Search results

  1. fige

    Tuliomkataa Lowassa, Makuwadi wa Mabadiliko "Yale" na Waliojipanga Nyuma Kosa Letu Nini?

    Hili ndilo tatizo la kuwa shabiki na ubashiri wa matokeo kwa kuegemea upenzi. Ukishinda lazima uendelee kutamba kwamba nilisema mimi as if kusema kwako ndio kumesababisha ushindi au ukishindwa lazima uendelee kutafuta visingizio. Hata hivyo mpaka sasa sijaona mshindi maana matokeo Ya kura...
  2. fige

    Hapa kazi tu: Tutalia na kusaga meno, a short time to come

    kwa ujumla ni vigumu kutambua mizania ya uzuri na ubaya wa jambo mpaka baada ya matokeo.Na busara ni kuweza kuchukua hatua zinazobashiria matokeo mazuri ,na katika kufanya hivyo si vema kupuuza tahadhari kwa sababu mchuma janga hula na wa kwao.Siku zote jicho la pembeni huona makosa kwani uzuri...
  3. fige

    DC Makonda, ni Kujipendekeza au Utovu wa Nidhamu?

    Ni wenye bahati wachache sana nchi hii wanaweza kupata madaraka bila kuwa wanafiki hii ni tangu enzi zile.
  4. fige

    CCM, Serikali Mbili Zilizoboreshwa, na Hatima Ya Muungano

    Ni kweli kabisa Hapa chochote tunachofanya ni rushwa ya kuwabembeleza waukubali muungano lakini kinacho onekana ni kwamba hawana haja nao. Mara nyingi najiuliza juu ya dhana ya kumezwa maana yake nini sipati jibu labda kama kuna watu wanajua maana ya Nyerere alipokataa serikali moja akiogopa...
  5. fige

    Tamko la wapemba waishio Tanzania bara kuhusu Muungano

    Ukweli ni kwamba Raisi wa JMT hana mamlaka Zanzibar hili JK analijua sana ndio maana anasisitiza na Tanganyika ikizaliwa Raisi wa JMT atakuwa hana mamlaka popote ,kwa hiyo wanaokubaliana na hoja hiyo ni wale wanaokubali Tanganyika kufa kwa ajili ya muungano wakati Zanzibar ikiwa haipotezi kitu...
  6. fige

    Pamoja na makosa ya JK kikatiba,kimaamdili,na kuondoa haki ya Raia..etc.CCM wanadi hayo makosa

    Inawezekana kulikuwa TUME 2 za kukusanya maoni ya wazi na ya siri kwa hiyo Warioba katoa maoni ya wazi na JK katoa ya siri
  7. fige

    Pamoja na makosa ya JK kikatiba,kimaamdili,na kuondoa haki ya Raia..etc.CCM wanadi hayo makosa

    Kiongozi,usipotoshe watu Warioba alikuwa hasimamii kura za maoni alikuwa anakusanya maoni, hicho unachokisema wewe na Raisi wako ni kura ambayo inamhusu kila mpiga kura na si kila mtanzanzia.Kumbuka Raisi wako alichaguliwa na asilimia ngapi ya watanzania wote na asilimia ngapi ya...
  8. fige

    Soma hotuba ya warioba inasemaje kuhusu muungano

    Inawezekana kabisa hujaelewa kwamba maana ya kauli hiyo ni kukubaliana na ule usemi wa changu ni changu ila chako ni chetu.Kwa mujibu wa maelezo hayo unakubaliana na uhalalishaji wa Tanganyika kuwekwa rehani kwa ajili ya Tanzania kwani rasilimali zinazotumika ni za kwake pekee na ndizo ambazo...
  9. fige

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Tatizo si kwa wazanzibari bali ni kwetu kwa kuwa inaonekana dhahiri sisi ndio muungano kwa sababu zifuatazo 1.Raisi amesema kuwa kwa kuwa na serikali tatu, Raisi wa muungano hatakuwa na watu,rasilimali na ardhi kwani vyote vitakuwa vya washirika kwa hiyo ana maana kuwa watanganyika tuendelee...
  10. fige

