Search results

  1. M

    Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  2. M

    #COVID19 Wataalam wetu wazalendo watuambie 'content' ya chanjo ya COVID-19

    Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:- Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content) Tutafsiri kila kimoja na faida au madhara yake. Bado dunia haikimbilii sana hizi chanjo. Bado vifo vimeripotiwa kwa hizi...
  3. M

    Hivi naweza kupata fuso fighter tan 4.5 usajili kuanzia B kuelekea C kwa 15?

    Habari Nina kamkopo fulani. Fuso fighter ni tipa, tafadhali hapa izingatie ujazo wa 4.5 Kwa 15milion Inaweza patikana?
  4. M

    Jenerata kati ya 5.5KW na 6 KW ufafanuzi kiasi

    TAFADHALI SINA UFAHAMU WA KUTOSHA WA MAJENERETA. HELA YANGU SI KUBWA NIMEAMBIWA JENERETA 5.5 KW NA LILE LA 6KW NI MAZURI. NILITAKA KUCHUKUA 5.5 KW NIKAAMBIWA IPO 6KW NDO NZURI. HEBU NISHAURINI YAFUATAYO:- 1. 5.5 KW NA 6KW IPI NZURI NITAJIE VIGEZO (NATEGEMEA YA 6 MAANA YAKE INA NGUVU ZAIDI...
  5. M

    Kutengeneza mabox ya kuhifadhia sabuni, mwenye taaluma hiyo anijuze tafadhali

    Habari, Nina kijana wangu anaweza kutengeneza sabuni za mche nzuri tu. Sasa katika kuhifadhi, ninahitaji maboksi madogo madogo. Unakumbuka yale ya sabuni za komoa, mbunju, hata kodrai, mshindi. Yale yanapatikanaje? Sambamba na hilo, kuna mihuri ya kuandika jina na maandishi kadhaa kwenye...
  6. M

    Hebu wataalamu saidieni 'kusoma sms ambayo iliyofutwa'

    Tafadhali ndugu zangu, Kuna ujumbe nilifuta kwa ajili ya kupata nafasi kwenye simu, sasa nina uhitaji tena. Inawezekana kuupata na kuusoma tena Ni simu ya teckno pouvoir 3
  7. M

    Seat covers za magari imara Dar es Salaam

    Habari. Tafadhali, duka lipi hapa Dar seat covers za magari zinauzwa, zikiwa ni zile imara. Nilifika Kariakoo, duka la kwanza nimezikuta. Tshs 240,000 inashuka hadi 220,000. Duka la pili naambiwa uliyoona kule ni feki, mimi nakuuzia 200,000 ambayo niliambiwa duka la kwanza ni 240,000. Duka...
  8. M

    Kitu muhimu mnapouziana ni hivi

    Viongozi tukumbushane, unakwenda kununua gari, kwa mtu (sio show room), kitu cha kwanza kadi, pili mkataba, Unaweza taja kitu kingine. Lengo ni kuhakikisha hakuna nafasi ya kutapeliwa. Tushauriane
  9. M

    Gari! gari! gari! inahitajika

    Kaka yangu anataka gari, amenipa utaratibu huu 1. Gari aina ya Harrier, namba za usaji D, kiasi kisizidi 11m 2. Kama ni prado isizidi 14m na usajili D 3. Kama ni Kruger, isizidi 12m na usajili D Sasa natangaza hilo ukiona gari katika range hiyo tafadhali itupie hapa. Fedha kwa kiwango...
  10. M

    Nyumba ya kulala wageni Morogoro nimepata changamoto hapo

    Nimefika jioni pale Msamvu (stendi). Akatokea jamaa mmoja, .....aaah ticha vipi habari ya siku, najua unanikumbuka nilikuwa agent (wa basi hilo nililosafili nalo). Ulikuwa unakuja nakukatia tiketi pale, ticha bwana. Anaongea maneno mengiii NIKAMJIBU WEWE NI MWONGO, MIMI NDIO KWA MARA YA KWANZA...
  11. M

