Search results

  1. KABUGHA

    Ana tatizo la kupenda au kuvutika na same sex, tumsaidieje?

    Habari zenu wana jukwaa, Mdogo wangu wa kiume 18 anatatizo la kupenda sana wanaume wenzie. Yani anadiriki kusema mwanaume mzuri au handsome amuonapo kavaa mlegezo au anajiweka msafi anampa hamu ya kugegeda kuliko kuona paja la mwanamke. Majuzi hivi alikuja kunitembelea so home hapa kuna...
  2. KABUGHA

    umuhimu wa crude oil kwa uchumi wa Nchi

    Habari zenu wakuu katika pita pita zangu mtaani nilikutana na vijana wanaongelea umuhimu wa crude oil. Basi nkarefer kidogo chemistry yangu nakuona faida zipatikanazo kwa hii kitu kwani ikifanyiwa refining inatoa petrol, diesel na mengine na mabaki yake hutumika kama raw materials kwa chemical...
  3. KABUGHA

    Hivi Katibu Wilaya au kata wa CCM ana mamlaka zaid ya mkuu wa Shule?

    Wakuu mm so mdau sana humu japo nafatilia mwenendo wa Nchi yetu kupitia humu sema leo nimepost baada ya hili tukio kunisononesha sana. Ni hiv huku niliko jimbo la lushoto tarafa ya mlola kuna wanafunz wa shule flani wakati wanakimbia mchakamchaka waliimba nyimbo za mabadiliko na kumsifu...
  4. KABUGHA

    Hivi mabinti 18-22 wanatatizo gani?

    Nlikua naongeza post tu. Mtanisamehe sema nna mpango wa kuanza kupost kama Lara1
  5. KABUGHA

    HASHIMU RUGWE awa rais wa Tanzania 2015-2020

    Kutokana na sera na aina mapya ya siasa alizoonyesha kwa Watanzania ndugu HASHIMU apewe kura zote za ndioooooo
  6. KABUGHA

    Hp probook s-series inasumbua

    Wakuu ninapoiwasha inaniletea message "machine not in committed state" speaker haifanyi kaz hadi niweke headphone pia port zote hazisomi flash au external drive yeyote hata mederm haisomi . Ningependa kujua ina tatizo gani solution kama ipo kabla sijapeleka kwa fundi.
  7. KABUGHA

    Msaada: Tecno H6 Camera isn't functioning

    Ndugu wanajamvi kitecno changu kinasumbua camera ukitaka kupiga picha unaambiwa can't connect to camera. Je tatizo ni software au hardware? Na ntawezaje kulifix. Naomben msaada wenu
Back
Top Bottom