Search results

  1. AMARIDONG

    JK sitaki kuombwa hela

    Wenye njaa zao wamepata namba yta Raisi wamempigia na wanamuomba milioni mia hamsini mtaji,baada ya kuchati na kuongea kwa simu bila kuafikiana mkulu kaamua kuibuka nalo kwenye mikutano yao etii sitaki kuombwa hela ,wananiuzi sana watanzania wanaoomba fezaaaaa, sasa mpaka mnakubaliana mia...
  2. AMARIDONG

    Naomba utaratibu wa kuwa raia wa Arusha

    NImefurahishwa sana na kilichotokea jana mjini Arusha na nihamasa kubwa kwa watanzania wote ambao hawajajua hali halisi n mwelekeo wa nchi kisiasa Naomba ushauri mimi mkazi wa Pemba Kusini,kwa yaliyotokea jana kwa kweli naamini ukombozi wa nchi hii unaanzia Arusha na mimi nataku kuwa mmoja...
  3. AMARIDONG

    Kwanini Nape haitwi au haalikwi kwenye midahalo Nkhrumah?

    sio jana tuu mara nyingi dogo anatoswa kwenye midahalo pale mlimani kuna wakati aliomba kabisa lakini hakuchaguliwa,je ni siasa zake za kijinga au uwezo wake mkubwa sana kiasi kwamba wanazuoni wanamuogopa Kitila Mkumbo ni mgombea ubunge mtarajiwa wa jimbo la mwigulu nchemba kule singida kwa...
  4. AMARIDONG

    SIIELEWI SECTION 7 (1) YA ACT NO 6 2004 (ELRA)NAOMBA UFAFAnUZI

    WADAU NISAIDIENI HII SECTION INANITAKA MIMI KAMA MWAJIRI NIANDIKE NA NIREJISTE PLAN YA KUPROMOTE EQUAL OPPORTUNITY SIJAIELEWA KABISA NAOMBA UFAFANUZI WENU,NA KAMA YUPO ALIYEANDIKA THAT PLAN NA KUIPELEKA LABOUR NAOMBA ANIPATIE NIDESE NATANGULIZA SHUKRANI Sub-Part C:Discrimination 7.-(1)...
  5. AMARIDONG

    Nahitaji kuku wakubwa wazuri wa nyama

    habari, nimefungua migahawa na hotel nahitaji kuku wa nyama mara kwa mara waliokomaa sio vifaranga, hii ni katika kusaidiana wanajamii wenzangu, wale wafugaji tunaweza kuwasiliana 0713403840
  6. AMARIDONG

    MDAHALO WA OBAMA NA ROMNEy

    wakuu nataka kujua huu mdahalo wa wagombea wa uraisi US utafanyika lini na itakuwa saa ngapi kwa majira ya BONGO
  7. AMARIDONG

    Tundu Lissu vs Mizengo Pinda, nani zaidi?

    Nafikiri lisu anajiandaa kuwa kiongozii wa juu wa serikali ya chadema ,na mimi naamini anauwezo hata wa kuwa waziri mkuu embu nijuzeni kati ya Mh. Lisu na Waziri mkuu Mh. Pinda nani anafaa kuwa waziri mkuu
  8. AMARIDONG

    Mbatia kuipinga bajeti ya Mwakyembe (uchukuzi) bungeni

    Mbunge James Mbatia wa CCM C ameapa kuhamasisha bunge kuipinga bajeti ya Waziri Mwakyembe na kuhakikisha waziri huyo anapata shida kwani ni mzushi na amekuwa akiwasingizia wakuu wake kummwagia sumu. Akizungumza kwa uchungu jana pale T Square alipokuwa akipata moja baridi moja moto akiwa na...
  9. AMARIDONG

    Ikulu kumjibu Lema...

    JANA WARAKA ULIOANDALIWA KUMJIBU LEMA ULIKATALIWA NA MKUU WA KAYA BAADA YA KUTUMIWA NA KUJIBU KUTOKA KWA SIMU YAKE NENO MOJA TUU "hapana" SASA HIVI WAKUU WA KUJIBU WANAHANGAIKA BAADA YA KUPOKEA MAELEKEZO NA MAREKEBISHO YA WARAKA WAO,NAAMINI KUFIKIA LEO JIONI WARAKA WA IKULU DHIDI YA LEMA...
  10. AMARIDONG

    Who Is Issa Maige, Wakili wa mama Hawa Ngumbi?

