Search results

  1. N

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Hahahaha unamjua wilee wewe, hafai hata kua katibu kata... Huko alipo ndo anafaa Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app
  2. N

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    We unaijua Arusha ama unaiskia?? Wafanyabiashara hapa walikuwa hawataki kulipa service levy, Wana malimbikizo makubwa ya NYUMA na Sasa huyu mkurugenzi amekuja kuisimamia SHERIA na kukusanya fedha za serikali, wafanyabiashara hawataki... Wanamuundia zengwe hivyo.. sababu tu ya kuisimamia mapato...
  3. N

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Hiyo ni service levy, inapaswa kulipa 0.3%, hiyo sio tax ni ushuru wa huduma
  4. N

    Jiji la Arusha lamkana Mfanyabiashara Chambulo wadai 'amepotosha'

    Chamburo Ile bange yake inampeleka pabaya... Kwenye hili HAYUPO sahihi
  5. N

    Makonda: Ninawajua wanaowalipa vijana kuwatukana viongozi mitandaoni, wakiendelea nitawataja

    Admin naomba edit Makonda wadogo isomeke Makinda wadogo
  6. N

    Makonda: Ninawajua wanaowalipa vijana kuwatukana viongozi mitandaoni, wakiendelea nitawataja

    Hivi karibuni nchini kwetu pamekuwa na utoaji wa maoni kwa uhuru, jambo ambalo ni zuri, lakini sasa uhuru huu umeanza kutumika vibaya, hali ambayo haikubaliki kamwe. Ndugu zangu, Taifa lolote ambalo wananchi wake hawana nidhamu, heshma wala utii kwa mamlaka ambazo zipo madarakani kiuhalali...
  7. N

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Angesema mwanamke, angejisababishia matatizo
  8. N

    P. Diddy kumbe ni mchafu na muovu zaidi ya shetani!!!

    Hahaha ni crip, sema kweli music wa kimarekani una maagani ya kishetani na mambo maovu sana NYUMA ya pazia
  9. N

    Ni maendeleo gani Makonda aliyoyafanya akiwa mkuu wa mkoa wa DSM?

    Nina uhakika Makonda atasimamia haki, hapa Arusha Pana dhuluma kubwa sana na mara nyingine dhulma husimamiwa na viongozi waandamiz. Natarajia Makonda atadhibiti maadili Ili kuokoa nguvu kazi. Wadudu wanavuta sana bange, skanka na kunywa mapombe hovyo. Makonda atadhiniti waizi na upuuzi wa toyo...
  10. N

    Je, ni kweli January Makamba na Maharage Chande waliamuru maji yafunguliwe na kumwagika kwenye bwawa la Mtera?

    Kwani wakati January na Chande wakisema maji yapunguzwe mitambo yote ilikuwa imewashwa??? Mlimwonea January sana na kutaka kumchafua kisiasa kwa maswala haya na mengine... Sasa zigo Hilo hapo akawaachia, pambaneni nalo
  11. N

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    Hubadilika sababu hufuata mwandamo wa mwezi
  12. N

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Shabiby nakwambia haya maoni Yako yakipitishwa utalipia line zangu. Ninazo mbili... Wewe kweli wa kitugeuka sisi Ili tukamuliwe... Nimesikitika sana
  13. N

    Shabiby analipa kodi yoyote kwenye mshahara na posho zake?

    Shabibu habit hela zako hata hazinufaishi huku nje, wanawake wenyewe unapenda hao hao wanasiasa mwee wenye mahela yao, umezaa na kaserina kwanini usingezaa na kina mwajuma ndala ndwefu huku manzese hela hata ikasambaa huku mitaan. Mazese tukapata kamwarabu cha gairo. Shabibu hata videmu vya...
  14. N

    Bado CCM hakujatulia. Naziona teuzi na tenguzi nyingine muda si mrefu

    Jokate hapo ni sehemu sahihi, Tena Jokate baadae aje awe waziri kabisa. Kule kwa wamama wampe mchaga mmoja... CCM msiwatenge wachaga
  15. N

    Tunachohitaji hapo ni majibu (Engineer, Mbunge, Mganga Mkuu, Afsa Ardhi, RPC)

    Asanteee. Thank you dada. Hayo ndio tunayoyategemea kutoka kwake. Pia utalii na usafi wa jiji. Arusha mjini DC wake bado hajielewi, anadhan yeye bado ni afsa tarafa. Kaz yake anawakinda watendaji wa kata na mitaa wale wazembe na wenzie sababu ni marafiki zake. Sijui kwanini serikali haioni na...
  16. N

    Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

    Papaa Makala Mobimba, case closed[emoji3][emoji3]
Back
Top Bottom