Search results

  1. Mlatino Zeshalo

    Ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeipenda

    Ndugu wanajamvi, habari za majukumu? Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
  2. Mlatino Zeshalo

    Nifanyeje mtu wa pembeni asione ninachofanya kwenye PC yangu?

    Habari wakuu, Nipo ofisini katika kampuni fulani. Ninapitia wakati mgumu sana kwani meza yangu ipo angle mbaya sana. Boss wangu ambaye ni CEO wa kampuni anaona kila kitu nachofanya kwenye PC yangu. Hii PC inaonesha clear sana kiasi kwamba hata mtu aliye umbali flani ananizoom vizuri...
  3. Mlatino Zeshalo

    Online Interview kwa post ya Business Development Officer

    Habari za kazi wakuu, Katika jaribu jaribu nimebahatika kupata interview kwenye moja ya shirika kubwa hapa bongo na Interview itafanyika online. Binafsi siyo mgeni kwenye interview lakini sijawahi bahatika kufanya online (face to face). Nimewahi kufanya paper ilitumwa kwa email lakini hii ya...
  4. Mlatino Zeshalo

    #COVID19 Yaliyonikuta baada ya kuchomwa chanjo ya COVID-19

    Habari zenu wana JF Natumai mambo yanaenda vizuri ukizingatia leo ni siku ya mapumziko kwa wengi wetu. Niende moja kwa moja kwenye mada, tar 16 mwez huu siku ya j3 nilifanya booking online kwaajili ya kupata chanjo ya covid 19. Nilitamani sana nipate hiyo chanjo siku ya ijumaa tar 20 mwez...
  5. Mlatino Zeshalo

    Natafuta Kazi, Internship au volunteerism

    Natafuta kazi
  6. Mlatino Zeshalo

    Natafuta LCD ya Samsung Galaxy note II used

    Mwenye nayo tuwasiliane kwa namba zangu za simu 0766686913.
  7. Mlatino Zeshalo

    Nauza simu aina ya samsung galaxy note 2

    Simu aina ya samsung galaxy note 2 (shv-e250k) naiuza shs za kitanzania 350000. Simu imetumika. Anaye hitaji tuwasiliane kwa 0762908352. Npo mwanza.
  8. Mlatino Zeshalo

    LNatafuta aptop aina ya HP used au mpya

    Natafuta laptop aina ya hp used. bajet yangu 300k.
  9. Mlatino Zeshalo

    Tablet aina ya G'FIVE ipo sokoni kwa 200k

    Nauza tablet aina ya G,FIVE kwa sh. laki mbili
Back
Top Bottom