Search results

  1. O

    Nimekwama!

    Wadungu nili-install XAMPP siku chache zilizopita, the apache ikawa inagoma ku-start nikaja kukundua kuwa previous installation ya XAMPP ndio tatizo, kwani under services>apache ilikuwa inapoint ktk old installation ambayo(installation folder nimedelete tayari) nilikuwa nimeidelete zamani sana...
  2. O

    Msaada kwenye tuta!

    Wiley, PHP & MySQL Everyday Apps for Dummies (2005)). Mtazamaji angalia boldface...hawana source codes za kitabu hicho... Nashukuru kwa mchango wako...thanks sana Ukizipata niwekee link tafadhali.
  3. O

    Msaada kwenye tuta!

    Naomba msaada wa source codes za kitabu hiki hapa kwa mwenye nazo(Wiley, PHP & MySQL Everyday Apps for Dummies (2005)). Mwandishi anaitwa JANET VALADE. Soft copy ya kitabu ninayo, lakini Souce codes sinazo. Nimefikiria kukinunua lakini sina VISA card...pia sina udhoefu wa kununua kupitia...
  4. O

    Cuf and company kukimbilia viti vya chadema ni kieleelzo cha usaliti wao

    Ninyi hamuelewei kabisa...waislamu ni wabaguzi sana...hapo kimewauma muislamu wenzao JK kabanwa pabaya...ingekuwa nkapa wala huyo mahari seifu,shei hamadi na wenzake wasingeongea lolote...ni udini udini...jk kabanwa naye kabanika...yeye mdini alafu anajidai anapiga vita udini akalale bagamoyo...
  5. O

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    Wanafunzi?au wametumwa?njaa nyingine bana...hawana ada afu wanamsaidia mkwere...mmeishiwa ninyi..usomi wenu wa mashaka.
  6. O

    U-SPIKA: Sitta, Chenge wapigwa panga CCM!

    WanaJF, Mama ANNA ABDALA ndiye speaker wetu kuanzia leo. PM anabaki MIZENGO PINDA. Mawaziri wengi mwaka huu ni kinamama tuu, wanaume imekula kwao. MwanaJF Dodoma.
  7. O

    Msaada wa haraka unahitajika!

    Wadau JF! Naomba sehemu ya sheria za nchi+TRA zinawahusu(zinazofafanua utaratibu mzima) wale(hasa wanafunzi) wanaopaswa kupatiwa msamaha wa kodi, pindi wanapoingiza vitu vyao nchini. Natanguliza shukrani. Octoba, 31 tujitokeze kwa wingi pia, kufanya kweli.
  8. O

    Nafasi-Kazi!

    Nimesikia The Guardian la Tarehe 20, mwezi huu lilikuwa na matangazo ya kazi za kumwaga. Naomba mwanaJF aliye na kipande hicho aturushie hapa tuanze kutuma maombi kwa wahusika. Natanguliza shukrani.
  9. O

    Used Dell-Laptop Inauzwa!

    Dell Inspiron 640m RAM: 1GB HDD: 120GB Price:600,000(laki sita)TSHS ONLY. Mob:0656-621964
  10. O

    Oca

    Thanks mtazamaji Ningependa kufanya 1Z0-051 na 1Z0-052, sasa namalizia kusoma 1Z0-051 and Oracle® Database SQL Language Reference11g Release 2 (11.2) , lakini nahitaji mawazo zaidi na mbinu nyingine hasa kwa watu wenye experience kama wewe. Naomba msaada wako wa tricks za kushinda hii...
  11. O

    Oca

    Najiandaa na mtihani wa Oracle OCA Naomba msaada wa mawazo toka kwa wadau wenye experience ya hii mitihani. Shukrani.
Back
Top Bottom