Search results

  1. jcb

    Series (Special thread)

  2. jcb

    Jipu hili limeiva! Wizi kupitia Vodacom internet bundle!

    Ujumbe nimeufanyia kazi na punde nikapokea gawiwo langu la faida kwa kutumia Mpesa!
  3. jcb

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    5! Duh
  4. jcb

    App ya kuchekia mechi kwenye android

    Kila unalotakiwa kujua kuhusu iptv kuangalia tv kwa kutumia internet Tafuta Topiki hiyo hapa jamii forum utapata jibu la unacho kitafuta
  5. jcb

    Waziri Mkuu Majaliwa aitaka TAMISEMI kujieleza kwanini mabasi yaendayo kasi hayajaanza kufanya kazi

    Asikilize! Kwani yeye ni mgeni TAMISEMI? ndipo alipokuwa akitumikia sasa jipya lipi analo taka kujua kutoka kwa Katibu wake?
  6. jcb

    Familia ya Mawazo na CHADEMA washinda kesi ya pingamizi la polisi, sasa kesi ya msingi kusikilizwa

    Unaweza fumba macho kama hutaki kuona! Na pia hulazimishwi kushiriki
  7. jcb

    Linganisha ofisi ndogo na makao makuu, hapo sasa

    Moja kwa hisani ya kampuni iliyo tangaza kufilisika hivi karibuni! Hsc
  8. jcb

    Mgombea Ubunge CCM Vunjo: Kina Mbatia na UKAWA walitaka kunipa 250,000,000 nijitoe

    Huyu hafai kabisa TAKUKURU wapo kila wilaya iweje aje atoe propaganda ya kijinga kiasi hicho. Hata Magufuli mwenyewe kaamua kumnadi Mrema badala yake maana kiongozi wa namna hii hastahili hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.
  9. jcb

    M/kiti CCM Kilakala ndg. Hoza na Katibu CCM mkoa Morogoro ndg. Kimeta wamepata ajali

    Kusema Ubaya wa mtu siyo tatizo, Tatizo ni dhihaka ya afya ya mtu hapo ndipo tatizo lilipo maana uzima ni tunu kutoka kwa Mwenyezi Mungu hakuna anaye ombea udhaifu katika mwili wake au mapungufu ya muumbaji.
  10. jcb

    Mgao wa umeme ukiendelea, Simbachawene kutoteuliwa Cabinet ya Magufuli!

    Mkuu katika janga ninalo liona mbeleni ni huyu bwana akiukwaa huo uraisi, Maamuzi yasiyo zingatia mazingira, weledi na hekima kwa ULEVI wa madaraka tutajutaa.
  11. jcb

    Rais Kikwete amtaja mhusika wa Richmond

    Bulembo unapaswa kutambua Sumaye ana stahili malipo pamoja na ulinzi kama haki yake ya msingi ki KATIBA. Siyo swala la kumwambia aache awe raia wa kawida KATIBA YA NCHI inataka hivyo.
  12. jcb

    Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

    Mkopo! Unaandika lakini?! Huo ni wake na familia yake masharti na vigezo vilizingatiwa hivyo Nssf wanataratibu zao kukusanya madeni halituhusu sisi.
  13. jcb

    Tusimpuuze Dr Slaa enyi watanzania

    Preta hata mimi kwa hili nilikubaliana na Mwigulu moja kwa moja
  14. jcb

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Nilisha chagua Lowasa sito badili nia kwa maneno ya Slaa maana alipaswa kunishushu kabla ya safari kwa sasa naitazamia nchi ya ahadi yeye aka pumzike alee mjukuu wake! (Maana umri wake na mwanae ni mtu na mjukuu. Kanisani kashindwa, Ndoa kashindwa, CCM kashindwa, CDM ndo hivyo tena sasa hata...
  15. jcb

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Umri wake na anayo tenda hata haviendani. Nimeamini kuasi kazi ya kanisa ni jambo ambalo linalipwa hapa hapa duniani
  16. jcb

    Video: sehemu tu ya Mtikisiko wa Dr. Slaa, Serena hoteli

    Hili siamini kama anaweza kulifanya nani atamlinda?
  17. jcb

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Alipaswa kutoa hizo stori zamani siyo sasa maana hata jiwe nitalipa kura yangu. Nacho jiuliza kwanini hawaendi mahamani kumshitaki?
  18. jcb

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mzee amenisikitisha kuona anadharau vijana wa bodaboda na vijana wasio na shughuli kwakuwaona siyo asset wenye chama
  19. jcb

    Magufuli Vs. Lowassa, nani zaidi katika Utekelezaji?

    Hujafa hujaumbika punguza ukali wa maneno
Back
Top Bottom