Search results

  1. Mdau Makin

    Unatumia bando la internet kiasi gani kwa mwezi?

    Kweli hii ni mikwara ya andunje
  2. Mdau Makin

    INAUZWA Kutana na dalali wa nyumba na viwanja jijini Arusha & Dar es salaam

    Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii... Kwa Mahitaji Ya Vyumba, Nyumba, Viwanja, Mashamba, Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach, magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mikoa ya Arusha na Dar es salaam Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba,Beach,Magari Nk...
  3. Mdau Makin

    KUTANA

    Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii... Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba, Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani Ya Mikoa ya Arusha na Dar es salaam Pia Kwa Mwenye Nyumba,Plot,Kiwanja, Mashamba,Beach,Magari Nk...
  4. Mdau Makin

    Naomba kujua bei ya gunia la mahindi kwa sasa hapa dar es Salaam, bei ya jumla

    Mkuu kwenu wapi..? Nicheki basi 0755989048 Asante,
  5. Mdau Makin

    Polisi yawaonya Viongozi wa Makundi ya WhatsApp. Yawataka kutoa taarifa kuhusu uhalifu utakaofanyika kundini

    Wanatetemeka, wanaogopa nini hasa... Hawajui kuwa Wasapu ipo hand to hand encrypted....? Wadukue kama wanaweza nyambafu.... Wabunifu Wa huu mtandao walishajua saro iatawafatilia sana RAIA wake.... So wakatuwekea... SEKYURITI
  6. Mdau Makin

    TRA: Tumekusanya jumla ya Shilingi Trilioni 3.65 kuanzia Julai hadi Septemba 2017(Robo ya kwanza mwaka wa fedha 2017/18)

    Hii taarifa imeonekana kuwa ni fake... Maana takwimu inaonyesha makusanyo ya mwezi September wote....ilihali barua imechapishwa tarehe 10/09/2017.... Hamuoni kuwa tumeongopewa hapo...? Mnaopongeza inabidi tuwachunguze vyeti...
  7. Mdau Makin

    MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

    We Anakuambia hivi kwakuwa hukuitafuta nyumba mwenyewe Ila kwa msaada wa dalali.... Kama ndivyo basi inakubidi utumie the same way uliyoitumia mpaka ukaijua nyumba... kama uliijua nyumba mwenyewe bila dalal je dalali anahusikaje hapo..? Tafuta nyumba, kiwanja peke yako alafu uone kama dalali...
  8. Mdau Makin

    MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

    Kila kazi inachangamoto yake bandugu.... Na hakuna kazi nyepesi.....
  9. Mdau Makin

    MJADALA: Nini kifanyike kuwadhibiti madalali wa nyumba, vyumba, mashamba, gari n.k?

    Hivi bado mnamda wa kubishana na huyu Mr.Zero...?
  10. Mdau Makin

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    kichaa kapewa rungu yangu macho wajameni.............
  11. Mdau Makin

    Matokeo ya Bunge la Afrika Mashariki: Saba washinda, Mnyaa safi, Wagombea wa CHADEMA waangukia pua

    Nimemuona happyness from zero to hero... Hongera yake
  12. Mdau Makin

    Hii bendi ilianza vizuri lakini sasa sijui inakoelekea

    nimeota bashite kamwoa mtoto wa sizonje... Ndio maana anatumia nguvu nyingi kumtetea .. Mwee hz ndoto nyngne bwana?
  13. Mdau Makin

    Askofu Gwajima atofautiana na Ruge Mutahaba kuhusu tukio la Clouds Media!!

    Tusijifanye kama hatujui, huyu bwana(Gwajima), ameshawahi kukutana na misukosuko mingi ikiwemo kukamatwa, kuteswa na pia kuvunjwa vunjwa miguu ili asitembee jambo lilifanya na wale viumbe wafata amri.. Mnakumbuka Nabii Elia alikuwa anawafanyaje wale wote waliokuwa wanataka kumkamata.?. JIBU...
  14. Mdau Makin

    Njia rahisi ya kufika nchi yoyote Duniani

    Safi sana hiyo Dumelang
Back
Top Bottom