Search results

  1. M

    Kiasi cha 10,000,000 hisa za kampuni gani zitanipa angalau hela nzuri?

    Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
  2. M

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina awaumbua wanaotaka kufuta "Legacy" ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Magufuli ameonesha njia sahihi saana ambayo tz tukipita tutafika mbali sana. Hii kitu haijawahi tokea kwa kipindi chote ambacho tumekuwa nacho. Ameonesha kwa vitengo ni kitu ambacho wengi hawakufikiria. Kumbe inawezekana. Tunaweza kuacha siasa za kudanganyana tukachagua maendeleo ya kweli...
  3. M

    #COVID19 Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Kuna watu huwezi waambia lolote juu ya Magufuli, hawaji kukuelewa. Kwa sababu aliyoyafanya yameeleweka zaidi. Kuna kundi lipo na mtazamo tofauti, sijui kwa mwelekeo wao. Huu ni mtaji wa kisiasa kwa kundi fulani, Kuendelea kumsema marehemu ni kuimarisha mpasuko, Na matokeo hata kama si sasa...
  4. M

    #COVID19 Wataalam wetu wazalendo watuambie 'content' ya chanjo ya COVID-19

    Najua si rahisi sana lakini ni vema kama nchi ikapambana kujua vema na kuwaongoza wananchi wake:- Maabara zitambue kwa makini chanjo hizo ziko na vitu gani hasa(content) Tutafsiri kila kimoja na faida au madhara yake. Bado dunia haikimbilii sana hizi chanjo. Bado vifo vimeripotiwa kwa hizi...
  5. M

    #COVID19 Watu 29 wameshakufa kwa wimbi la 3 la Coronavirus. Wagonjwa wafikia 858 Tanzania nzima

    BADO ISIWE NDIO PAPARA YA KUTOA CHANJO. WATAALAMU WETU KWA UAMINIFU WATUSAIDIE KUJUA CONTENT YA CHANJO. DUNIA BADO HAIENDI KASI NA CHANJO HII. USALAMA WAKE NA NINI KITATIKEA MBELE HAVIJATHIBITISHWA.
  6. M

    Hivi naweza kupata fuso fighter tan 4.5 usajili kuanzia B kuelekea C kwa 15?

    Habari Nina kamkopo fulani. Fuso fighter ni tipa, tafadhali hapa izingatie ujazo wa 4.5 Kwa 15milion Inaweza patikana?
  7. M

    Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

    😂😂😂 rafiki yangu usipende ukabila kabisa. Acha hivyo vitu sio vizuri. Kila mmoja anaweza kusifia chake Kama ulivyofanya wewe, na sio gharama, halafu unasifia hadi tabia za kijinga kabisa. Mada hii ungeweza kuweka kwa namna nyingine endapo lengo lako ni kuamsha watu wapambane kupata kwa...
  8. M

    Njombe: Mfungwa apora Bunduki kwa Askari na kumpiga kaka yake kwa kushindwa kumtoa Gerezani na kuuza mashamba ya familia

    Yaani wewe bure kabisa. Unashangaa majina. Tukio umeacha, uwasilishaji kukosa viwango hujaona.....dah!
  9. M

    Jenerata kati ya 5.5KW na 6 KW ufafanuzi kiasi

    Asante kwa ushauri. Nitafanyia kazi pia
  10. M

    Jenerata kati ya 5.5KW na 6 KW ufafanuzi kiasi

    Nilijaribu kuulizia juu ya bei kuna mtu kaniambia hii ya 6kw ni milioni 2.5. Najifunza kwamba natakiwa kuangalia limetengenezwa wapi. Kutokana na maelezo ya awali. Thank you
  11. M

    Jenerata kati ya 5.5KW na 6 KW ufafanuzi kiasi

    Asante sana kwa ufafanuzi mzuri. Hiyo ya 10kw inapatikana kwa bei gani? Tafadhali.
  12. M

    Jenerata kati ya 5.5KW na 6 KW ufafanuzi kiasi

    TAFADHALI SINA UFAHAMU WA KUTOSHA WA MAJENERETA. HELA YANGU SI KUBWA NIMEAMBIWA JENERETA 5.5 KW NA LILE LA 6KW NI MAZURI. NILITAKA KUCHUKUA 5.5 KW NIKAAMBIWA IPO 6KW NDO NZURI. HEBU NISHAURINI YAFUATAYO:- 1. 5.5 KW NA 6KW IPI NZURI NITAJIE VIGEZO (NATEGEMEA YA 6 MAANA YAKE INA NGUVU ZAIDI...
  13. M

    Kutengeneza mabox ya kuhifadhia sabuni, mwenye taaluma hiyo anijuze tafadhali

    mbu wa dengue, Aise nakushukuru sana. Hakika bado uzalishaji mdogo sana, si wa kumudu gharama kubwa.
  14. M

    Kutengeneza mabox ya kuhifadhia sabuni, mwenye taaluma hiyo anijuze tafadhali

    Habari, Nina kijana wangu anaweza kutengeneza sabuni za mche nzuri tu. Sasa katika kuhifadhi, ninahitaji maboksi madogo madogo. Unakumbuka yale ya sabuni za komoa, mbunju, hata kodrai, mshindi. Yale yanapatikanaje? Sambamba na hilo, kuna mihuri ya kuandika jina na maandishi kadhaa kwenye...
  15. M

    Hivi wairaq wapoje kitabia?

    Nimeoa huko. Nampenda, amenizalia watoto wazuri nawapenda. Mengine mtajua wenyewe. Mimi nimeridhika. Anamtumia fedha mama yangu mzazi na baba yangu mzazi kila mwezi. Hajawahi kudharau wazazi wangu. Wazazi wangu wana furaha sana. Imenitosha kabisa.
  16. M

    Hebu wataalamu saidieni 'kusoma sms ambayo iliyofutwa'

    Nilihitaji irudi kwenye simu. Anyway nitaangalia uwezekano mwingine
Back
Top Bottom