Search results

  1. K

    Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

    Mkuu naomba kujua kama una uelewa wa Nissan X Trail T32 hybrid ya mwaka 2015. Hybrid battery zake zinauzwa bei gani hapa Tanzania?
  2. K

    Ushauri wa kanuni bora za kilimo cha Migomba na Soko lake

    Uzi mzuri sana. Naomba kuuliza maeneo ya Bungu karibu na Kibiti ndizi aina gani zinakubali?
  3. K

    Tunaomiliki magari ya mzungu tukutane hapa

    RRONDO, Naomba kujua gari ya Toyota Isis ya mwaka 2008 Engine Oil ipi ni nzuri kwa ajili ya kuifanyia service? Halafu matairi yake ni 195/65/R15 kiasi gani cha upepo ni sahihi kwa magurudumu haya (tubeless)?
  4. K

    Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    Hivi kutoka 195/65/R15 na kuweka 195/7/R15 gari itainuka kwa sentimeta ngapi? Zinazidi 2cm?
  5. K

    Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    Sifikirii kabisa kuweka spacer kwa sababu nasikia inaweza kuwababisha gari kupoteza balans yake hivyo uwezekano wa kupata ajali ukiwa kasi ni unaongezeka...
  6. K

    Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    Kuna mtaalamu ameniambia kuwa nikiweka 195/70/R15 ulaji wa mafuta utaongezeka kwa asilimia 3.5% hivi. Nadhani ukilinganisha na uchakavu wa bumper gari inapata kwa kugusa ardhi kwa kila bonde... itakuwa ni gharama inayovumilika.
  7. K

    Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    Hizo tairi ulibadili kwenye gari gani mkuu?
  8. K

    Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    KWa mfano kwenye bumps hizi za mjini kama upo speed zinakwaruza pia?
  9. K

    Kubadilisha Saizi ya matairi ya gari ndogo

    Nataka kuongeza ground clearance ya gari (Toyota Isis) kwa kubadilisha tairi kutoka 195/65 R15 na kuweka 195/70R15 Je hiyo itasaidia? Na je inaweza kuwa na athari zozote hasi kwa mwenendo mzima wa gari?
  10. K

    Bunge la Ujerumani: Serikali ya Tanzania inatakiwa kutafuta mbadala wa mabwawa kuzalisha Nishati ya Umeme

    Umeme huu wa maji utakapokamilika utakuwa ni ukombozi mkubwa kwa wengi iwe vijijini au mijini. Nadhani tusifike kiasi cha kuwataka binadamu wabaki masikini eti kwa sababu ya wanyama. HAPANA! Watuache tujijengee umeme wetu na watuache tuijenge nchi yetu!
  11. K

    Bwana Shamba Wilaya ya KIBITI

    Wakuu nataka kujiingiza kwenye kilimo maeneo ya Kibiti. Kuna mwenye mawasiliano ya bwana shamba wilaya ya KIBITI ili niweze kupata ushauri kwake juu ya mazao ya kulima, aina za mbegu na muda wa kufanya maandalizi?
  12. K

    Toyota Balloon Inauzwa

    Kwa nini kuiba bro!
  13. K

    Toyota Balloon Inauzwa

    Kama upo interested niambie.... maneno mengine achana nayokwani hayajengi.
  14. K

    Toyota Balloon Inauzwa

    Niambie maelezo ya ziada unayohitaji... nitakupa... kwa uhakika zaidi utakuja kuiona nyumbani kwangu...
  15. K

    Toyota Balloon Inauzwa

    Nauza Toyota Mark II Balloon. Ya mwaka 1995, Namba: AMP, 2000cc. Ipo katika hali nzuri na inatembea. Kama unahitaji ni tuwasiliane kwa namba hii: 0785 872 256
  16. K

    Nafasi za kazi leo tarehe 28/08/18

    Tembelea hapa kupata kazi mpya Dar es Salaam leo: kazinikwetu.talentlyft.com
  17. K

    Personal Assistant To The MD Needed in Dar es Salaam

    tembelea Kazinikwetu.talentlyft.com
  18. K

    Uhakiki wa leseni zote za madereva, vyeti vya vyuo kuanza nchi nzima

    Ingefaa watu wapeleke leseni kwa uhakiki. Kama kuna mtu kajitengenezea leseni feki basi ashughulikiwe na kama kuna mtu ana leseni halali lakini hakupitia utaratibu uliowekwa basi mamlaka au mtu ndani ya mamlaka (iwe polisi au TRA) aliyeidhinisha leseni hiyo achukuliwe hatua stahiki. Kama shida...
  19. K

    Toyota Wish Vs Isis

    Sijui WISH, binafsi naendesha Toyota Isis, ya mwaka 2008 ya 1800cc. Kwa wastani inakula km 10 - 12 kwa lita. Shida moja tu kubwa niionayo ni kwamba gari ipo chini.Kama unatembea sana kwenye barabara zenye mabonde makubwa inaweza kukufanya usifurahie kuiendesha. Engine inaflow vizuri sana. Gari...
Back
Top Bottom