Search results

  1. I

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Habarini humu ndani. Nina shamba bagamoyo fyukayose, nimesoma maelezo ya kilimo cha tikiti imenipa uchu nami kuanza kulima kilimo hiki, sasa basi naomba mwenye ujuzi wa eneo hilo anijuze haya: 1.Ardhi ya kule inafaa kwa kilimo cha tikiti? 2. Endapo nikichimba maji naweza nikawa nafanya kilimo...
  2. I

    Ratiba ya mapishi ya wiki

    Habarini humu ndani, Familia nyingi za Kitanzania tumezoea kila siku ni lazima chakula kiwe ugali mchana, jioni wali. Naomba mwenye uelewa wa chakula bora atusaidie kupata ratiba ya wiki ya mlo kamili kwa ajili ya familia zetu. Natanguliza shukrani
  3. I

    Nimewakumbuka, MMU Legends

    Dhu shukrani Mbu, Babu alikuwa nani vile?? miaka inakimbia.
  4. I

    The brutal death of Emmanuel Sithole

    OOOhhh My God!, Kwa nini unaruhusu haya yatokee??? Rest In Peace Emmanuel
  5. I

    Kware: Ufugaji bora wa Kware, Na faida ya bidhaa zitokanazo na Kware

    Ubarikiwe sana Deo. Mie naomba mfano wa picha la banda la kufugia hao kware.
  6. I

    Jamaa aliyeongea kichaga na kuimba kiarabu siku ya KTMA anaitwa nani?

    dha aliniongezea siku huyu kaka kwa kucheka, nilimkubali. anaimba kiarabu anaongezea sijui nini na niniii, puuu,:smile-big::smile-big:
  7. I

    Maskini Mr. Nice

    Ajifunzi tu?? hana wivu wa maendeleo???? ana nini huyu??? aaagggrrrrrrrrr
  8. I

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Kila nafsi itaonja mauti,...... Rest In Peace Albert.
  9. I

    M to the P kashatua bongo

    sasa ni lipi lipo sahihi?? mara hana taharifa kama Albert kafariki, hapa yuko njiani kuelekea moro, lipi ni sahihi??????
  10. I

    Millad ayo!

    Anastahili hongera, aendelee kukuaza buti atafika mbali, mie huwa situne mawingu kbs ILa ikifika saa moja jioni napenda kusikiliza kipindi chake, anasauti nzuri, ni mbunifu, Ubarikiwe Milardi.
  11. I

    Queen of the Gorillas (Malkia wa Masokwe)

    mmmmm hapa kazi ipo, ni kitendawili kujua kitakachoendelea.
  12. I

    Mama yangu adui yangu

    Sio mchezo, dha! Mzizi hongera sana
  13. I

    Queen of the Gorillas (Malkia wa Masokwe)

    Mzizi mbona pamedoda huku?
  14. I

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mafuta ya alizet nayafanyia nini?? nawapaka kwenye vile viuvimbe?, naweka kwenye maji/chakula au?? naomba ufafanuzi tafadhali!
  15. I

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Shukrani Kubota kwa kuanzisha huu uzi, na wachangiaji wengine mliochangia mbarikiwe!!!!! Mie na swali kidogo, nina kuku alitaga nje ya banda lao, alivyoanza kutamia nilimuhamisha usiku kumpeleka ndani ya banda(mahala nilipotengeneza kwa ajili ya kutania (kulalia), HAKULALIA yale mayai, kesho...
  16. I

    Huyu ndio baba aliemzika mwanae hai -Mbeya

    hii dunia sijui tunaelekea wapi? so sad ....
  17. I

    Mama yangu adui yangu

    Mzizi Bhana! aaa, unaendeleza kidogo mno, usitukatili namna hii mzee
  18. I

    Funga Wiki

    hahahahahhhahh men anaona raha kuangalia makalio tu.
  19. I

    Queen of the Gorillas (Malkia wa Masokwe)

    Mzizimkavu lini itaendelea?
Back
Top Bottom