Search results

  1. hundukad

    I have lost my laptop - toshiba satellite pro

    Wadau habari yenu, Kama wiki mbili zilizopita nimepoteza laptop yangu aina ya Toshiba Satelite Pro pamoja na modem ya airtel pale CRDB Bank Tawi la Mbezi kwenye parking ya magari.....Laptop siyo issue tatizo data nilizokuwa nimedhihifadhi kwenye hiyo laptop....naomba ushauri police hawangaiki...
  2. hundukad

    Mtoto huyo kavutwa kope na mwalimu(Adhabu!)

    kujua kutumia keyboard hakukufanyi kuwa mjanja au kujua yote kuliko mzazi wako....tusitukane walimu waliotufundisha kuumba herufi a....mimi ni product ya walimu wa UPE kwa wale wanaofahamu....nawapa pongezi walimu pamoja na mazingira duni ya kikazi mmo tuu, mambo mgawanyiko wa majukumu.
  3. hundukad

    Mtoto huyo kavutwa kope na mwalimu(Adhabu!)

    Kwanza nampa pole huyu kijana....habari nilizonazo kutoka kwa walimu wa shule hiyo ni kwamba huyu mwanafunzi alichapwa viboko matakoni, lakini inasemekana ana matatizo ya figo...baada ya kuchapwa akaanza kuumwa na kuzidiwa ambapo alipelekwa hospitali ya Amana ambako alipewa dawa zilizosababisha...
  4. hundukad

    Hatima ya nafasi ya watanzania maskini katika ajira

    Haya yanatukuta siyo tu serikalini hata katika sector binafsi ambako sasa soko linaendelea kujaa wakenya, wanatoa nafasi kwa walionacho au walio serikalini ili kupata uhalali wa kukaa hapa kuendelea kunyonya maziwa si kwa mirija ila mabomba....kwa nini tusiwe mashujaa tukazuiya haya mambo?
  5. hundukad

    Did Mwalimu die a natural death?

    @Gama......issue iko mahakamani tusubiri matokeo
  6. hundukad

    Did Mwalimu die a natural death?

    Asalaam Aleykum wana JF.....I am very new in this forum but why avoiding to respond to this questions? Mwalimu didn't die a natural death, he was a stone in someone's shoes.....ona mambo tunayoyafahamu na mengine mengi tusiyoyafahamu ya kuchakachua nchi yalivyojitokeza na kushughulikiwa kisanii...
  7. hundukad

    Tujiulize: Kwa nini JK alitaka Masha ashinde Ubunge?

    Who Cares? umenigusa.....mmoja wa rafiki ya masha ni msomali mkurugenzi wa kampuni fulani, taarifa za kiiteligencia ni kwamba baba yake huyu msomali an fleet kubwa ya magari ya kusafirishia mizigo kutokea kenya....katika mitandao kama hiyo shughuli kama hizo za kimafya kama human trafficking...
  8. hundukad

    Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

    by distributing theses materials.......in one way or another you are supporting satanic work, my opinion
  9. hundukad

    Kwanini wachina tu na si wahindi?

    viongozi wa serikali ya ccm wasanii, isssue ya wachina ni kwa sababu wananchi walala hoi wamelalamika kule sokoni kariakoo, tatizo la wageni wanaongia isivyo halali ni kubwa sana kuliko mnavyodhani, hapa tuna makundi ya wahindi, waarabu, wakenya, wasomali, wazungu wa kutoka east europe nk. mbaya...
  10. hundukad

    Kaburi la kiyeyeu lililopo Iringa ni kweli linamaajabu yanayozungumzwa ?

    Mimi nimepita hapo mara nyingi na nimeliona kwa macho yangu na kuona hiyo diversion ya line za umeme.....lakini limeondolewa hivi karibuni bila madhara au miujiza yeyote
  11. hundukad

    Elections 2010 Ni nani aliyeingiza udini kwenye kampeni hizi?

    Udini ulioko Tanzania ni wa mtu mmoja mmoja, wapo watu wanafanya upendeleo katika kutoa fursa kwa kuangalia udini na ukabila....mfano waajiri wa NSSF....uchunguzi wa juu unaonyesha upendeleo wa kidini katika kuajiri na kutoa vyeo.
  12. hundukad

    Kulikoni Makongo Juu?

    Wana Makongo wameongea kwenye uchaguzi uliopita....diwani, mbunge wamepewa Chadema...hata kura za uraisi pia.....tunahitaji maendeleo bila kujali tuna kina nani kwani hawana msaada wowote....Mama yetu Mongela alifikia kutuambia kwamba jimbo lake ni UK, sasa tumtegemee aende akaishi...
  13. hundukad

    Pinda akataa shangingi Toyota VX 8 ya Tsh 280 milioni!

    muheshimiwa ameonyesha kwa vitendo kwamba hakubaliani na manunuzi ya gari hiyo pamoja na kwamba imefuata taratibu za manunuzi, lakini yeye binafsi hakubaliani....ni ujumbe tosha kwa watendaji wake kama wako vizuri ghorofani watajiuliza.
  14. hundukad

    Hodi jamani

    Ninayofuraha kukaribia kwenye forum hii ya jamii....naamini mungu ataniongoza kujifunza kutoka kwenu wanajamii na pia kuwezakutoa mchango wangu rgds, hunduka daraa
Back
Top Bottom