Search results

  1. Ado Shaibu

    Uchaguzi 2020 Pazia la kutangaza nia lafunguliwa ACT - Wazalendo

    TAARIFA KWA WANACHAMA NA WAPENZI WA ACT WAZALENDO. Kama inavyofahamika, 2020 ni mwaka wa Uchaguzi Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani. Kwa upande wa Zanzibar, watachagua pia Rais wa Zanzibar na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi. Chama cha ACT Wazalendo...
  2. Ado Shaibu

    Zitto aibua mazito ripoti ya CAG

    Zitto aibua mazito ripoti ya CAG • Matrilioni yatumika ‘juu kwa juu’ • Serikali hoi kwa madeni • Aifananisha na mchana • Ahofia ‘EPA’ nyingine BoT SERIKALI ya Tanzania imevunja Katiba kwa kutumia kiasi cha shilingi trilioni 1.7 bila ya kupitia Mfuko Mkuu ambao hukaguliwa na Ofisi ya Mdhibiti...
  3. Ado Shaibu

    Fatma Karume kujitosa kwenye siasa?

    "Nime-dare kuchukua kesi ya Ado kumpeleka Rais Mahakamani ili nihakikishe anafuata katiba yetu. Feleshi (Jaji Kiongozi) ananishughulikia ili kesi zote za kikatiba ninazozisimamia zikose mtu wa kuzisimamia. May be Mungu anataka niingie kwenye kitu kingine. May be kuwa Wakili is no more a place...
  4. Ado Shaibu

    Hukumu ya Ado Shaibu Vs Magufuli kesho

    Mahakama Kuu ya TZ Chini ya Jaji Kiongozi Dk. Feleshi kesho tarehe 20 Sept ( Saa 7.00 Mchana) inatarajia kutoa hukumu ndogo (Ruling) khs mapingamizi yaliyowekwa na Serikali kwenye kesi ya Ado Shaibu Vs. John Pombe Magufuli & Others kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi...
  5. Ado Shaibu

    ACT Wazalendo na CHADEMA wamlilia mwandishi Godfrey Dilunga

    Source: Mwananchi Newspaper. Vyama vya upinzani nchini Tanzania vya Chadema na ACT- Wazalendo vimetoa salamu za rambirambi kwa familia ya aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Jamhuri, Godfrey Dilunga aliyefariki usiku wa kuamkia leo Jumanne Septemba 17,2019 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
  6. Ado Shaibu

    Zitto na Lissu wameruka kiunzi cha kwanza

    ZITTO NA LISSU WAMERUKA KIUNZI CHA KWANZA Na Ado Shaibu. Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa ACT Wazalendo na Tundu Lissu, aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA wanao wajibu wa kipekee katika kuiondosha CCM madarakani kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka...
  7. Ado Shaibu

    Zitto Kabwe , Tundu Lissu turufu uchaguzi mkuu 2020

    ZITTO KABWE , TUNDU LISSU TURUFU UCHAGUZI MKUU 2020. ____________ Na Ado Shaibu. Kabla ya kuandika chochote ninaona ni hekma kutangaza kwanza maslahi kuwa mimi ni Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mawasiliano na Umma wa chama cha Act Wazalendo. Nafasi hii inanipa madaraka ya kuwa msemaji wa kauli...
  8. Ado Shaibu

    Msomi UDSM atabiri kifo cha CUF 2020

    MSOMI WA UDSM ATABIRI KIFO CHA CUF 2020 Mwanazuoni kutoka Idara ya Fine and Performing Arts ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dk. Charles Kayoka amesema Chama cha CUF kitadhoofika ifikapo mwaka 2020 kutokana na kupukutikiwa na viongozi na wanachama wake waliojiunga ACT Wazalendo kumfuata Maalim...
  9. Ado Shaibu

    Vyeo NEC vinatolewa kwa rushwa

    TUME YA UCHAGUZI VYEO VINATOLEWA KWA RUSHWA"- MSAFIRI MTEMELWA "Hata vyeo vinatolewa kwa rushwa. Leo ukienda Tume ya Uchaguzi aliyekuwa Katibu Mwenezi wa CCM Ramadhan Mapuri leo ni Kamishna wa Tume. Yaani aliyekuwa Msemaji wa chama kama Polepole leo yeye ndio Kamishna wa Tume!! Leo unamuona...
  10. Ado Shaibu

    Maalim Seif akagua hali ya biashara Zanzibar kuelekea sikukuu ya Eid

    Jana tarehe 03 Juni 2019, Makamo wa Kwanza wa Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwanachama wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad ametembelea mitaa mbalimbali ya Unguja (Mlandege, Mchangani na Mbuyuni) kujionea hali halisi ya biashara katika kipindi hiki kuelekea sikukukuu...
  11. Ado Shaibu

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Anaendelea na Ziara Kusini

    Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Ndugu Yeremia Kulwa Maganja anaendelea na ziara yake kwenye mikoa ya Lindi na Mtwara. Kwenye ziara hiyo iliyoanza tarehe 30 Mei, Mwenyekiti amepita majimbo ya uchaguzi ya Newala mjini, Tandahimba, Mtwara Mjini, Ruangwa, Lindi Mjini na leo atahitimisha kwa kufanya...
  12. Ado Shaibu

