Search results

  1. Mlatino Zeshalo

    Msaada mwenye connection ya ajira nchi za Kiarabu

    Hii ni serious? Hakuna utapeli kweli?
  2. Mlatino Zeshalo

    Chumba cha kulala kinatakiwa kiwe na ukubwa gani standard?

    Kaka choo ni ndefu lakini siyo pana, yani inanikosesha raha kila nikiicheki. Sema nashukuru Mungu kwa ilipofika na ukizingatia ni nyumba ya kwanza.
  3. Mlatino Zeshalo

    Phone4Sale Pata simu kwa bei nafuu

    A54 inauzwa kubwa namna hiyo? Asee hii tanzania siyo nchi huru
  4. Mlatino Zeshalo

    Ujenzi wa Haya Mashimo ya Choo ni Bora, Tuambieni Tusije Kujichanganya

    Umeandika mambo mengi sana, hiyo gharama inajumuisha materials zote?
  5. Mlatino Zeshalo

    Ndege John nimejitafuta hatimaye nimejipata

    Siku nyingi sijaingia JF. Hatari Saną
  6. Mlatino Zeshalo

    Tujuzane mbinu wanazotumia matapeli kuwatapeli wafanyabiashara za miamala ya kifedha

    Huu ni utapeli au uvamizi? Kwanini unataka ujifunze mbinu za utapeli?
  7. Mlatino Zeshalo

    Naombeni connection ya kazi

    Sasa kazi za viwandani utaziweza dada? Nasikia huwa siyo lelemama
  8. Mlatino Zeshalo

    Msaada kuhusu makato ya Serikali

    Take home yake kwa Mwaka baada ya makato ni 16,300,000
  9. Mlatino Zeshalo

    Naombeni connection ya kazi

    Wewe ni ke au Me?
  10. Mlatino Zeshalo

    House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Kweli kabisa, analeta tangazo ukimuuliza swali anakujibu nifollow
  11. Mlatino Zeshalo

    House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Sasa kama unataka nikufollow instagram huku umefata nini?
  12. Mlatino Zeshalo

    Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

    Wewe mwenye faida yoyote humu jukwaani endelea kuwatia moyo kama huo moyo wako ndiyo utakaojenga nyumba zao
  13. Mlatino Zeshalo

    Nafikiri kijana anayejenga katika usawa huu anatakiwa apewe heshima yake

    Kama bado hujaanza ujenzi nakushauri usijenge. Yani kuezeka tu nyumba nimetumia 12m. Ujenzi siyo mchezo jamani
  14. Mlatino Zeshalo

    Msaada wa Ramani ya Nyumba

    Acha kumtisha. Ramani zipo nyingi sana za bure
  15. Mlatino Zeshalo

    Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

    Hukusema wazee wa kitanganyika. Ungesema ningekuelewa
  16. Mlatino Zeshalo

    Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

    Wazee wapi unawazungumzia wewe walishinda vijiweni baada ya kutoka shamba? Wazee wakizanzibar wanashinda maskani kuanzia asubuhi mpaka jioni.
  17. Mlatino Zeshalo

    Msaada: Kubadili taarifa za NIDA

    Taarifa ya hovyo kabisa hii. Bhasi ni kitu gani?
  18. Mlatino Zeshalo

    Nauza simu iphone X gb 64 350,000

    Storage capacity ndio tatizo
Back
Top Bottom