Search results

  1. amshapopo

    Ndugu Amos Makalla na ndugu Nchimbi hamna mvuto mmepoa sana wananchi hawawaelewi

    Kweli kabisa hamna kitu. 2025 Samia hasomeki, Wapambe hawasomeki. Kazini kuna kazi
  2. amshapopo

    Ushauri kwa watu wote walioajiriwa

    Hii inaitwa take or leave
  3. amshapopo

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    UTT AMIS sio uwekezaji wa mda mfupi upate utajiri wa haraka. Huu ni uwekezaji unaohitaji muda mrefu. Mfano walioanza kuwekeza 2005 Umoja fund thamani ya kipande ulikuwa 70 let's say mtu aliweka 70m at that time now thamani ya kipande ni 1007 it means angekuwa na 1bil now. Just imagine 19 years...
  4. amshapopo

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Kwa huo mshahara kwangu Mimi ninge budget ifuatavyo; Chakula - 150,000/= ningependelea kupika geto kama ni wali nakula usiku na asubuhi nanywea chai. Pango isizidi 50,000/= -Nauli kama ni mbali na kazini ningehakikisha gari moja to office - 50,000/= - Mengineyo - 50,000/= Savings UTT -...
  5. amshapopo

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Kwa wenye haraka na mafanikio biashara is the best way but risky. Virse versa is true
  6. amshapopo

    Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Bajeti ya maskin Tajiri haiwezi
  7. amshapopo

    Dada wa Wema Sepetu akutwa na hatia ya utakatishaji fedha Marekani

    Labda za kudanga zitakufaa zaidi
  8. amshapopo

    Aliyeweza kuimudu Tanzania ni Hayati Magufuli tu? Mbona tunakwama sana?

    Yule mwambaaaa...., itoshe kusema RIP
  9. amshapopo

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Ndio unalipa mwenyewe kule hela zako zinaendelea kuongezeka. Ukifeli kulipa wanachukua kiasi ulichofeli kwenye collateral yako
  10. amshapopo

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Unaweza chukua mkopo Hadi 80% ya pesa yako uliyoweka UTT. Ukishaweka pesa zako UTT utapewa certificate ambayo itaonyesha kiasi chako cha pesa ambzo zitastand as collateral kwenye benki yoyote
  11. amshapopo

    DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    Very true wanajali maslai Yao zaidi hata serikali kufuatila haya ni shida
  12. amshapopo

    DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    Unaonekana umewahi fanya kazi viwandani au bado unafanya kazi
  13. amshapopo

    DOKEZO Serikali mulikeni kiwanda cha pombe cha Kingdom kilichopo Kalobe Mbeya

    Tatizo TRA wanapambana na dagaa tu, mapapa wnawaacha
Back
Top Bottom