Search results

  1. L

    Ndugu January Makamba - New website

    jamaa amejitahidi na kama livyosema bado ipo marekebishoni........ataweka na kiswahili pia, shake of the haters............ kizungu sawa hakina mtiririko mzuri na hakivutii kusoma kinaboa kidogo maana, 'I' ni nyingi mno hana mtirirko mzuri wa kusimulia lakini alichoeleza hivyo hivyo tumuelewa...
  2. L

    Ni ma celebrity gani wa bongo wanaomiliki nyumba? Majina

    Joyce nakuunga mkono umbeya tu ukishajua itakusaidia nini?kasome katiba ya nchi uijue vizuri itakusaidia kujua kama wenzako jana arusha wameonewa au wana haki
  3. L

    Wana JF tujadili hii picha

    watz waoga, wacheki watu wa cote d'ivore walivyo wazalendo na nchi yao
  4. L

    Nairobi bus blast 'caused by Tanzanian with grenade'

    jina tu linatosha kusema jamaa aliyelipua bomu sio mtz, huyo police commisoner wa kenya anatakiwa kutoa vigezo vingine kuthibitisha ni mtz. asijifanye ajui kuwa huko Kenya maofisa wao pia wanauza passport kwa wa somali na wahindi...kenya kunanuka rushwa pia,ila kwa vile kenya na Tanzania ni...
  5. L

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    KWA KIFUPI ASIYEKUWAPO NALAKE HALIPO...................you are no longer a priority to her someone else is.........ujue wewe tena kwishney.....
  6. L

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    ask her who is keeping you busy, ama mtest kwa kumwambia i can see you are busy with the phone ngoja nikuache ukimaliza niambie.halafu uone ata react vipi. ukiona bado yuko busy na simu basi kuna mtu anamwmabia vitu vya KUMFURAHISHA
  7. L

    Elections 2010 Jamani Lyatonga Mrema kapatwa na ugonjwa gani?

    jamani huyo MRema, si akatulie kwao atunze afya yake, siasa ya nini sasa au ndio njaa? nahisi kwapatwa na kirusi cha akili
  8. L

    Elections 2010 Hivi Malaria Sugu ndiyo Mzee wa Kiraracha nini?

    wana jamvi mmelonga kwa codes sana kwenye hii topic, wengine tumewachwa solemba........
Back
Top Bottom