Search results

  1. I

    Usafi wa Mwanamke

    Hii ni kitu ya kucopy na kupaste, japokuwa hapa sio topic mpya ila ningependa kushare, tukumbushane tena, nanyi nyote Habari zenu kina dada, mama na wadogo zetu. Tungependa ku-share nanyi kuhusiana na jambo moja. Tafadhali tumia hii kama changamoto kutaka kutafuta habari zaidi, kama sio...
  2. I

    Furaha!

    Amani iwe kwenu wana JF, Napenda kuwashikrikisha ili wapendwa ( tulichambue, tuelezana, tufundishana) Katika jamii yetu kila binadamu anahitaji furaha katika maisha yake yote, lakini furaha iyo yapatikana wapi? nani anaepaswa kukupa furaha?? Kuna kamsemo tumezoea kusema, mke mwema, baba...
  3. I

    Toyota dcm inauzwa.

    Toyota DCM (daladal) inauzwa ipo kwenye hali nzuri, inapiga ruti mbagala-mwege bei kuanzia m 22, maelewano yapo, kama unahitaji piga no 0714 845239.
  4. I

    Msaada tafadhalini

    :typing::loco:Napenda kuingia kulee kwenye mambo ya kikubwa ila nashindwa, kuna sms ni lazima nitume maombi kwa invisiple, nimejitahidi ila sijafanikiwa. pls mwenye kuelewa naomba anieleweshe tafashali
  5. I

    hello members!

    hodi humu ndani waungawana, natumai wote wazima, naombeni mnikaribushe tafadhali
Back
Top Bottom