini kwenye uwezo wa kagere na wengine wakimuamini Mugalu. Vita ilienda mbali zaidi hasa wakimshutumu kocha kuwa ana kaugomvi na baadhi ya muwakilishi wa mchezaji Fulani kwenye hii vita, all in all vita hii ishaanza kutoa taswira kamili...
  13. Babumawe

    Waafrika tunarogana sana ndio maana maisha yetu magumu

    We ulijuaje kama anko wako kakuroga??
  14. Babumawe

    Mabibi harusi hivi mnalizwaga na nini siku ya harusi?

    Habarini za muda huu? Leo nimeamua kuja na hii kitu ambayo inatokea kila uchwao. Kila harusi niliyowahi kuhudhuria na hata zile ambazo sihudhurii bali nangalia kwenye kideo naonaga lazima bibi harusi amwage chozi. Yaani either iwe katikati ya shughuli au mwanzo au hata mwisho lazima alie...
  15. Babumawe

    Timu za Congo DRC Klabu Bingwa Afrika msimu huu hamna kitu

    Sawa ila mazembe atapita
  16. Babumawe

    Wadada hivi kwanini mnakosaga nauli mkiitwaga?

    Hahaha daa eti ina sugu
  17. Babumawe

    Chagua rangi hapa halafu dedicate kwa mtu yeyote

    Haya leo tufanye ni siku ya kudedicate mtu yeyote kwa kutumia rangi, taja jina la mtu yeyote kwenye platform then mpe rangi yake unayoona anastahili kwa upande wako.. Hizi ndizo rangi zitakazotumika 1.orange - happiness 2.yellow - friendship 3.red - love 4.white - peace 5.black - hate 6.purple...
Back
Top Bottom