Zitto Ni naibu Katibu Mkuu Chadema.This means Hana taarifa ya mawasilisho au mawasiliano Kati ya ofisi yake na ya msajili?Kuwa mwenyekiti wa PAC Ni jambo la ziada na haiondoi kumbukumbu za nyaraka kichwani mwake, akiwa kama Naibu Katibu Mkuu Chadema.Vinginevyo huu unaibu Katibu Mkuu Ni wa jina...
Rekebisho:
Siyo PSFP Bali Ni PSPF.
Kama malipo ya Mwaka ni bilioni 50 kuna tatizo hapo.
Kwa mahesabu ya haraka ulipaji wa deni hilo bila riba yeyote utachukua muda usiopungua miaka 120.
Haya makampuni ya simu have very interesting internet packages and when you get enrolled they screw you hard big time!!
How?
Mfano; ukinunua tigo TShs 450 package a day make sure salio lako ni zero isibaki hata senti OTHERWISE;
Ukimaliza hiyo package ya siku [50MB] kabla siku haijaisha...
Kimsingi hata kama ni Raisi hana exclusive rights kumwona mgonjwa kama; Daktari wa mgonjwa husika atakataa kwa idhini ya mgonjwa husika au mwanafamilia wa mgonjwa husika.
Wadau.
Nimenunua simu ya IDEOS toka Tigo but realized imekuwa customized for Tigo ONLY
HELP TO UNLOCK IT?
Help to unlock my freedom to use it for the network. Of my choice.
Ninapata harufu kama wewe ni mfanyakazi wa Zantel kwenye idara ya finance na masoko vile....hata na hivyo....hujaeleza chochote hapo...mimi nimeshapata ya Voda, saafi kabisa....zantel trash....
This is more than shutuma. Kuna rafiki yangu ameongea na well placed source huko zantel, amenidokezea kwamba hawa ndugu hhawatabadilisha uamuzi haraka kiasi hicho....dawa yao moja tu...kuanzia kesho subirini mziki wao....tcra wameshindwa kututetea sisi tunajitetea wenyewe...
sawa sawa mkuu...na mimi siongezi hata thumni...na ila sintawaacha hivi hivi kwa kuniharibia jumatatu yangu.they screwed me and i will screw them even more and mine will be louder than them.....
Countdown.....zimebaki saa 24 nianzishe massive campaign kwenye social networks against Zantel move screwing up her customers
Coming up....blog, facebook page and twitter, mpaka watie akili nina hasira miye........:frusty::frusty::frusty:
Nimejaribu kufanya analysis kidogo kwa kutumia dataset kutoka website ya TCRA
Katika kipindi cha June-September 2010 walipoteza wateja 302,223
Hii ni katika kipindi ambacho makampuni mengine ya simu yanavuna wateja, in other words, they were getting the market right!
Ninaamini, na kwa jinsi...
Humu humu panatosha, tunatoa nje kidogo tu kwenye facebook na blogs wewe utasikilizia moto wake.
Lazima watie akili.
The good thing is, network ya wanaotumia Zantel wote wako kwenye facebook.So when you put an ad kwenye facebook it reaches them all, here I mean more than 200,000 Tanzanians on...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.