Search results

  1. kobokocastory

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Aiseee huyu mwalimu bado yupo?
  2. kobokocastory

    Uzi wa kutafutana waliopoteana kwa muda mrefu

    Umesoma mwanza shule na wewe kumbe? By the way nilipita shule hiyo A level (2005-2007)
  3. kobokocastory

    Mtaala Mpya wa Elimu Kenya, Competency Based Carriculum (CBC). Sisi bado tuko busy na kukaririsha watoto

    Its a high time nadhani wamegundua kumpima mtu uwezo wake kwa kutumia mitihani miwili, mitatu au hata mitano sio njia sahihi ya kupima uweledi na uwezo halisi wa mwanafunzi. Nadhani hii itafungua milango kwa nchi jirani na hasa za Jumuiya Ya Afrika Mashariki kujifunza kitu ili walau tuweze...
  4. kobokocastory

    Njia Sahihi ya kumpima Bashe ni Exports and Imports katika mazao ya kilimo

    Hii issue ni ngume ku~appreciate moja kwa moja manaake kwa mfano msimu huu wa kilimo wakulima wanateseka sana mbolea bei haishikiki lakini serikali iko kimya. Nilidhani serikali walau ingeingilia kati na kutoa tamko kama sio kutoa ruzuku walau wakulima wapate nafuu. Soko la mazao kama mahindi...
  5. kobokocastory

    Nape, wakati huu wa mdororo wa uchumi tulipaswa kubana matumizi, usitumie chopa ya JWTZ ni gharama

    Nina imani kuna siku wananchi watachoka na hizi tabia na siku wakichoka ndio itakuwa anguko kuu la CCM. Ifike mahala watambue kwamba kuwatumikia wananchi ni suala la kujitolea kwa asilimia kubwa na sio kutaka kula bata tu.
  6. kobokocastory

    Uhaba wa madarasa, wanafunzi madarasa mawili tofauti ndani ya jengo moja, walimu wawili wafundisha muda mmoja

    Viongozi wetu wanatakiwa kushuka chini sana ili kuweza kupata picha halisi za matatizo na changamoto zetu. Na natamani ifike mahala tupunguze gharama kwenye posho na mishahara ya viongozi wetu ili walau kuchochea upatikanaji wa huduma muhimu ikiwemo Elimu, Maji na Afya katika jamii.
  7. kobokocastory

    Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

    Nikiwa mwaka wa pili chuo kuna lecturer alitufundisha infact she was a PhD holder lakini lugha ya malkia ilkuwa inamtesa sana kiasi kwa alitumia lugha ya kiswahili kufundisha.
  8. kobokocastory

    Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi (NEC), kwa hali ilivyo bado wewe na wakurugenzi wenzako mnaamini mnapaswa kuendelea kuwepo ofisini?

    Neno kuwajibika huwa ni gumu sana kwa Watanzania and the fact is vyeo huwa ni vitamu sana. Mtu anawaza ajiuzuli kweli aache per di~em's, posho za vikao na usafiri and the likes? Mwisho wa siku mtu anaamua tu kama mbwai na iwe mbwai anaamua kubaki zake ofisini tu kikauzu.
  9. kobokocastory

    Jaji Warioba: Miaka yote watu wanaelewa kujaza fomu, lakini 2020 ghafla hawajui. Siasa inataka kuingia kwenye Dini

    Mzee Warioba anazidi kuzeeka na hekima zake. Angalau huwa navutiwa kumsikiliza coz he's always straight to the point.
  10. kobokocastory

    Siridhishwi na jinsi Serikali inavyoshughulika na sakata la uchafuzi na sumu katika maji ya Mto Mara

    Nadhani turudi katika ile report ya mto tighite tuanzie hapo sababu inawezekana ikawa factor mojawapo ya kuchafua maji ya mto mara.
  11. kobokocastory

    Songea boys, shule kongwe iliyosahaulika

    Mara sec 2005 chini ya master Nyang'ahondi na second wake Morega Mongate aloooo
  12. kobokocastory

    SoC01 Vijana tukifanya hivi, tutafika mbali

    Umenena vyema sana mkuu nadhani tukichukua points kadhaa hapa tukaondoka nazo tutarudi na mrejesho mzuri baadae.
  13. kobokocastory

    Ujio wa DRC EAC

    Inawezekan tuna viongozi wazuri tena visionary ila the problem ni kuwa wengi wao ni wachumia tumbo. Matumbo yao na familia zao kwanza Tanzania baadae.
  14. kobokocastory

    Ukiacha Wabunge, kundi jingine linaloila keki ya taifa kisawasawa ni hili hapa

    Nadhani tatizo linakuja pale ambapo mwenye uchungu wa kweli toka moyoni na mzalendo wa kweli na nchi yake anapota ajira katika moja Kati ya nafasi ulizotaja Kisha akajisahau Kama Happ kabla alikuwa na hisia au dhamira ya uzalendo ndani yake.
  15. kobokocastory

    Millard Ayo,Rubby,Sultan kuingiza Mamilioni TANAPA

    Sio strategy mbaya lakini naamini pia sio sahihi. Kupanga ni kuchagua na kama Tanapa wameona wachague hivyo lets wait and see the outcome. Rwanda wao wameamua kuchagua kwa kupeleka matangazo kule wanakotoka watalii na hao ndio wanaingizia pato la kutosha sisi tumechagua kwa mtindo huu. Basi...
  16. kobokocastory

    Ufadhili wa Masomo (Scholarships): Undefeated form of Neo-Colonialism

    Umenena vyema sana. Na pia umenifanya kuanza kufikiri zaidi kwamba ni kwa nini sisi waafrika tunependa sana kujisifia cv's ndefu zenye mapambio ila hazina tija. Tunahangaika na masters, phd's et al lakini in the real sense we do make nothing out of what we're expected to. Naanza kuamini kuwa...
  17. kobokocastory

    Kustaafu kwa Prof. Assad (CAG) na misimamo yake

    Siku zote ukweli hudumu milele tofauti na uongo ambao huishi miongo michache. Tutajaribu kuuficha ukweli leo ila kesho ukweli huo huo utajulikana. Pembe la ng'ombe kamwe halijifichi na huwa naamini kwamba kichaa halazimishwi kuokota makopo.
  18. kobokocastory

    Serikali kupitia upya sera ya kilimo iliyopo sasa kwani ndio chanzo cha wakulima kuwa maskini

    Kilimo Kwanza iliishia wapi? Tutakuwa watu wa kuja na policies mpya day in day out. Au ndio tuseme kila awamu itaingia na kuondoka na policy zake? Ni wapi tunakosea kwenye implementation ya hizi policies tunazozindua kila Mara?
  19. kobokocastory

    Ukishangaa ya Dr. Rajabu aliyekuwa RC wa Moro utayaona ya Prof Kabudi!

    Kuna mahali tunakosea ndani ya mfumo wetu mzima wa elimu
Back
Top Bottom