Search results

  1. Segito wa Kalenga

    Hivi kuna mahusiano gani kati ya kuzaa na kufulia?

    Umuofia Kwenu!! Ni matumaini sote tu wazima ama wenye hitilafu za kiafya as kuugua au kuuguliwa nawatia moyo yatapita na mtayashinda majaribu hayo. Back to the topic natamani kujua ni kwa nini watu asilimia kubwa kama ni wanaume,wake zao wakipata tu mimba mambo yao yanaanza kwenda mrama...
  2. Segito wa Kalenga

    Aliyefananishwa na model wa video ya Salome auwawa kikatili

    mkanganyiko huu bado unafatiliwa kwa umakini nitawajuza kinachoendelea ================== Model halisi wa kwenye video hiyo akanusha
  3. Segito wa Kalenga

    Kamba aliyojinyongea mtu au Kabanga ina siri gani?

    Habari zenyu wadau wote wa JF! Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vyema na ujenzi wa Taifa. Mwaka jana nilipata tatizo la ndugu yangu kujinyonga nyumbani kwangu.Kama ujuavyo sisi tuliopo nje ya nchi hutuchukua muda mrefu kupanga mazishi juu ya kusafirisha kurudisha msiba nyumbani. Sasa...
  4. Segito wa Kalenga

    Mboni Masimba ajifungua mtoto wa kiume

    Leo asubuhi nikiwa katika pitapita zangu nimekutana na mtu akimpongeza Mboni kwa kujifungua mtoto wa kiume. Hii imekuja kama suprise kwangu kwani wakati wote wa ujauzito alikuwa kimya tofauti na mtaa wa pili wanavyoinadi mimba ya wifi wa taifa na angalau sasa walimwengu watapunguza kuongea...
  5. Segito wa Kalenga

    Wema and Ommy Dimpoz, Hii nayo ni project?

    Umuofia kwenu!Eem let mi kujitutumua kuuliza kizungu becoz ze lugha ya taifa iz hard for forenaz.Zis nearby for Wema Sepetu and ze msanii zis Ommy dimpoz iz kukaaje?zey kupiga picha tata zea Sauz Africa now adayz Wat iz goin on??Senkyu.
Back
Top Bottom