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Naendelea kumsikiliza mheshimiwa Raisi juu ya utetezi wake kuhusu kuendelea na mfumo wa serikali mbili. Pamoja maelezo mengi nilichogundua ni kile alichotetea sana kinachoonekana kwenye mlengo wa uwezeshaji wa serikali ambapo kwa sasa inaonekana sehemu kubwa Tanganyika ndiyo inayobeba mzigo...
  11. fige

    Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Ndugu yangu ukiishutumu cdm peke yake unaonekana lengo lako si kupata ufafanuzi bali kuihujumu chadema nadhani busara ni kuwauliza wabunge wote. Au una maana kwa vile hilo hawajahoji kwa hiyo na mambo mengine wasihoji ? Anyway nilikuwa najaribu kupata maana yako tu.
  12. fige

    Kupanda kiinua mgongo cha Wabunge: Nini msimamo wa Upinzani?

    Ndugu yangu ukiishutumu cdm peke yake unaonekana lengo lako si kupata ufafanuzi bali kuihujumu chadema nadhani busara ni kuwauliza wabunge wote.
  13. fige

    PROF.SOSPETER MUHONGO AWAKOSHA WATANZANiA W

    Ukiona mtu anashabikia na kufurahia kuwa mtumwa ni jambo la hatari sana ,na ni hatari zaidi pale mtu huyu anaposhabikia kuwa mtumwa nyumbani kwake akitumikia mali yake kwa manufaa ya wengine.
  14. fige

    Waziri Muhongo na dharau kwa wawekezaji wazalendo

    Hii dharau kwa watanzania haifai kupuuzwa inatupeleka kubaya. Kauli na msimamo wake umelenga kuokoa bajeti ya miaka miwili mitatu hivi lakini hakuna nia yeyote ya kukomboa uchumi wa watanzania. Umesema sawa kuwa profesa si kuwa na mtazamo ni kuwa na kisomo tu, mtazamo na kisomo ni vitu viwili...
  15. fige

    Ajali Mbezi Magari Saba

    siku za mwizi ....................................................
  16. fige

    Kikwete: Nalaani CHADEMA kutaka kutengeneza kikundi cha Kujilinda

    Inanistua na kunishangaza sana hii nchi yangu TZ ,hivi hizi kampuni za ulinzi kote nchini ni za serikali ? au wanaposisitiza polisi jamii na sungusungu wanamaanisha nini ?Hivi hawajui kuwa vikosi vya ulinzi ni majeshi ya vikundi vya watu au mtu mmojammoja ? Labda polisi watukumbushe wajibu wa...
  17. fige

    Watu wengi wanaoipigania CHADEMA ni wale wavivu wasiopenda kufanya kazi-Malibwa(udsm)

    Mbona anatudanganya kwani wasomi ndio matajiri wa nchi hii ? Nina wasiwasi kama amefanya utafiti au alikuwa anawaza ,maana kuna tofauti ya kutafiti na kuwaza.
  18. fige

    Kitabu cha Mch. Mtikila juu ya mauaji ya Chacha Wangwe

    Kama anaandika kitabu kiwe ushahidi mahakamani angalau ninaweza kufikiria kumuamini ,lakini kama anaandika kitabu ili auze hapo bila kupiga ramli ni kwamba anatafuta hela ya kujikimu maana bongo bila usanii ngumu kuishi.
  19. fige

    CHADEMA haiwezi kushindana na serikali kwa namna hii; Iitishe mgomo wa Kitaifa!

    Watanzania hasa wafanyakazi walishaanza mgomo miaka mingi iliyopita na matokeo yake yapo dhahiri, Mashuleni watoto kufeli,madaktari kufanya kazi bila kujali nk. Tatizo ni watawala kutokuelewa na kutoguswa na athari za migomo hiyo.
  20. fige

    Utatuzi wa uvunaji wa gesi Mtwara bado kitendawili. Chanzo ni nini?

    Ukiona viongozi wanakimbilia jf kutoa hisia zao ujue hawana mahali pengine huru pa kutolea dukuduku zao. Pole zao watu wa Mtwara
Back
Top Bottom