Search results

  1. Moseley

    Jirani yangu kapoteza ufahamu gafla chooni ila ni mzima

    Iliwahi kunitokea pia. Mimi nilianguka nikapigiza kichwa though sikuanguka vibaya.. Mke wangu alinisikia nikikoroma, akaja kanikuta chini. Nilikua naona kama naota kama kizungu zungu hivi.. Ilikua immediately baada ya haja ndogo... Nilienda hospital moja kubwa kuchunguzwa, nikaanza na...
  2. Moseley

    Kwanini mkoa wa Iringa hakuna hoteli zenye hadhi ya juu

    Saivilla na Gentle hills.. panatosha pako vizuri
  3. Moseley

    Yeriko Nyerere, Shirika la Majesuit la Kanisa Katoliki siyo majasusi kama unavyodanganya

    Sijapitia uzi wote, ila tafuta vitabu hivi na uvisome vyote.. 1. THE SECRET TERRORIST 2. THE ENEMY UNMASKED.. Halafu urudi.
  4. Moseley

    Kero: George Marato wa ITV

    Taarifa ya habari ITV bila George Marato, inakua haijakamilika...
  5. Moseley

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Mwanakijiji, tatizo Dr Slaa, anaonekana kumwongelea Lowasa peke yake. Jana alivyoambiwa kuongelea ufisadi, alionekana kuegemea upande mmoja tu na kuonekana kumsifia Magufuli. Swali nalofikiri, kwa nini Dr Slaa asingemkatalia Gwajima in the first place? Kwa nini alimuanganisha Gwajima na...
  6. Moseley

    Maandalizi ya mkutano wa UKAWA/CHADEMA uwanja wa Jangwani

    Mbona wingu liko clear hivo? Hiyo sio DSM.. Huoni hali ya umawingu mawingu ya leo? Acheni propaganda.
  7. Moseley

    Majambazi waua maeneo ya Mwenge karibu na Oil Com

    Ni hapa ndo tukio lilitokea. Hapa nilipiga picha kama 40mins baada ya tukio.
  8. Moseley

    Software kwa ajili ya SACCOS

    Ofcoz yangu ni web based
  9. Moseley

    Software kwa ajili ya SACCOS

    Nitafute mkuu.. Nina software ya aina hiyo 0759877896.
  10. Moseley

    Nina Tshs. 300,000, Naweza kuifanyia nini ili mpaka July niwe nimepata ada ya Tshs. 1,114,400?

    Jaribu kwenye foundation zile kama za flavianamatata foundation. Wanaweza wakakusikiliza.
  11. Moseley

    Nataka kununua Toyota Voltz au Toyota Alex

    Naomba ushauri. Nina mpango wa kuagiza gari moja kati ya hizo mbili. Nichukue ipi? Na kwa nn?
  12. Moseley

    Kafulila vs Zitto, Nani aliibua hoja ya Escrow Bungeni?

    Anawayawaya.. analewalewa.. simweshimu tenaa.. ni saa ya ufufuoo na uzimaaaaa... mambo ya gwajima
  13. Moseley

    Sakata la kutaka kuuawa Dr. Slaa: Polisi kuwachunguza Josephine na Mangula!

    Najua vyombo vya usalama havina uhuru. Lakini sasa tunafanyaje? Uchunguzi ni kitu kizuri, ila hatujui haya yanatokea kwa maslahi ya nani. So hata uchunguzi unaweza usiaminike kwa sababu vyombo vya usalama haviaminiki, but hilo haliondoi umhimu wa uchunguzi.
  14. Moseley

    Sakata la kutaka kuuawa Dr. Slaa: Polisi kuwachunguza Josephine na Mangula!

    Ok. Ni vizuri kufanya uchunguzi. Ili tuujue ukweli. Ila pia, yule mwenyekiti wa JKT aliyeteswa na kutupwa porini uchunguzi wake lini?
  15. Moseley

    Amboni Tanga: Askari Polisi, JWTZ wapambana na majambazi wenye silaha nzito za moto

    Kwani Huko Amboni kulikua na maandamano??? Maana mara nyingi magaidi huvizia maandamano. Anyway, sifurahii uwepo wa magaidi. Lakini naomba kulionya jeshi la polisi kuona umhimu wa kushirikiana na wananchi na sio kuwanyanyasa hovyo. Watu humu ndani wengine wanaongea lolote kwa sababu ya jeshi...
  16. Moseley

    Fahamu madhara ya kuvaa chupi

    Tsha sn kmali....cheerz
  17. Moseley

    Kupendwa usipopendwa

    True sayn...gagah
Back
Top Bottom