Search results

  1. bucho

    Kweli Mbowe anapewa nafasi kuongea, ananyimwa Jakaya? Nashauri familia hizi zikae zimalize bifu

    Ukapimwe akili wewe ..... sidhani kama kichwa chako kiko Sawa.
  2. bucho

    Mabraza wa Kariakoo na dili zao

    Very interesting story ya upambanaji .... shusha nondo mkuu
  3. bucho

    1980s kulikuwepo na Wanamazingaombwe ila ulipoanza Mfumo wa Vyama Vingi sijawaona tena. Au ndio hawa Wapinzani?

    Masiamote na kababayee miaka ya 80 hadi tisini walisumbua sana
  4. bucho

    Mariam Birian avalishwa pete, anaolewa siku chache zijazo

    Kuna nini tena humu ?
  5. bucho

    Msimamo wa NBC: Timu lako lipo nafasi gani?

    We jamaaa OKW BOBAN SUNZU ndio unaongoza kuwa na nuksi kuliko watu wote humu ndani . Nadhani hata mikosi ya Simba kufungwa inaanzia kwako. Kaoge njia panda bro.
  6. bucho

    Usipokuwa makini unaweza kujikuta unamhonga mtu anayekuzidi kipato!

    Hakuna kitu cha raha kama mwanaume kuhonga ama kumuhudumia mwanamke wako . Inaleta heshima ya kiume mnooo pia inakufanya unakuwa mtawala , baba na mwenye maamuzi ya mwisho . Tuwahonge wanawake zetu na kuwahudumia ipasavyo hutasikia mambo ya ufeminist kamwe. Mimi Nikidate hata na mwanamke CEO...
  7. bucho

    Kubagua Mwanza na Mbeya AFCON haikubaliki

    Hivi mwanza kuna hotel gani hata ya nyota tatu ? Huwezi kulinganisha arusha na mwanza kwa hotels za maana . Nyie mna mnamrundikano wa gesti na lodges uchwara sio hotel za maana za world class .
  8. bucho

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Hapa hakuna muendelezo. Tutawanyikeni tuu
  9. bucho

    Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Embu ngoja nikajaribu kuogea na mimi
  10. bucho

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Hili ni group la nini ? Ama kama lile tulilotolewa ?
  11. bucho

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Asante sana mkuu
  12. bucho

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ukipata hiyo link naomba nitumie mkuu . Kwa heshima na taadhima
  13. bucho

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    Ipi hyo kaka ....team yetu bado haijajijua kabisa
  14. bucho

    FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    Kaka kiukweli yanga atatulawiti kama team ndio hiii . Makosa mengi tumeyafanya ambayo yanga wangetufunga .
  15. bucho

    Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

    Sio kwa ubaya nakwambia nikwamba Nina uhakika nachokisema sio kwa maneno ila kwa vitendo . Naiishia hapa kwa sasa
  16. bucho

    Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

    Hakuna tofauti yeyote kati ya st Constantine na braeburn, wote wanafanya Cambridge curriculum. Hata Ada wametofautiana sio pakubwa ki hivyo. Na wasiwasi kama unauelewa mpana kuhusu hizi shule ungekuwa nao usingesema mtoto mmoja wa Braeburn anasomesha watoto 10 wa St Constantine. Upande wa IST...
  17. bucho

    Tusiwabeze wanaosomesha watoto shule za Tsh. Milioni 40

    Hizo ni shule za necta hakuna international school hata moja.... hizo ni kajamba nani kwaufupi
Back
Top Bottom