Inasikitisha chama tulichokiamini km CDM kuamua kuwapigania wezi wa ardhi ama kweli CDM imekwisha. Wanatabia ya kujilimbikizia Mali kupitia nafasi zao. Tunaomba viongozi wote wastaafu wanyanganywe mali walizopata wakiwa madarakani. Lkn waachiwe walizopata pasi kutumia mmlaka zao. mfano hivi...
Shame to you; yaani unafurahia watanzania kuuawa? hapo tu bila kuchangia zaidi imeonekana msimamo wako wa jambo hili. siasa zititufikishe huku jamani, tusishangilie majambazi kuua majambazi, vyama vya siasa muwe makini, majambazi wanaweza kuaharibu jambo zuri la kutafuta haki. hivyi muwe makini...
This is very wrong information: "Dala Dala" does not mean "Dollar" DALA DALA lilitokana na nauli iliyokuwa inatozwa miaka ile ikiwa na shilingi 5 ya pembe tatu, watanzania walikuwa wakiita jina dala. Baada ya mfumo wa mabasi madogo kuanza nauli ikiwa ni dala, yaani shilingi 5. wapige debe wakawa...
Tatizo hili la hewa siyo dogo; walimu wakuu wote wameongeza majina wakifikiri kuna ulaji, hapo utakuja maafisa elimu na wakurugeniz nao wameongeza hewa. mikopo ya elimu ya juu hewa, ajira hewa, kila sehemu ni hewa. Hewa ni mfumo.
Wakuu hivi karibuni imeibuka sakata jipya la HEWA; mwanzoni hewa ilikuwa kwenye utumishi wa umma, sasa hewa amaehamia shule za secondary. Kwa kifupi mishahara ya serikali ni kiduchu, waliweza ku survive miaka 20 ya JK na Mkapa kwa sababu walikuwa na other source of income; fikiria mtumishi wa...
Mswada ulijadliwa lini? mswada ulipitishwa nyuma ya pazia, eti ulijadiliwa kwenye kamati za bunge huko Dsm. Tatizo serikali iliyopita ilikuwa ikishindwa kulipa mishahara ilikua inatoa maagizo, PFF toa bilioni kadhaa, PPF wanatoa, sasa huyo mkurugenzi wa mfuko akamdai Rais wakati nditye alimteua...
Serikali ilikopa kwenye mifuko sasa haina pesa za kuwalipa wanachama, ili kupunguza presure, serikali imeamua kuiambia mifuko izuie fao la kujitoa. hapo ni kesi ya tumbili kwenda kwa nyani.
Kasome vitabu vya primary utachoka, mwandishi ni mjasiliamali aliyeshindwa akamua kujifunza kuandika vitabu, kuna kitabu cha sayansi kinatumiwa na shule nyingi za English media, kwa darasa la kwanza na chekechekea ya pili yaani UKG. kitabu hicho kinasema LIZARD NA FROG ni aina ya insects...
Aksante kwa hoja kwani hoja hujibiwa kwa hoja, nimecheka kidogo. sitetei viraza lkn chuo Div 1 na 2 haitoshi. nitabaki kutetea watoto wa wanyonge. kwa kifupi alifanya vizuri ni mtoto wa ndg yangu, lkn chini ya usimamizi wangu, wanangu wanasoma huko ST. SECONDARY SCHOOL sina tatizo na nimejipanga...
Ndugu yangu pole sana, siku hizi mwalimu kukamata wanafunzi wengi inalipa, sup kila mwanafunzi lazima akate si chini ya 50,000/= mpaka 100,000/= mwalimu ndiyo atafundisha na kuwalengesha mitihani. fikiria mwalimu aliyekamata wanafunzi 100 ana kiasi gani: 100x50,000/= siyo milioni 5? mchezo huu...
Umekosea form 1-4 ni zaidi ya 10m. ada sasa private school ni 2,000,000/= mpaka 3,000,000/= bila matumizi mengine km madaftari, track suit za michezo, raba joz 2, mazoezi, michango ya ujenzi, nauli na nk.
St. Kayumba kutoka kule katerelo ada ya 40,000 kwa mwaka ilikuwa ni mtihani, leo hii...
Nakubaliana na wewe lkn siamini km mwanafunzi wa chuo kushindwa au kuonyesha umahili wake tatizo ni ufaulu wake wa kidato cha 6. kuna maprofesa wengi hawakufanya vizuri secondary lkn wakaamua kurudi kujipanga upya kwa kusoma checti, diploma na sasa ni walimu wa vyuo vikuu.
Tatizo la wanafunzi...
Hii imeaaje mawaziri na wakuu wa mikoa kutoa matamko kisha Rais ku neutralize; je hakuna mawasiliano kati ya mawaziri na ikulu? mfano wakuu wa mikoa ya Dar na mwanza walisema wamachinga waondoke kati kati ya majiji, Raisi amesema machinga waachwe na wao wanastahili kufanya biashara mjini.
Kwa...
Nilimaliza siku nyingi labda kama wewe: miaka ya nyuma kulikuwa na kuchaguliwa siyo kufaulu; kuanzia secondary kutoka primary. shule za secondary na vyuo vilikuwa vichache. wengi walikuwa wanafikia vigezo lkn nafasi zilikuwa chache. mfano hata sasa course ya Medical doctror pale MUHAS kama...
Enzi zile km unavyosema mlisoma, nikwambie hata sasa vijana wanasoma lkn kuna tatizo kubwa sana, zamani ukisoma shule binafsi ulionekana km huna akili, shule binafsi walikuwa wanaenda walifeli kupata nafasi kwenye shule za serikali. shule za serikali zilikuwa na walimu wazuri, maabara, vitabu...
Siku hizi D inaanzia ngapi? zamani D ilikuwa 21-30 siku hizi D Inaanzia 30.
Shule za serikali zamani Div 1-2 wengi, div 4 walikuwa wachache sasa ni kinyume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.