Search results

  1. T

    Naomba mtanzania aliyeko Washington DC tuwasiliane

    Kadiri ya ombi tajwa hapo juu, nina mpango wa kuja WDC kwa muda. Hivyo naomba ndugu yangu mtanzania uliyeko huko unipe connection hasa ya makazi ya muda kwa bei nafuu au unihost. Kwa mawasiliano zaidi karibu inbox. Ubarikiwe. Ndugu yako Kijana wa kitanzania.
  2. T

    Fuels Economy family car

    Wakuu naomba ushauri wa family car nzuri yenye wastani wa sifa zifuatazo: 1. Seating capacity from 7 packs 2. Fuels economy I.e. engine capacity less than 2000cc 3. Super body appearance 4. Suv 5. Super interior design 6. Offroad suitability
  3. T

    Mkesha wa maombi JF kuinusuru Bandari yetu isiuzwe

    Ngugu wana JF kama mnavyojua kesho ndio kesho, kama wabunge wataridhia mapendekezo ya Mkataba kati ya TZD na Dubai kuhusu ustawishaji wa bandari, maziwa etc. basi hiyo ndio rasilimali zetu hizo ndio hazitorudi tena mpaka mwisho wa ulimwengu huu. Yaani miaka elfu moja baadae sisi tutakaojulikana...
  4. T

    Kuna hatari ya kuwa na anuani ya makazi hewa kutokana na zoezi la anuani linaloendelea

    Nimepigiwa simu na Baba Mzazi kutoka huko Moshi Kilimanjaro na kunieleza ya kwamba kuna hatari kubwa ya kuwepo kwa anwani hewa zitakazotokana na zoezi hili la urasimishaji wa anwani za makazi kama ifuatavyo:- Kwamba, wahusika wanasajili makazi kwa maana ya "nyumba" ambapo Msingi unatafsiriwa...
  5. T

    Plot4Sale Wahi mapema, nauza Kiwanja changu SQM.723-Oysterbay-Dodoma!

    Kiwanja Kipo Oysterbay mita 50 kutoka Oysterbay Lodge, kipo jirani na kituo cha mabasi Oysterbay uelekeo wa UDOM upande wa kushoto kuna barabara ijulikanayo kama Oysterbay road. Kiwanja ni kizuri kwa makazi na biashara pia kinafaa kujenga lodge/guest house na kimezungushiwa msingi wa fensi...
  6. T

    Hii jam ya Moshi leo 24.12.2021 ni kama Mbagala

    Wakuu kuna kamba nzito sana hapa Moshi mjini hadi njiapanda ya Himo. Abiria wamekwama today saa moja jioni
  7. T

    Watanzania tupaze sauti zetu kunusuru uhai wa maelfu ya vifaranga visivyo na hatia vinavyoenda kuangamia

    Leo katika taarifa ya habari ya ITV saa 08:00pm wametoa taarifa ya mfanyabiashara huko Morogoro kukamatwa na mabox 200 yenye vifaranga vyenye thamani ya TZS 40M vilivyoingizwa nchini kinyemela kutoka Kenya. Mwandishi amemhoji mtaalam husika wa Serikali Ni nini kitafuata baada ya ukamataji huu...
  8. T

    Msanii gani angalau amemkaribia Capt. John Komba mpaka Sasa?

    Wakuu nimesikiliza baadhi ya nyimbo za maombolezo zilizotolewa na wasanii mbalimbali Kama vile, Rayvan, Konde Boy, Msechu n.k.. Nikarudi kumsikiliza tena Capt. Komba kwenye nyimbo zake enzi zile za kumuaga Mwl. Nyerere aisee sijaona msanii aliyemfunika hadi Sasa. Embu tujadili hapa mbadala...
  9. T

    Huendi Moshi?

    Chua, Kimario, Shayo, Temba, Temu, Kessy etc. Huendi Moshi?. Nimeulizwa hilo swali karibu mara 10 kwa siku toka Desemba ianze. Kesho natimua aisee.
  10. T

    screen ya Samsung 32 inch

    Wakuu poleni na majukumu. Jana TV yangu ilianguka na kuonyesha mstari kwenye screen. naombeni ushauri kama kioo kinapatikana pia mwenye nacho tuongee aniuzie
  11. T

    Screen ya TV Samsung 32 inch

    Wakuu poleni na majukumu. Jana TV yangu ilianguka na kuonyesha mustari kwenye screen yake kama inavyoonekana. naombeni ushauri kama kioo kinapatikana pia mwenye nacho tuongee aniuzie Picha inagoma kuapload wakuu.
  12. T

    Binti mzuri aliyeko Dodoma aje tubadilishane mawazo

    Wana jamvi niko Dodoma mjini hapa mpweke, nahitaji kampani ya binti wa kurelax nae kidogo bt sio kingono just stories.. Gharama zangu asijali... U know unlike charges atract"
  13. T

    Hotel nzuri Dodoma ya bei nafuu

    Wakuu nitakua Dodoma mjini kuanzia kesho jumapili. Naomba anayejua hotel/lodge standard kuanzia 20,000 hadi 30,000 anipe msaada. Nawasilisha
  14. T

    A chaga wife material click here!

    Hi ladies; My qualifications are: Learned person,hard worker,Roman Catholic,chaga,30yrs old & available Dsm. I invite an interested woman who should meets at least bellow mentioned terms; Should be a roman catholic, voluntarily interested in prayers and with God fear Chaga ( preferably from...
  15. T

    Bikra ajitokeze ndoa nyeupee!

    Kwa mdada yeyote aliyejitunza mpaka kufikia umri Wa miaka 23- 26 nampa zawadi ya ndoa bila kujali mrefu, mwembamba, mweupe, mweusi hata kabila haijalishi. Awe mjasiriamali au kama ana elimu awe na degree na awe ameajiriwa au kujiajiri. Mimi ni kijana mchacharikaji Wa ukweli hutajutia kuja...
  16. T

    A wife material wanted

    Hi ladies; Sifa zangu: Ni msomi, mfanyakazi,Mkatoliki,mchaga,umri 30yrs na niko Dsm. Mwanamke ninayemtaka angalau akidhi vigezo vifuatavyo; Awe mkatoliki anayependa kusali na mwenye hofu ya Mungu,mchaga,umri 23-26,mfanyabiashara/kazi,mnene kiasi,elimu chuo(mwanasheria/mwalimu poa zaidi) na...
  17. T

    Mke bora (wife material) mwanasheria anahitajika

    Mimi ni Kijana mchapakazi, mjasiriamali aliyeenda shule ya kutosha na mwenye mtazamo chanya kimaisha. Nahitaji mchumba wa kweli mwenye shahada ya sheria (Advocate). Aliyeko tayari ani PM tutawasiliana
  18. T

    A single lawyer wanted

    Hi all, I'm a single gentlemen, social, energetic, hardworker with vision hereby looking for a single lawyer to initiate a relationship with intention to create a Domestic relationship. The intended one should possess the following qualities:- Shall be some how tall Shall be a graduate...
  19. T

    A single lawyer wanted

    Hi all, I am a single gentleman, energetic, hard worker, Intrepreneur with vision and mission aged 28 years. Hereby looking for a single lawyer ready for a truth and future oriented relationship who must posses the following attributes: Shall be aged between 23-26 Shall be some how tall...
Back
Top Bottom