Search results

  1. R

    Inauma sana: Mke wa jirani yangu anachepuka

    inauma. hakuna kufuga dhambi hapo. ni bora amtonye mshikaji
  2. R

    Mimi na MB ndo basi tena, nimepata mkombozi

    voda wahuN tu. ni kama ccm yani kwangu hicho kitu hamna ofa iliyopo ni 500- 300mb siku 7. siwapendi voda. wanaupendeleo
  3. R

    Viongozi wa dini wapo salama? Mchungaji Fredy Njama, akamatwa kwa ‘Uchochezi wa Kisiasa’

    Mbona waraka wa wakatoliki haukukusanywa na baraza kuu la maaskofu halijakamatwa. double standard hii itaigarimu serikali.
  4. R

    Live SGR Second phase launch: Morogoro-Makutupora section

    wakenya walishajenga siku nyingi. ssisi ndo tunamka. kenya toka mwaka 2012/2013
  5. R

    Serikali yawajibu Umoja wa Ulaya(EU) na Marekani kuhusu kutokuwepo usalama na haki za binadamu Tanzania

    hapa naona serikali inajitetea kwa kutumia dhambi iliyofanyika ili kuhalalalisha dhambi nyingine. inamaana hao wanaokufa saivi ndo waliowaua hao wakibiti ndo mana wakawa na justification ya kuuwawa? shame.
  6. R

    Man City ndiyo team bora kwa sasa duniani

    umesahau machine liverpool sio???? subirini tutawapa kichapo tena
  7. R

    Vurugu kubwa shule ya sekondari Lyamungo leo tarehe 1 March 2018. Shule yafungwa!

    wew zila mpaka ukajua k.k.k. zote na leo umeandika hapa kama sio huyo mwl. unaemtukana ungeweza?
  8. R

    Aliyeshtakiwa kwa kosa la kutoa lugha ya matusi dhidi ya polisi, Kashinda kesi Mtwara

    nimecheka hadi basi・ ma iron hayo majamaa hamnaga kitu kichwani
  9. R

    ZANZIBAR: Mabalozi, Dkt. Wilbroad Slaa na Muhidin Mboweto wafika Ikulu kujitambulisha na kumuaga Rais Dk. Shein

    natabiri slaa kugombea kupitia ccm baada ya rais magu. au anaweza kuja kuwa makamu wa raisi au waziri mkuu. tunza kumbukumbu hii
  10. R

    Wanawake wanaokojoa kwenye makopo usiku huwa wananitoa kwenye hamu ya mapenzi

    sio wa pekee mbona tupo wengi tu. yan ikiwezekana unamchungulia kabisa uone mbunye inavyofunguka nakurusha mkojo. hahahaaaa hadi raha. lazima dude liamke
  11. R

    TARIME: Diwani wa CCM kata ya Susuni auawa kikatili

    unapiga watu upofu kuhalalasha yanayotokea saivi kwa cdm
  12. R

    Mbowe achunguzwe kwa vifo vya Daniel John na Aquilina

    aquiline hakuwa kwa maandamano, . kupotosha umma na kuwasingizia kina mbowe.
  13. R

    Mbeya: Mbunge Joseph Mbilinyi na Msonga waachiwa kwa dhamana, wamejidhamini wenyewe

    kampen za chadema watafunika mana watamtumi sana. ni shidaaaaaaa
  14. R

    Chama cha Mapinduzi yafanya kufuru Kinondoni

    hizi picha ni za mgombea uraisi 2015 wa ccm . tunamuona magu hapo akiomba kura. acheni uongo wa photo shop
Back
Top Bottom