Search results

  1. M

    Karo juu shule ya Trust St. Patrick Arusha

    It your not comfortable with it, leave it. Period
  2. M

    Hesabu zambeba Mollel Arusha Mjini

    Mtoa mada unajitekenye mwenyewe na kucheka mwenyewe
  3. M

    Mzimu wa Dr Slaa waendelea kuitafuna CHADEMA; Sasa Mbowe na Lowassa Vitani

    Hadhithi njoo, uongo njoo utamu kolea
  4. M

    Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru: Kuapishwa kwa Dr. Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania

    Vile hisia zako zitakutuma ndo hivyo hivyo inaweza kuwa.
  5. M

    Tusidanganyane wana CHADEMA, Slaa asingefikisha kura milioni sita

    Ni kweli kabisa, labda nusu yake, Lowwsa ameleta hamasa ya ajabu ukawa. Na hata kuna majimbo ambayo imechukua decades kuyachukua kama monduli na longido
  6. M

    Kukumbushia mauaji ya sokoine ni sahihi ?

    Magufuli hajitambui na vibaka wa ccm wanamuangalia tu, wanasubiri akibahatika akaingia ikulu wamuonyeshe kuwa wao wananguvu kwenye nchi hii
  7. M

    Updates: Kampeni za mgombea urais kupitia CCM ndani ya jiji la Arusha

    Arusha hata kama tukisubiri, tushaamua, kuazia madiwani, wabunge na uraisi ni ukawa tu
  8. M

    Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    Kama umegundua mpiga picha haonyeshi hata waliohudhuria, amepiga jukwaa kuu tu, kuepusha aibu ya kuangalia umati
  9. M

    Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    Jimbo la vunjo kuna upinzani wa vyama 2. Ni Tlp na nccr mageuzi, wala ccm haipo kwenye ushindani kwa taarifa yako
  10. M

    Wanajaribu kuzuia gharika la UKAWA

    Hapa tulipofika, hata mbowe akitoka ukawa, sisi tunasonga mbele
  11. M

    Lema akosa sera na kuanza kuwalilia wafanyabiashara ndogondogo!

    Aliyeazisha mada anajifurahisha, na inaonekana si mkaazi wa arusha. Katika majimbo ambayo hata chadema isipopiga campaign itashinda ni arusha. Ccm hawana chao huku
  12. M

    PSPF towers: The Pride of Tanzania

    well said, there is no way we can be proud for something helpless to common mwananchi except for few minority. watanzania hatudanganyiki tena na sifa za kijinga. the same people were proposing reducing ter minal benefits to their members, i guess due to current political situation they decided...
  13. M

    James Mbatia: UKAWA ipo imara, haitasambaratika, akerwa na kauli za Magufuli, CCM

    akili zako zinakutosha mwenyewe. Hizo sera kila mwaka zinasomwa na ni tamu kama k.... Ila nani anazitekeleza. Watanzania hatuhitaji kuambiwa habari ya sera kwa sasa, tumechoka, tunahitaji kujua issues zitatekelezwa vipi, na jana alichofafanua pro. Baregu ni namna ya kutekeleza sera za elimu bure...
  14. M

    90% ya wasanii kuiunga mkono CCM kwa hoja za kipuuzi ni dhahiri kuwa hawana uhuru

    Wasanii walio wengi ni darasa la saba, hawajitambui
  15. M

    Hatma ya kura za walimu kwa mgombea urais wa tarehe 25 Oktoba, 2015

    Kwani walimu nchi hii wako wa ngapi wa kukiogopesha chama chetu (ccm)? Let them goo, kama kikwete alivyosema. Tuna mtaji mkubwa wa wapigakura
  16. M

    Magufuli ameanza kazi: Amtosa Chenge hadharani huko Mjini Bariadi

    Kama magufuli si mnafiki angeaza na kikwete na mtoto wake. Pia angetuletea report ya stanbic kwa ile account ya escrow. Akiweza hapo ndo tutajua amejitoa muhanga kupambana na ufisadi. Otherwise ni blabla zilezile tulozoea
  17. M

    Moshi Nimewakubali!! David Mosha shtuka!.

    Moshi ni sheeda, jana nilikuwa huko wanasema kwa moshi upinzani ni kati ya ukawa na TLP, ccm haipo
  18. M

    Baraza la Waislamu Tanzania limemchagua Sheikh Abubakary Zubeiry kuwa Mufti wa Tanzania

    Hivi kazi ya mufti wa tz ni nini. Mara nyingi huwa namsikia akihamasisha amani na kutangaza kuandama kwa mwezi, while shule za bakwata zikiwa zinaongoza mkiani kwa performance.
  19. M

    CCM ikitaja waliobeba Lumbesa Benki ya Stanbic nitaipigia kura

    Hahaha, watanzania na ushahidi!?!? Pesa billion 15 zimetolewa cash, unategemea hela kama hiyo itabebwa na malboro!?
Back
Top Bottom