Search results

  1. B

    Nauza kiwanja kipo Vikindu barabarani stand

    be reasonable kama siomuhitaji basi pita tuu...
  2. B

    Nauza kiwanja kipo Vikindu barabarani stand

    Achakupotosha watu wewe be reasonable, ndio Maana kunamawasiliano hapo kabla hujaandika lolote unge patauthibitisho kwanza.ila kwa kuwa wewe siomulewa wacha nikuelimishe Kiwanja hakikondani ya hifadhi ya barabara..kwa muhitaji nipigie 0713 377167/0756 377167
  3. B

    Nauza kiwanja kipo Vikindu barabarani stand

    Ooh sorry nimeiona SMS yako, Kiwanja kipo karibu sana na barabara kwa kupima kilometre hata kilometer moja haifiki. Kiwanja kipo mahali pazuri sana pia unaweza kujakukiona .
  4. B

    Nauza kiwanja kipo Vikindu barabarani stand

    mbona Sijaona meseji yoyote mkuu?
  5. B

    Nauza kiwanja kipo Vikindu barabarani stand

    Kiwanja kipo Vikindu barabarani kabisa,umeme upo na miundombinu mingine IPO, kina ukubwa wa futi 60 kwa 50. Kinafaa kwa Ujenzi wa nyumba au biashara, bei ni mil.3 na nusu kwa anayehitaji wahi mapema hakina Dalali. Nipigie kwa 0713-377167/ 0756-377167
  6. B

    msaada maswali written interview registration officer II

    wadau msaada wa maswali gani yanaulizwa kwenye kada ya registration officer II anayejua tafadhali . nimeitwa utumishi
  7. B

    Kiwanja kinauzwa Vikindu barabarani

    kiwanja bado kipo mwenye kuhitaji awai mapema nipigie nambazangu hizo.
  8. B

    Eneo kubwa la wazi linauzwa Mbagala Charambe

    eneo kubwa La wazi linauzwa pia ndani yake Lina nyumba ya vyumba vi4 na fremu za biashara 4. eneo hill liko karibu sana na barabara kuu na kuna Barabara ya Gari inafika mpaka kwenye eneo hilo linafaa kwa makazi yadi Bandar kavu kiwanda. bei million 120. maongezi yapo 0713-377167/0756-377167...
  9. B

    Kiwanja kinauzwa Vikindu barabarani

    Kiwanja kipo Vikindu Mkuranga karibu na barabara kuu umeme umefika eneo hilo, kina ukubwa wa futi 60 urefu-50 upana kuna barabara ya Gari inayofika mpaka kwenye Kiwanja. bei million 4 maongezi yapo 0713-377167/0756-377167.
  10. B

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    mi nauza pajero kwa mil.7 ikovizuri sana ni cheki 0713377167
  11. B

    Nahitaji kununua gari Saloon/Suzuki Escudo

    mi nauza Pajero mil.7 bt maelewano yapo 0713377167
  12. B

    Gari inauzwa Mitsubishi Pajero

    tumia namba hii 0713377167 nikurushie watsp.
  13. B

    Gari inauzwa Mitsubishi Pajero

    Gari iko katika halinzuri na inatembea body type ni station Wagon, colour Blue/ silver, ya mwaka 1992, Engine Capacity 2477,fuel ni diesel, seating capacity 7. bei ni 7,000,000 /(million 7). kwa mawasiliano 0713377167,0756377167 wahi mapema & maelewano yapo na kadi ipo.
  14. B

    Ukumbi wa kisasa Jullie Paul Social Hall

    Ni ukumbi wa kisasa kwa ajili ya shughuli kama Harusi, Sendoff, kitchenparty, mikutano, mahafali, kipaimara, ubatizo, semina na nk.Una Standby Genereta, Maji yanapatikana masaayote,vyoo vizuri na vyakisasa, upishi mzuri wa vyakula kulingana na menu aliyochagua mteja,tunatoa...
  15. B

    Jullie Paul Academy Inakutangazia nafasi za masomo.

    Ni English medium school mpya na yakisasa,Tunapokea watoto kuanzia miaka 2 1/2-kuendelea kwa ajili ya Nursery classes, na tunaandikisha Darasa La kwanza, kwa watoto waliomaliza nursery endapo atafaulu interview yetu.Shule inamazingira mazuri yakusoma,usalama ,tunatoa chakula asubui na...
  16. B

    Nafasi za kazi walimu wa nursery na primary

    shule ipo Vikindu wilaya mkuranga about benefits kama unasifa zilizotajwa tuwasiliane.
  17. B

    Nafasi za kazi walimu wa nursery na primary

    JulliePaul academy inatangaza nafasi za kazi za walimu kwa nursery na primary. sifa awe na uzoefu wa miaka 5 ya kufundisha nursery au primary. shule inatoa benefit mbalimbali na mishara hupatikana kwa wakati. kwamawasiliano 0715377167/ 0754692414
  18. B

    Natafuta Gari la milioni 1.5

    kaka mbona hujanitafuta nina chaser Baloon auto nauza mil 1.5 inatembea body & engine vikopoa more details nicall 0713377167.
  19. B

    kiwanja kinauzwa futi60-60 sh.milioni4 na laki 3.

    kama ni mnunuzi wa ardhi kwa hiliutaelewa, Kiwanja kipo Mjini kabisa miaka inapozidi dhamani ya ardhi inapanda.
Back
Top Bottom