Search results

  1. jcb

    Cd ya ngono!

    Jamaa kaletewa Laptop yakufanyia marekebisho na mpenzi wake anaetaraji kufunga nae ndoa nakuishi kama mke na mume. Katika kuiwasha akagundua ndani ya cd drive kuna VCD ku play ni ya picha za ngono. Katika kumhoji mpenzi akadai hapa town hiyo ni biashara huwa analetewa anazitoa copy kwaajili...
  2. jcb

    Naunga mkono hoja!!!

    Naomba mnisaidie katika hili, Hivi hawa wabunge wa ccm inakuwaje wana lalamikia hotuba za bajeti sana na mwisho wanaunga mkono hoja nimekuwa nikitafakari jambo hili na sijapata jibu kama ndio utaratibu wa chama au ndivyo inavyo stahili kuwa. Naomba kuwa silisha angalao mnifungue katika hili.
  3. jcb

    Shughuli bandari ya dsm za simama!!!!

    wana Jamii, Mchana huu Mh. Raisi J.K ameingia bandarini kukagua shughuli zina vyoendeshwa. Wadau tunao shughulika humu ndani tumezuiwa kuingia, mageti yamefungwa kupisha ugeni huo. Hivi storage watatudai au ndo tumeumia sijui uchumi wa nchi hii unaendeshwaje kwakweli nine kwazika sana leo
  4. jcb

    Duh! Nmb noma

    Hivi punde nimetokea mitaa ya kati kuutafuta mchana mwema, hapa NMB morogoro Rd. branch kuna foleni kubwa ndani kiasi kwamba Binti mmoja ameshindwa kuhimili amedondoka na kuzirai hivi nimepishana na wasamaria wema wamembeba wana muwahisha APOLO Hosp. iko jirani kabisa na benki hii. Kweli kuna...
  5. jcb

    Mabasi yaendayo kasi....!

    Serikali inaanzisha mradi wa mabasi yaendayo kasi kuja katikati ya jiji ili kupunguza msongamano na foleni katikati ya jiji. Barabara ndo hivyo Mh. John P. Magufuli anaendelea nayo ili kufanikisha hili. Hivi kweli hili ndilo suluhisho la foleni? Na mabasi haya yataleta tija kwa Taifa hili? Je...
  6. jcb

    Mbowe aunda Baraza la Mawaziri Vivuli - ni la CHADEMA

    Mh. Freeman Mbowe anazungumza na atatangaza mawaziri vivuli kutoka Chadema ambapo ameteua mawaziri 29 ilikuishi kwa kile walicho kihubiri... Msemaji mkuu 1. Mh. Freeman Mbowe Msaidizi ... Mh. silinde tuendeleze.............
  7. jcb

    Zitto atoa mwongozo wa kauli

    Mbunge wa Kigoma kaskazini Mh. Zito amemweleza Spika awasisitizie mawaziri wapungeze salamu na kuitana dada, mke wangu kaka yangu na pia waeleze maslahi binafsi kwenye mambo wanayo changia kama yapo........ Hebu tuone Spika ata fanyaje
Back
Top Bottom