Search results

  1. mtanzalendo

    English Medium Teacher—Pre-school & Primary Class 1

    About the job We are Looking for TANZANIAN individuals with a diploma or bachelor’s degree in early childhood education and primary school education ONLY!!!! Teachers needed for Pre-School and primary class 1 ONLY!!!! Uru Community is a private pre & primary school located in Uru— kimanganuni...
  2. mtanzalendo

    Naomba msaada kuhusu Expression of interest

    Hello everyone! Naomba msaada wa kupata sample/template ya 'expression of interest' kwa ajili ya individual consultants. Kuna sehemu nataka kupeleka maombi ya project management so wanachotaka ni expression of interest na mimi sijawai jaza hicho kitu. Hawataki application letter. Nikipata...
  3. mtanzalendo

    Njoo nikupe dili la January: Niuzie notes za grade 1 & 2

    Habari wakuu, Naomba mwalimu au mtu yoyote mwenye notes za Shule za Msingi English medium anicheki PM tufanye biashara. Nahitaji notes za grade 1 and 2. Masomo ni ASP kiswahili Writting Reading Health care and Environment Kusoma Numeracy Nicheki PM Au atume email kwenye mzalendo255@gmail.com
  4. mtanzalendo

    Uzi wa JF uliobadili maisha yangu. Nilikutana na Malaika

    Kila mwanzo wa mwaka huwa naupitia huu uzi uliobadili maisha yangu. Niliandika huu uzi nikiwa na mapito mengi sana ya kimaisha, ni kipindi ambacho siwezi kukisahau kwenye maisha yangu. Ndio kipindi nilijifunza kumbe inawezekana kabisa kijana mwenye nguvu zake anaweza kulala na njaa na leo...
  5. mtanzalendo

    Nanunua notes za Shule ya Msingi za masomo yote

    Habari wakuu, Naomba mwalimu au mtu yoyote mwenye notes za Shule za Msingi hususani English medium zilizo kwenye mfumo wa Soft Copy, Word Document au PDF anicheki PM tufanye biashara. Au atume email kwenye mzalendo255@gmail.com
  6. mtanzalendo

    Nahitaji proposal ya kufanya project

    Habari wadau, Naomba kwa atakaeguswa anisaidie kunirushia project proposal inisaidie kuandikia miradi ya CBO yetu, tumepata mtu wa kutuunganishia kwa mfadhili lakini tunakosa mradi wa kushawishi. Proposal iwe ya idea yoyote youth empowerment, environment, elimu, entrepreneurship, afya...
  7. mtanzalendo

    Nimetoka uwanja wa Samora, Diamond kaacha gumzo

    Ndio nimetoka uwanja wa Samora. Show imeisha saa kumi. Kilichotokea leo sidhani kama imewai tokea hivi Iringa ni zaidi ya Fiesta. Diamond kaua isivyo kawaida watu walikuwa wengi hakuna pa kukanyaga. Show imepigwa na live band kila kitu unasikia original kama imewekwa cd. Watu wamecheza...
  8. mtanzalendo

    Nyumba inaitajika haraka iringa

    NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka sana. Sifa zake ni vyumba viwili na sebule kimoja. Nyumba iwe kati ya Wilolesi , Lugalo, Kihesa , Mkwawa, Gangilonga , Ilala ,Frelimo, Makorongoni ama Mshindo Kodi yake isizidi zaidi ya 200,000 kwa mwezi mteja anataka kulipa kodi ya miezi mitatu...
  9. mtanzalendo

    Nahitaji nyumba ya kupanga haraka sana Iringa

    NYUMBA ya kupanga mjini Iringa inahitajika haraka sana. Sifa zake ni vyumba viwili na sebule kimoja. Nyumba iwe kati ya Wilolesi , Lugalo, Kihesa , Mkwawa, Gangilonga , Ilala ,Frelimo, Makorongoni ama Mshindo Kodi yake isizidi zaidi ya 200,000 kwa mwezi mteja anataka kulipa kodi ya miezi mitatu...
  10. mtanzalendo

    Mabadiliko ya ada shule za binafsi: Hatimaye kilio cha walimu wa binafsi kusikika

    Habari zenu wandugu, Kwanza niseme naunga mkono hatua ya serikali kutoa ada elekezi kwa shule za binafsi.Ingawa siungi mkono kiasi walichopanga cha laki moja na laki tatu. Nachoweza kusema ni kwamba serikali inatakiwa iwe regulator isiwe kama sasa shule inaamua chochote inachotaka. Nashauri...
  11. mtanzalendo

    Natafuta kazi, hii ndio CV yangu

    Ndugu zangu, mimi mbele yenu ni kijana wa miaka 31 najitokeza mbele yenu kupata msaada wa ushauri au connection. Mimi ni mwalimu by profession ,nimefundisha kwa miaka 7 sasa . Nina degree ya education na masters ya public administration . Nimefundisha secondary na primary. Naomba...
  12. mtanzalendo

    Natafuta kazi

    Habari zenu wa jamiiforums, Najitokeza kwa mara nyingine kuweka maombi yangu ya kazi. NINAITAJI KAZI YOYOTE HALALI YA KUNIINGIZIA KIPATO. (PERMANENT AU TEMPORARY) Sifa zangu. Bachelor of arts with Education Master of Public Administration Experience.. Nimekuwa mwalimu wa secondary...
  13. mtanzalendo

    Ruzuku na ufadhili kwa miradi

    Wadau wasalam, Naomba mwenye kuelewa tahasisi zinazofadhili miradi ya ngo naomba anisaidie kunipa taarifa, mimi nia miradi mizuri ssana nashindwa kuitekeleza kutokana na pesa ya kuiendesha, nina rafiki zangu wana ngo yao lakini uwa wanasubilia call for proposals ambazo ni ngumu sana kupata...
  14. mtanzalendo

    Pesa za grant kwenye mradi wa NGO Tanzaania

    Wadau wasalam, Naomba mwenye kuelewa tahasisi zinazofadhili miradi ya ngo naomba anisaidie kunipa taarifa, mimi nia miradi mizuri ssana nashindwa kuitekeleza kutokana na pesa ya kuiendesha, nina rafiki zangu wana ngo yao lakini uwa wanasubilia call for proposals ambazo ni ngumu sana kupata...
  15. mtanzalendo

    Nafasi ya kazi, mwenye kuguswa tuwasiliane

    Habari zenu wanaJamiiForum, Najitokeza hapa kuweka ombi langu la kusaidiwa kupata kazi....Ninaitaji kupata kazi yoyote halali,mahali popote.Mimi nipo DSM. Elimu yangu ni shahada ya education na sasa namalizia masters ya public administration. Uzoefu wangu wa kazi ni miaka minne, nikiwa nafanya...
Back
Top Bottom