    Attorneys > Issa MaigeIssa Maige is a litigation Partner at LawCastles. Issa is one of the best trial lawyers in the country. Recently, he has been involved in complex commercial trials. He was born at Bariadi, Tanzania on 14 April 1969. He was admitted to practice law in Tanzania in 2002. Issa...
  11. AMARIDONG

    Mbowe katika Clouds FM, afafanua juu ya suala la Shibuda

    ANAONGEA KUHUSU KUMFUKUZIA MBALI SHIBUDA hayawi hayawi sasa MNYANTUZU ANAPIGWA TEKE KULEEEEEEEEEEEEEEEEEEE ATAHAMIA CCM B AU ATARUDI KWA WAUME ZAKE CCM A???
  12. AMARIDONG

    Katiba inamruhusu JK kumpa Ubunge Mbatia

    IBARA YA 55 INAMRUHUSU RAISI KUMTEUA MBATIA KAMA WAZIRI NA KAMA ATAKUWA NAIBU WAZIRI KAMA INAVYOSEMEKAKA NGUVU YAKE ITAKUUWA NDOGO KWANA HATAKUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI 55.-(1) Mawaziri wote ambao ni wajumbe wa Baraza la Mawaziri kwa mujibu wa ibara ya 54 watateuliwa na Rais baada ya...
  13. AMARIDONG

    Naomba kujua pgss 13 ni sh ngapi? Ahsanten......

    Wapendwa naombeni mnijibu iyo PGSS 13 ina stand kama sh ngapi hivi? nijuzeni tafadhali.usikuni mwema
  14. AMARIDONG

    Majibu ya Mwigulu Nchemba mbunge wangu nilipokuwa nachati nae kwenye facebook jana

    20 hours ago George James Nchemba umeshasain? kama hujasain jitahidi usain other wise nikuambie tuu huku JImboni kwako tuna hasira sana na mwenendo wako hasa matusi na kapu la hela Mlilloenda nalo Aruumer 20 hours ago Mwigulu Nchemba Ni sain nini umechanganyikiwa Rafiki...
  15. AMARIDONG

    Chami amtetea mkurugenzi wa TBS

    sasa hivi bungeni CYRIL CHAMI AKA BABA MKWE anamtetea MKurugenzi wa TBS kwa msuli mzito
  16. AMARIDONG

    WAO WANaPESA SISI TUNAE MUNGU

  17. AMARIDONG

    USHAURI KUFUGA KITIMOTOs

    WADAU NAOMBA USHAURI JUU YA MBEGU BORA YA MNYAMA PENDWA KITUMOTO NA RATION ZA CHAKULA NA BAJETI,NATAKA KUANZA NA NGURUWE WAWILI WA KIKE AMBAO WANAKARIBIA KUPANDISHWA heshima kwenu
  18. AMARIDONG

    Ushauri wa Kusajili Biashara

    WADAU NISHAURINI NATAKA KUFUNGUA HARDWARE NA SALOON YA KUNYOA ILA SIJUI UTARATIBU WA KUPATA VIBALI HALALI TAFADHALI WENYE UTAALAM WANISHAURI heshima mbele
  19. AMARIDONG

    Mkapa kujibu tuhuma mbele ya waandishi wa habari

    BWM ANATEGEMEA KUONGEA MCHANA HUU PALE HABARI MBELE YA WAANDISHi WA HABARI KUTOKANA NA TUHUMA ZA KUMUUA JKN source OFISI YA BWM ========== UPDATES WADAU NIMEPENYEZEWA HABARI KUWA BMW HATAONGEA NA WAANDISHI TENA KWANI WASHAURI WAKE WAMEMUAMBIA KWA POLITICS MOVE SIO VIZURI KUJIBU...
  20. AMARIDONG

    Uzinduzi wa kampeni za uchaguzi Arumeru (CHADEMA)

    Wakuu naomba kiujua muda wa uzinduzi wa kampeni za cdm arumeru east sitaki kumis hii kitu ni muhimu sana
Back
Top Bottom