Ikiwa ni siku kadhaa tangu Asasi za Kiraia nchini kama sehemu ya wadau katika kuchangia mabadiliko ya sera na sheria mbalimbali kupokea mapendekezo ya marekebisho ya sheria nane tofauti (mapendekezo hayo yalifikishwa kwa Kamati ya Bunge ya katiba na Sheria kwa hati ya dharura), Twaweza...
Teleza ni jina linalomaanisha aina ya ubakaji unaotokea ndani ya kata ya Mwanga Kusini katika Halmashauri ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.
Jina hili lilitokana na kwamba, wakati wa usiku kuna wanaume wamekuwa wakiingia kwenye nyumba wanazoishi wanawake na kuwabaka. Watu hawa kabla ya kufika kwa...

Book title: Uwajibikaji Ndani ya Kalamu Isiyokuwa na Wino Swahili term for Accountability in an Inkless Pen.
Author: Ludovick Utouh
Author’s Status: Immediate former Controller and Auditor General of Tanzania (2006-2014) and Executive Director of WAJIBU – Institute of Public Accountability...
Ikilinganishwa na takwimu za mwaka 2016, idadi ya wanaosema wana uwezekano wa kushiriki maandamano imeshuka kidogo sana kutoka 29% mpaka 27%
Aidha, Idadi ya wanaosema hawana uwezekano wa kushiriki imeongezeka kutoka 50% mpaka 65%
Asilimia 45 ya wafuasi wa vyama vya upinzani wanasema wana...
Utafiti wa Sauti za Wananchi, Awamu ya 27 wa Aprili 2018 umebaini 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015.
Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016 na 71% mwaka 2017
Kiwango cha kukubalika kwa Rais kimeshuka kutoka kwenye rekodi ya juu...
The public sector dominates the education landscape in Tanzania. Nine out of ten households (90%) report that their children exclusively attend public schools.
The share of households with a child in private school remained constant at 10% between August 2016 and September 2017. While nine...
Wananchi 6 kati ya 10 wanasema hawako huru kukosoa kauli zinazotolewa na Rais.
Idadi kubwa ya wananchi (60%) wanasema hawako huru kukosoa kauli zinazotolewa na Rais
wakati asilimia 54 wanasema hivyo kuhusu kauli zinazotolewa na Makamu wa Rais na asilimia
51 Waziri Mkuu.
Wananchi wanajisikia...
Mtazamo wa Wananchi katika suala la haki na uhuru wa kidemokrasia unakinzana na uongozi, hususani wa Rais uliodhamiria kushughulikia vitendo vya rushwa na maovu serikalini. Katika nchi nyingi, vyombo huru na imara vya habari pamoja na uhuru wa kujieleza huchukuliwa kama nyenzo muhimu katika...
Taasisi ya Twaweza inaendesha mjadala kuhusu ukosefu wa usawa katika Elimu nchini Tanzania. Uwezo Tanzania hutoa Ripoti ya Wastani wa kujifunza kwa wanafunzi nchini Tanzania. Lakini je, watoto hawa wote wanawakilishwa na wastani huu?
Mjadala huu unasimamiwa na Uwezo Tanzania na unaangazia...
Ni wiki nyingine tena ambapo tunaendelea kuwaweka 'Kitimoto' viongozi wa Serikali kupitia programu yetu mpya ya #NjooTuongee ambayo hurushwa kila siku ya Ijumaa, Saa 12 na nusu jioni LIVE kupitia Star TV, JamiiForums YouTube Channel na kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii.
Leo tunakuletea...
Tangu mwaka 2013, Twaweza imekuwa ikitekeleza mpango wa KiuFunza(Kiu ya Kujifunza). Awamu ya kwanza ililenga kupima athari za bahshishi kwa walimu katika kujifunza kwa wanafunzi wa madarasa ya chini.
Tanzania imefikia karibu lengo la kimataifa la uandikishaji wa watoto katika shule za msingi...
Ni wiki nyingine tena ambapo tunaendelea kuwaweka 'Kitimoto' viongozi wa Serikali kupitia programu yetu mpya ya #NjooTuongee ambayo hurushwa kila siku ya Ijumaa, Saa 12 na nusu jioni LIVE kupitia Star TV, JamiiForums YouTube Channel na kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii.
Wiki hii...
Tangu mwaka 2013, Twaweza imekuwa ikitekeleza mpango wa KiuFunza(Kiu ya Kujifunza). Awamu ya kwanza ililenga kupima athari za bahshishi kwa walimu katika kujifunza kwa wanafunzi wa madarasa ya chini.
Katika awamu hiyo, wanafunzi walifaulu 20% zaidi katika masomo ya Kiswahili na Hisabati.
Tangu...
Baada ya mapumziko kwa wiki kadhaa, tumerejea ndani ya Mwaka Mpya 2018 ambapo tunaendelea kuwaweka 'Kitimoto' viongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano kupitia programu ya #NjooTuongee ambayo hurushwa kila siku ya Ijumaa, Saa 12 na nusu jioni LIVE kupitia Star TV, JamiiForums YouTube Channel na...
Serikali ya Awamu ya 5 ya Tanzania imefanya mambo mengi yanayostahiki pongezi kutoka kwa wananchi ikiwemo Kupunguza Rushwa, Kuboresha mbinu za ukusanyaji wa kodi, kuoongeza uwajibikaji kwa watumishi wa umma na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima Serikalini.
Licha ya hayo yote kumekuwa na...
Ni wiki nyingine tena ambapo tunaendelea kuwaweka 'Kitimoto' viongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano kupitia programu yetu mpya ya #NjooTuongee ambayo hurushwa kila siku ya Ijumaa, Saa 12 na nusu jioni LIVE kupitia Star TV, JamiiForums YouTube Channel na kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.