    Rose Muhando kama hii ni kweli Mungu amsaidie

    KWA MAELEZO HAYA YA MARTHA MWAIPAJA TUSIMLAUMU ROSE MUHANDO "Msanii wa nyimbo za injili Martha Mwaipaja ambaye ni miongoni mwa wasanii walio karibu sana muimbaji Rose Muhando ameeleza kilichotokea kwa Rose Muhando . Martha ameeleza jinsi Rose alivyojiingiza kwenye madawa ya kulevya na jinsi...
  12. M

    Gari kubwa kidogo aina ya prado inauzwa

    Nimeona facebook gari inauzwa aina ya prado. Bei iko 12m hiyo nzima kweli. Km 120,000. Wazoefu someni juu ya hii kitu. Pia harrier, kluger
  13. M

    Machine ya kusaga na kukoboa nafaka.

    Habari ndugu zangu tafadhali tujuzane juu ya biashara ya machine ya kukoboa na kusaga nafaka. 1.Mashine yenyewe; kiwango cha chini kabisa cha fedha cha kuweza kununua machine yenye tija ......... 2.Uendeshaji a. Namna bora ya udhibiti hasa ukiwa mbali na biashara ilipo b.Eneo sahihi la kuweka...
  14. M

    Laptop imeibiwa kuna namna yeyote kwa kutumia simu au computer nyingine kuitafuta

    Habari. Laptop imeibiwa. Kuna namna yeyote ya Ku trace kwa lengo la kuipata. Tafadhali
  15. M

    PSPF subsidiary scheme uchangiaji na namna ya kuondoka katika uchangiaji

    Endapo mteja ulikuwa unachangia kwa hiari katika Mfuko ambao nimeutaja, ikifika wakati wa kujiondoa kwa ujumla, kuna fedha yeyote utakatwa au unapewa fedha yote kama ulivyochangia?. Kama kuna mmoja wetu alishatumia huduma hii, changamoto yake ni nini hasa. KARIBU.
  16. M

    Je wajua Mbwana Samatta alikuwa ni mfungaji bora msimu wa mwaka 2016/2017 kwa timu yake?

    JE WAJUA KWAMBA KATIKA MSIMU WA MWAKA 2016/2017 - WA LEAGUE YA JUPITER - BELGIUM, MBWANA SAMATA ALIIBUKA MFUNGAJI BORA AKIWA NA MAGOLI 11 KWA TIMU YAKE YA RACING GENK AKIFUATIWA NA Nikolaos Karelis AKIWA NA MAGOLI 9? ZINGATIA, NI NDANI YA TIMU YAKE NA SI TIMU ZOTE. MFUNGAJI BORA WA JUMLA KWA...
  17. M

    Snapsim - Hii application ipo au ni wizi

    Habari. Hii application nime download, ipo katika simu yangu na nimejaribu kuitumia sioni mafanikio. Je kuna mtu amfanikiwa kutumia application hii anipe uzoefu. Thanks
  18. M

    Nampenda Trump tu kwa sababu hataki mashoga

    Kama kichwa kilivyo, endapo atalishughulikia hilo ipasavyo itakuwa rahisi hata kwa nchi za Afrika kupambana na hili na kufikia hatua nzuri. Utakumbuka Malawi ilishawahi kuwatia hatiani mashoga wawili na kuwahukumu miaka 30 jela. Waliachiwa baadae baada ya kukemewa na Marekani kuwa ni kinyume na...
  19. M

    Nimeanza ujenzi ili nisipange tena

    Nimeanza ujenzi ili nisipange tena. Ila gharama inataka kuharibu ka- lengo kangu hako. Nyumba yenyewe ni mita 13 x mita 15. Mtaalamu asaidie idadi ya bati zinazohitajika. Lakini pia .... Kwa wanaofahamu, bati hizi za kawaida, gauge 28 ziko recomended sana hadi katika majengo ya serikali...
Back
Top Bottom