Search results

  1. K

    Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

    Umeongea kizembe kweli! Umetumwa!
  2. K

    Kwa kinachoendelea Dar es Salaam na Zanzibar yanasikitisha!

    Fanyeni kazi usitegemee mtu kukuletea maendeleo.
  3. K

    Nakupenda sana: Pumzika kwa amani Mama yangu

    Pole sana mkuu,sote tunapita njia yetu ni hiyo hiyo
  4. K

    Kamanda Mawazo ameuawa na Mfumo wa Jeshi la Polisi - Lema

    Ni ujinga kuongea bila ushaidi,hata kama tunahitaji mabadiliko si kwa utaratibu huu
  5. K

    TANZIA Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa kikatili mjini Katoro

    Ni ujinga kila tukio kulihusisha na siasa,nani anayajua maisha yake nyuma ya pazia. Tusubili tuwe na uhakika na chanzo cha kifo chake. RIP KAMANDA wewe mbele sisi nyuma.
  6. K

    Billioni tatu kutengeneza mashine mbili au?

    Waswahili bwana......
  7. K

    Magufuli, Pesa hizi zinatoka wapi?

    Ulitaka watu waendelee kusafiri,tufike sehemu tusiwe wanafiki kwa kupinga kila kitu. Uchaguzi umeisha tuwe na mawazo mapana kwa ajili ya maendeleo ya nchi yetu.
  8. K

    Kwa wale watumiaji wa "kondomu"

    Nimeipenda hiyo @ jipu
  9. K

    Faraja Nyalandu ana miaka 30?

    Sasa umri wake unatusaidia nini sisi,tukiujua utatuondolea ugumu wa maisha!
  10. K

    Nina Tshs. 300,000, Naweza kuifanyia nini ili mpaka July niwe nimepata ada ya Tshs. 1,114,400?

    Wa TZ bwana kijana mwenzetu anaomba msaada wa Mawazo tu,comment zinazotelewa hazifanani kabisa na utu. Kama huna msaada unaonaje ukikaa kimya ukawaacha wenye kusaidia wakatoa ushauri. Kumbuka leo kwake kesho utakuwa wewe. Mkuu usikate tamaa na pole kwa yaliyokupata,nimechukua contact zako...
  11. K

    Mjengo wa Ajabu anaomiliki Mh. Sitta Huu hapa

    Ndo watanzania hawa kila kukicha kulalamika tu.
  12. K

    Nauza iPhone E 6 (16Gb) mpya

    Laki 8 ipo tutafutane
  13. K

    Afande Sele ajiandaa kunyakua jimbo la Morogoro Mjini

    Kweli tu wanafiki balaa huyu huyu aliposema akiwa chadema alikuwa mtu sahihi,leo kwa kuwa chama kingine tumeziona kasoro kibao. Kama kweli tunayo nia ya kulipeleka pazuri taifa hili suala la chama kuwa kigezo tuliondoe,tuangalie uwezo binafsi tu na si unazi wa chama.
  14. K

    Breaking News: DC Muleba na ujumbe wake wapotea Ziwa victoria, Boti yao yapigwa Dhoruba

    Akili ndogo kweli,kama tumekuwa na chuki kiasi hiki sababu ya sissa,sidhani kama tupo sahihi.Mimi siipendi CCM lakini siwezi kumwombea mtu baya. Acheni hizo hatukulelewa hivyo wala vitabu vya Mungu havitufundishi hivyo.ingekuwa wewe ndo yanakutokea halafu tuna comment bora ufe ungejisikiaje...
  15. K

    Civil Engineer natafuta kazi

    Ipi kati ya hizi upo vizuri Water resource Transportation Structural Kwa nia njema tu ili tujue ni wapi utafit
  16. K

    Ramani za nyumba na huduma za ujenzi kwa bei nafuu

    Unaposema nyumba ya kawaida una maana gani mkuu,yakupasa kufafanua vizuri ili wateja wako tukuelewe.Office yenu ni wapi au mnapatikana wapi!
  17. K

    Vigezo vitakavyotupa Rais bora 2015 (Dini, Muungano, kipato, elimu, Katiba Mpya, wafadhili)

    GPA si kigezo unategemea umesoma nini na umeipateje vile vile,tunazishuhudia kibao za ovyo ovyo tu
Back
Top Bottom