Search results

  1. Domhome

    Nilichojifunza kutoka kwa Khadija

    umenifanya nicheke kwa nguvu ucku huu hapa ofisini.
  2. Domhome

    Nina Hakika haya huyajui

    Mshana Jr Imenishangaza zaidi # 13, hebu fafanua katika hili maana binafsi hainitokei kulia hata mara 1 kwa siku.
  3. Domhome

    Wakoloni walioitawala Tanganyika walikuwa na "roho" nzuri kuwazidi watawala wa sasa wa Tanganyika?

    GoldDhahabu Uko sahihi Mkuu bora Mkoloni kuliko Utawala huu tulonao. Sio tu Serikalini bali hata kwenye Taasisi na NGO's mbalimbali sijui sisi Watanzania tuna shida gani. Ndugu yangu mmoja anafanya kazi kwenye Kampuni moja kubwa sana ya Uchimbaji madini hapa Tanzania anasema toka Wazungu...
  4. Domhome

    Nawezaje kurudiana naye?

    kadogo2 Wanasema.."kufanyakosa si kosa bali kurudia kosa" Mwambie kama kweli ana nia ya dhati ya kukufanya mwenzi wake basi mwelekeze aende kwenu akaanze taratibu rasmi ili muda utakapofika wa yeye kuoa basi aanzie hapo. Ole wako umfungulie tena miguu jamaa ndo utajua rangi yake halisi. Ni...
  5. Domhome

    Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Sidhani kama jamaa atakuja toa ngoma kali kuizidi 100 kilos, hakika Ferre Gola ni MtunaNusu kwenye muziki.
  6. Domhome

    Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Mkuu Public Enemy hakika JB Mpiana aliitendea haki ngoma hii 48 Heures gecoco- JB Mpianna
  7. Domhome

    Kumbe Kada ya Magereza ndio Wanyonge Kuliko Kada Zingine Za Ulinzi? Inasikitisha Sana.

    Ni kweli kabisa Mbunge kaongelea Polisi na Magereza wenye rank moja why walipwe tofauti? Ndo maana ana mtetea askari Magereza ili alipwe sawa na Polisi...
  8. Domhome

    Kumbe Kada ya Magereza ndio Wanyonge Kuliko Kada Zingine Za Ulinzi? Inasikitisha Sana.

    Hapo alipaswa kuweka na Basic salary ya Askari Mwanajeshi wa JWTZ mwenye nyota au rank moja na hao wa Plisi na Magereza ndo Ungeshangaa. Obvious Luteni Usu wa JWTZ atakuwa analipwa zaidi ya 1.2m. Mwenyekuwa na takwimu sahihi atuwekee hapa. MAGEREZA-850,000= POLISI-950,000= JWTZ-? Mkuu...
  9. Domhome

    Endeleeni kukariri kama mlivyofanya jana kwa Senegal, ila hata kwa Usiku huu Gwiji la Morocco nalo linaenda Kung'oka AFCON

    Mkuu GENTAMYCINE wewe ni mmoja wa Manabii ndani ya JamiiForums.....
  10. Domhome

    Wivu na chuki ya maendeleo mbaya sana: Waigbo wa Nigeria ndio kabila lenye akili na uwezo mkubwa kibiashara, wanakomolewa ila bado wanadunda

    ] Uncle bright Hawa jamaa nawakubali sana ni Kama vile Wachagga wa Bongo Pata wimbo hapa uloimbwa kwa Igbo language, toka Kusini Mashariki ya Nchi ya Nigeria.
  11. Domhome

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Nimeishi sana Igovu kipindi hicho nikiwa Charlie mdogo kabisa nikifanya kazi Benki(1st appointment)...
  12. Domhome

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Disko limevamiwa na Mmasai FaizaFoxy
  13. Domhome

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Umenikumbusha Mitaa ya Filter, Ng'ambo na NHC
  14. Domhome

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    La Kuombea ni huyo dada wa kazi asiwe na HIV au Magonjwa mengine ya Zinaa...
  15. Domhome

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Umenifanya nicheke kwa sauti kubwa hapa ofisini hadi jamaa wamenishangaa....
  16. Domhome

    Wale tuliowahi kunyatia Dada wa kazi tukutane hapa

    Dogo umetisha mbayaaaaaa...
Back
Top Bottom