Search results

  1. luckyline

    Wosia wa Gardner lazima uheshimiwe, wimbo wake wa "Do you want a beer" lazima upigwe msibani

    Sinywi beer ila wimbo mzuri sana. "Beer i love you dont tell somebody " Rudia huo wimbo imba mara tatu utuandikie hapa umeimbaje
  2. luckyline

    Toka mtandaoni: Nimefanya surgery ya kuondoa uume na kubandika uke kwa faida yangu, watanzania acheni kuniombea kifo nina Mungu kuliko nyie; Dayon

    Acha hizo yaani uke wa nguruwe ndo wauweke kwa binadamu, aiseee nimecheka kama mazuri Anaingia kwenye siku zake?
  3. luckyline

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Si kwanza apate hata bahati ya kupata no yangu, hela zangu za kula ninazo zake za kazi gani?
  4. luckyline

    Nimemtongoza mke wangu kwa akaunti fake TikTok kanikubali, tena yupo tayari kuolewa

    Fungua account mpya hapa hapa jf nijaribu mimi tuone kama wanawake wote tuna udhaifu. Na kitu tutakacho kiongea huko pm kilete hapa uwanjani. Sijawahi shawishiwa na mwanaume kwa njia yeyote nikatoka kwenye mstari. Mimi sinaga chenga niko direct. Mwanaume yeyote atakae soma hapa anaruhusiwa...
  5. luckyline

    Hivi kilichotokea mlima Hanang na Kawetele hayawezi kutokea Mwanza?

    Chifu wa mwanza ni rais wa nchi hayo hayawezi tokea
  6. luckyline

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Huna huruma na watoto watakao iga huo upuuzi? Mbona unaongea kama unamsaport? Tuseme huna watoto? Au huna hata ndugu kweli? Unasaport ushoga?
  7. luckyline

    CAF yamtema refa aliyekataa goli la Aziz Ki

    Nasoma comments za simba wa yuda.
  8. luckyline

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Nauliza akibadilisha jinsia dondolo yake wanaikata wanamuwekea jinsia ya kike? Maana naonaga anavaa nguo za kike sioni kama vile dondolo ipo!
  9. luckyline

    Diaspora wengi wa Tanzania hakuna cha maana wanachofanya zaidi ya kuturingishia picha

    Nasoma huu uzi baada ya miaka 10, makofi kwao diasporas jamani, Wako njema sema hawapendi kujionesha
  10. luckyline

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Afie huko anaharibu watoto sasa anatoa elimu gani kwa jamii? Yaani unasapot ule ushetani? Siku zake zimefika lazima aonje hasira za Mungu
  11. luckyline

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Alivyo badilisha jinsia dondolo waliikata au ipo? Kama ipo ndo maana kachagua kwenda jela upande wa kiume.
  12. luckyline

    Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Hakuwa na familiya ya kumuhudumia alipo rudi? Kwa nini hawakumpa chakula, supu, juice za ku dilute pombe? huyo alikufa kwa njaa.
  13. luckyline

    Hili la watu (wakiwemo viongozi) kudhalilishwa na Watanzania kufurahia linanishangaza sana

    Hata mimi nineshangaa mtu anataja jina kabisa fulani acha kufanya hivi na fulani mmmh nimeogopa hii si kweli
  14. luckyline

    Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

    Mpigie mama yake mwambie mwanao nataka arudi kwenu akiacha kiburi mnijulishe
  15. luckyline

    Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

    Sasa. mbona mimi naenda na simu nakaa kabisa napiga stori au naingia mitandaoni, hii balaa ssa.
  16. luckyline

    Kwanini Mdude Nyagali anatumia lugha za kumdhalilisha Rais wetu pasipo kuchukuliwa hatua? Naumia sana moyoni mwangu

    Mdude kamtukana mama kuliko ile ya mange? Sijajua mdude kasemaje ila ile ya mange ni tusi kubwa hadi nimeona aibu sio fair kabisa. Nae atazoea matusi maana hata jpm wetu alisemwa mengi.
  17. luckyline

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Mmmh nilichosoma insta kwa account ya mange nimetetemeka watu wanamsema raisi hivyo loh, mange duh, kama kaweza kusema insta huko kwenye app si ndo balaa
  18. luckyline

    Mch. Katekela: Kanumba hakufa

    2014 au 2015 vipeperushi vilimwagwa mitaani kuwa kesho yake zumaridi anamfufua kanumba. Wajinga wote walikusanyika iseni ilipokuwa kanisa la zumaridi. Mama yake kanumba nae alifika kanisani pale🤣🤣 Maombi yakaanza saa tatu asubuhi mpaka jion the great hakuonekana. Mfalme akawaambia waamini...
Back
Top Bottom