    Tanzia: Tumaini Bigilimana Diwani Viti Maalum Kibondo kupitia ACT Wazalendo Afariki Dunia

    TANZIA: Chama cha ACT Wazalendo kinasikitika kutangaza kifo cha Diwani wake wa viti maalum katika Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo Ndg. Tumaini Bigilimana ambacho kimetokea leo tarehe 03 Juni 2019 katika Hospitali ya Rabininsia iliyopo Jijini Dar es salaam. Taarifa za mazishi zitatolewa baada...
  13. Ado Shaibu

    Waheshimiwa Hashim Rungwe na Fahmi Dovutwa Wahojiwa na Polisi na Kuachiwa Huru

    UPDATE: WAHESHIMIWA HASHIMU RUNGWE NA FAHMI DOVUTWA WAMEHOJIWA NA POLISI NA KUACHIWA HURU. Mh. Hashimu Rungwe, Mwenyekiti wa CHAUMMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ushirikiano wa Vyama Nane Vya Upinzani na Mh. Fahmi Dovutwa, Mwenyekiti wa UPDP wamehojiwa leo katika kituo cha polisi cha...
  14. Ado Shaibu

    Ng'ombe Wasio na Vichwa" Kwenye Siasa na Ofisi Zetu

    "NG’OMBE WASIO NA VICHWA’’ KATIKA SIASA NA OFISI ZETU Na Ado Shaibu Wakati Wazalendo wa Msumbiji chini ya Chama cha FRELIMO wakipambana bila kuchoka kuung’oa ubeberu wa kireno na baadaye kuwadhibiti waasi wa RENAMO, upande mwingine kulikuwa na jambo la kuvunja moyo likiendelea. Maelfu ya...
  15. Ado Shaibu

    Barua Ndefu kwa Prof. Shivji (Mrejesho)

    BARUA NDEFU KWA PROFESA SHIVJI (MREJESHO) Na Ado Shaibu Kwa Profesa Issa Shivji, Ustaarabu wetu adhimu wa Kiafrika tuliourithi toka kwa wahenga unatutaka vijana kuwa na heshima na kufanya maamkizi kwa wakubwa. Shikamoo Komredi Issa Shivji! Ninakuandikia barua hii nikifahamu pasi shaka...
  16. Ado Shaibu

    Kuzikwa kwa "Siku ya Matambara" na Kuzaliwa kwa Rev. Square

    KUZIKWA KWA SIKU YA MATAMBARA NA KUZALIWA KWA REV. SQUARE Na Ado Shaibu “Tukio la kusheherekea maisha na mapambano ya Komredi Walter Rodney si jambo geni kwenye kampasi hii ambayo hapo kabla tuliita kwa kujivunia ‘Mlimani’. Miaka ishirini na tano iliyopita wakati Rodney alipouawa na Burnham (...
  17. Ado Shaibu

    Tumempeleka Rais Magufuli Mahakamani kwa malengo maalum

    Tunamshtaki Rais Magufuli Mahakamani kwa Malengo Maalum. Tangu mwaka jana nilipokata shauri kufungua kesi Mahakama Kuu ya Tanzania kupitia kwa Mwanasheria wangu Wakili Fatma Karume kupinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Dk. Kilangi, kumekuwepo na mjadala kuhusu maeneo kadha wa kadha ya...
  18. Ado Shaibu

    Jeshi la Polisi linambeba DED wa Itigi kwa maagizo na manufaa ya nani?

    JESHI LA POLISI LINAWABEBA DED WA ITIGI KWA MANUFAA YA NANI? Chama cha ACT Wazalendo kimesikitishwa na taarifa ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida iliyonukuliwa na vyombo vya habari kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Ndugu Pius Luhende "alikuwa nje ya kanisa wakati mauaji...
  19. Ado Shaibu

    Mwalimu Nyerere, Samwel Sitta na kura ya maoni

    MWALIMU NYERERE, SAMWEL SITTA NA KURA YA MAONI ‘’Hoja ya pili wanayoisema ni ile ya kura ya maoni. Wanasema: ’Kuhusu suala la kura ya maoni, serikali iliona kwamba utekelezaji wake ni sawa na kufanya uchaguzi mkuu, jambo ambalo ni la gharama kubwa. Aidha kwa kuzingatia kuwa kura ya maoni...
  20. Ado Shaibu

    Utamu wa biriani

    UTAMU WA BIRIANI Utamu wa biriani Si harufuye puani Au rangiye machoni Haitoshi asilani Uzuri wa biriani Tonge liende kinywani Ladha nono ulimini Rahaye paka moyoni Mithili ya biriani Mke hapimwi machoni Uzuri wa maungoni Hautoshi niamini Uzuri wa mke jamani Awe mjuvi jikoni Tabia njema...
Back
Top Bottom