Paragraph ya kwanza napotezea. Paragraph ya pili na ya tatu uko sawa na juhudi zinaendelea. Paragraph ya mwisho ...ni sahihi hatuna madaktari bingwa wa figo, moyo nk?
Miaka ya sabini wahasibu na watu binafsi walikuwa wakiporwa fedha walipokuwa wakienda au kutoka benki. Na matukio mengine yalikuwa fake. Kwa wakati huo Sh.20,000 ilikuwa ni mishahara ya taasisi nzima au mauzo ya wiki na zaidi. kuona hivyo serikali ikatunga sheria hiyo kwamba mtu yeyote akiwa...
Wazungu wanakwenda likizo kwao kwa hiyo kazi hazitaendelea. Wafanyakazi wanatakiwa kuondoka site wakale sikukuu makwao na kama wamelipwa mishahara miwili basi ni sahihi mwajiri lazima akulipe hata kama uko likizo. NSSF zinalipwa kila mishahara inapolipwa hivyi hilo sio tatizo. anaetakiwa kudai...
Simba Vs Yanga.
Waislam wanaona Ukristo sio dini sahihi na Wakristo wanaona Waislam sio dini sahihi kila mmoja anataka mwingine aangamizwe kabisa. Kwa vile Wapalestine wengi ni Waislam na Waislam Duniani kote wanasapoti Palestine juu ya ardhi yao basi hawa Wakristo wanaisapoti Israel kwa chuki...
Mambo ya urithi wakati mwingine yana ugumu, lakini mtu anatakiwa kuwa na msimamo ni mfumo gani wa urithi ufanyike baada ya kifo chake. mfano aeleze wazi kwamba Sharia (Kiislam) ifuatwe, au Kimila au Sheria ya nchi au kufuata usia atakaouandika. Watu wengi hawaweki wazi kwa kuogopa mfarakano...
Ni 22.86%. Bati huagizwa kutoka nchi za nje, hapa nchini kinachofanyika ni kutengeneza migongo, kukatakata na kupaka rangi. Bei ya kusafirisha contena moja kutoka China mpaka Dsm ilikuwa $3,000 sasa hivi ni $ 12,000 kama sikosei sawa na omgezeko la 75%. Na huko nje ndiko inflation rate imepanda...
Hapa mnajichanganya.
Tulia amechukua fomu kuomba kupendekezwa na chama chake kugombea uspika. Wabunge ndio wanaochagua spika sio chama. Hata wanachama wa vyama vingine wana nafasi ya kugombea uspika kwa mujibu wa taratibu za vyama vyao.
Kwa hiyo atajiuzulu unaibu baada ya kupitishwa na...
Fedha ya mkopo imejenga madarasa mengi zaidi ndani ya miezi miwili, na watoto wote wataingia madarasani. Hakutakuwa na second selection. Fedha ya Tozo tungejenga madarasa machache machache kila mwezi watoto wengi wasingeweza kuwa na madarasa ya kusomea. Ungeshauri kwa vile tumekopa na...
Wao wana ukabila, na kinachowaunganisha wakiwa nje ya vijiji vyao ni lugha ya Kiingereza sisi ni Kiswahili. Kwa maana hiyo wao wanapokwenda vyuoni wanafahamu zaidi Kiingeza na maeneo yote wanatumia Kiingereza, vinginevyo hawataelewana. Tofauti na sisi ambapo mwanafunzi akitoka shuleni au chuoni...
Mada nzuri na mada hii inajadiliwa kila siku. Nilichogundua ni kwamba kuna pande mbili, moja inaafiki kuwa Kiingerea kiwe lugha ya kufundishia na upande wa pili wanakataa. Maoni yangu ni kuwapa wote. Tuwe na mifumo miwili ya elimu inayofanana kwa lugha mbili tofauti. Sasa hivi Kiingereza...
Biashara ya malori itakuwepo tu kwani wenye bidhaa wataangalia na gharama nyingine za usafirishaji. Reli haifiki kila eneo lakini malori yanafikisha mzigo mpaka mlangoni. Hata abiria vile vile. Kama unakwenda Chalinze kutoka Morogoro, utapanda treni ya mwendo kasi au utapanda basi? Sasa hivi...
Ni kweli serikali haiwezi kufanya biashara, lakini biashara zote kubwa zilianza kidogokidogo, makampuni mengine yalianza karne ya 18. Yakaendelea kukua kwa kufuatia uendelevu wa teknologia. Kwa sasa ni nani angeweza kujenga reli ya mwendo kasi au bwawa la Nyerere au miradi mikubwa inayofanyika...
Unavyotoa changamoto na kasoro ni bora uwe na maoni nini kifanyike au ufumbuzi wake ni nini.
Nafikiria kama nia ni kuendesha TANESCO kibiashara basi miundombinu mingi inastahili kung'olewa kwani umeme umepelekwa vijijini kiasi ambacho kama ni mfanya biashara hawezi kupeleka umeme huko...
Naipongeza serikali kwa kuchukua hatua mbali mbali kuhakikisha hili gonjwa la COVIDS 19 halisambai, ikiwa ni pamoja na kuwataka wananchi kupunguza misongamano. Lakini hili la mwenge nadhani sasa ni wakati mwafaka kusimamisha mbio hizi kama ilivyofanya miaka miwili iliyopita. Serikali isionee...
Hii ndio inanikera kabisa. Wanaotakiwa kumuaga binti ni wana ndugu tu, sasa utakuta mtu anachangisha kila atakaekutana nae. Nakumbuka miaka ya nyuma mzazi anafanya shughuli hii nyumbani au kama ni kwenye ukumbi basi wahusika ni wanafamilia tu.
Zamani binti akiolewa kuonana nae tena ni majaliwa...
Waislam wanaoruhusiwa kuiona maiti ni kama watu watano wa karibu tu. Hivi na sisi tukifanya hivyo hawa hawatoshi kuthibitisha kwamba tunaemzika ni yeye mwenyewe?
Aliyeanzisha kuvaa magwanda alikuwa Dr. Slaa, kutokana na harakati zake na safari ndefu za mikutano ya kisiasa, nadhani Mbowe hataki tena kuwa na kumbukumbu yake.
Hizi zilikuwa ni safari suit, hasa watalii walizipenda sana , baada ya kufanywa kuwa sare za chama watalii waliacha kuzivaa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.