Search results

  1. M

    Ninazuiwa kupata uhamisho kazini, nifanye nini?

    Habari walimu wenzangu, najua mpo. Mimi nilifuatilia uhamisho direct mwenyew Tamisemi kwa Katibu Mkuu kutokana na changamoto za maradhi. Nilitumia vyeti vya hospitali kumuomba Katibu Mkuu hatimaye akanipa kibali, sasa huku halmashauri kwangu Afisa Utumishi amegoma kunifungia data kuwa mpaka...
  2. M

    Naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya barua pepe (email)

    Habari wakuu, Nilikua naomba msaada wa jinsi ya kutuma maombi JWTZ kwa njia ya Email. Naomba mnielekeze jinsi ya kutuma unavyo upload barua na viambata vyote. Asanteni.
  3. M

    Ushauri asomee nini

    Habari ndugu zangu naombeni ushauri Nina mdogo wangu amepatq hizi marks form 4... division 4 ya 29, civics f, history d, geography d, kiswahili c, English d, chemistry f, biology d, math f....nataka kumtafutia chuo je anaweza kusomea nn kwa marks hizo maana Sina ninalo lijua Nisaidieni
  4. M

    Kiasi cha oxgen Kiko chini

    Habari ndugu zangu, toka mwaka Jana nimekuwa nakabiliwa na tatizo la oxygen kuwa chini (circulating) kila nikienda hospitali nikipimwa iko 82 mpk naogopa Yani,nilikua naishi mkoa wa joto mwaka Jana nikahamia mkoa wenye baridi sn na baridi inanishindwa hivyo nimekua nikiumwa nimonia Mara kwa...
  5. M

    Naomba msaada wa kimawazo wa kumsaidia mdogo wangu

    Habari zenu wakuu, Nina mdogo wangu alihitimu Form 6 mwaka 2017 na kupata division two na kuchaguliwa kwenda UDSM kusomea BED akaripoti kama mwezi hivi zikatokea nafasi za kwenda JKT akaacha chuo na kwenda huko na bahati mbaya zaidi hakuhairisha masomo kisheria aliondoka tu kienyeji. Sasa wiki...
  6. M

    Wix, american dream, dela nk

    Habari warembo nilikua naomba kueleweshwa hivi hizi cream kama wix, dela nk ni asilia hazina chemicals? Nataka cream kutumia asilia lakini zitakazoipa ngozi yangu mng'ao na rangi amazing.. navutiwa zaidi na wix je haina chemical.
  7. M

    Nimepigika nisaidie mawazo

    Habari wakuu, Mwaka juzi baada ya kumaliza chuo na kukosa kazi ya nilichosomea, nikaanza kufanya kazi ya receptionist ktk hoteli ya wahindi. Sijawahi fanya kazi ngumu km ile kwanza hamna off kilasiku kazini afu ni night shift tu ila nilivumilia sababu ya shida zangu, hawalipi vuzuri sn...
  8. M

    Wekeza na airtel money branch

    Habari ndugu zangu. Naona airtel wana hizi fursa za wekeza na airtel money branch. Viduka hivi vimetapakaa kila kona. Je kama mtu anahitaji kufungua hivi viduka ni taratibu gani zifuatwe na je linakua ni duka private la mtu au ni la airtel. Msaada plz
  9. M

    Mpenzi ameng'ang'ania simu yangu

    Habari.. Mimi ni binti nilikuwa naishi na mwanaume kienyeji tu toka mwaka 2017 mwezi wa 8. Nilikuwa nasomea ualimu na nilimaliza mwaka Jana December..kifupi mwanaume wangu sio fighter ni wale mama's boy..hana shuguli yoyote anayofanya na tulikua tukiishi kwao na maisha yetu yalikua magumu na ya...
  10. M

    Naomba kujibiwa hili swali kwa hekima kuhusu kuishi ukweni

    Mu hali gani? Samahani naomba kuuliza kama mtu umeolewa na unaishi ukweni, halafu hapo ukweni ni familia kubwa yuko mama mkwe na mawifi kama 5 hivi.. Namna bora ya mke ambaye ni mama wa nyumbani kuishi nao ni ipi? Mke aamke asubuhi akishafanya kazi zote zinazotakiwa aende akakae nao sebuleni...
  11. M

    Simuelewi mume wangu, 'anachat' na mama wa kizungu

    Wapendwa habari za leo, Niko kwenye ndoa mimi na mume wangu huwa hatufichani kitu ikiwemo password za facebook. nk. Kifupi mume wangu hataki kabisa nitumiwe text yoyote facebook au SMS za kawaida na mwanaume yoyote nami kwa kuwa namuheshimu najiweka mbali kabisa na mambo hayo. Sasa juzi usiku...
  12. M

    Je ninazo sifa za kupata mkopo?

    Habari zenu wakuu. Naombeni kueleweshwa juu ya hili, mimi ni mwanafunzi wa diploma ya ualimu wa shule za msingi, nipo mwaka wa kwanza, niliishia kidato cha nne. Sasa nataka michakato ya mikopo ikianza na mimi ni-apply so ningependa kufahamu je nina sifa za kupata mkopo au sina, ili niache tu...
  13. M

    Kompyuta ni wewe na wewe ni kompyuta

    Wakuu naombeni msaada wa kufafanuliwa heading hiyo..Kompyuta ni wewe na wewe ni kompyuta (fafanua)
  14. M

    Ni nini matumizi ya namba kamili katika maisha yetu ya kilasiku?

    Naombeni msaada wa majibu kwa swali hilo hapo juu?
  15. M

    Msaada wa swali la hisabati

    Habari. Naombeni msaada wa swali hili. Eleza matumizi ya namba kamili katika maisha ya kila siku (katika mfumo wa insha)
  16. M

    Kampa mwanamke mimba anadai bado ananipenda

    Habari JF, Mimi ni binti nilikua na mpenzi wangu tuliyedumu kwa miaka miwili, ingawa hakua officially ila alijulikana kwetu. Kuna kipindi tulikwazana mwezi mzima baadae tukaelewana. Sasa hivi majuzi, nimegundua ana mwanamke na ana mimba yake. Tukakaa chini kuzungumza anadai alikutana na...
Back
Top Bottom