mimi nadhani kuna wau wanakosa ya kusema, mmoja wao akiwa huyu bwana Juma Nkamia.
hajui kuwa jamii forums ndio imekuwa chanzo mahususi cha habari kwa sasa?
zaidi, watu hawataki habari ambazo zimepunguzwa baadhi ya vitu na fulani na fulani viondolewe, wakati mwingine waamue ni nini cha kusikika...
kwa kweli penye miti hukosa wajenzi.
Daktari huyu alijitoa kwa moyo wake wote na kutaka kufanya mapinduzi ya kitabibu kwa kuwasaidia watanzania sisi maskini kupata tiba ambazo mpaka kesho wengi wetu tunakufa kwa kushindwa kupata nauli na malipo India.
sifahamu ni kwa nini hasa waliamua kumuondoa...
kwa kweli penye miti hukosa wajenzi.
Daktari huyu alijitoa kwa moyo wake wote na kutaka kufanya mapinduzi ya kitabibu kwa kuwasaidia watanzania sisi maskini kupata tiba ambazo mpaka kesho wengi wetu tunakufa kwa kushindwa kupata nauli na malipo India.
sifahamu ni kwa nini hasa waliamua kumuondoa...
i have to admit, at first, i thought the article will have no truth at all.
after reading, i came to see some issues that make change my mind about the article, and i am now going to share it with my friends that they see what i saw in this article.
thank you for sharing, it looks like someone...
Nafikiri ni mwanzo mzuri, hata ivyo bei ya umeme bado ipo juu sana ukilinganisha na ugumu na gharama za maisha.
Ninachoona ni kwamba, kwa kupunguza bei ya umeme kutasaidia gharama ya bidhaa nyingi zinazotegemea umeme kwa uzalishaji ama uaindikaji zitapungua bei.
Zaidi, ya nishati kwa ujumla...
Mambo uliyosema ni ya msingi, ila pa kusemea ni huko wanapokusanya maoni ya katiba mpya.
Kimsingi kama utayasema kule na hayatawekwa basi jamaa hawafanyi kazi inayotakiwa.
Usiwe na wasiwasi wakati mwingine mgonjwa anahitaji kupumzika hata hivyo, hospitali zina taratibu zake hivyo usiwe na wasiwasi sana, atakuwa salama kama wao wamewaambia hivyo.
Na kama kungekuwa na kitu cha nyie kuwa na wasiwasi juu yake basi mngeambiwa..
Nina wasiwasi na UDOM kuwa juu ya Mzumbe.
Ni sifa zipi zilitumika kuwashindanisha..
Mara nyingi sifa zinazotumika ni kama zifuatazo:
Number of publication
Number sited documents
Number of reseach done
Quality and employability of the students
Na nyingine nyingi..
Sasa sioni ni kwanini UDOM iwe...
Hizi data unatupa umefanya lini utafiti?
Na baada ya utafiti wako, ripoti iko wapi?
Wakati mwingine tuache ushabiki, sio kwa kuwa wewe huutaki muungano basi vijana kwa kiwango hicho ulichotaja nao hawataki muungano!!
Mimi nafikiri hukutakiwa kumshambulia alietoa mjadala, nadhani kataja NSFF pengine kwa kuwa michango yake inakusanywa na NSFF.
Wakati mwingine muwe mnawasikiliza wateja na sio kuwashambulia kwa hoja nyingine, wewe jibu kwa hoja na sio kuleta mambo mengine.
Kwa ufupi ni kwamba mchangiaji...
Huyu jamaa asitutanie, alitupa siku arobaini na hajafanya chochote.
Kuna ninibcha kufikiria ama anawaza cha kusema, ameshasahau alichofanyiwa hadi akae na kufijiria cha kusema?
wakati mwingi tunapopata matatizo tunahangaika kutafuta ni nani wa kumlaumu labda ni serikali ama raia wa nchi kwa kufanya kisicho sahihi mpaka tatizo fulani kutokea. naweza kutoa mifano kadhaa na sisi wanajamii tukazungumzia na kuona ni nani hasa anaistahili lawama husika.
kwanza, janga la...
thank you for sharing such a wonderful and helpful information, surely, if most of us follow our instinct in decisions making we will be somewhere but if we follow some of defined ways of making decision we will be in a place/position that we wanted to be.
i second you when you said most of...
kazi ipo, hii nchi inakosa ungalizi kkisi kwamba mtu unajiamulia kufanya maamuzi ambayo yanaathiri maisha ya mtu moja kwa moja na hakuna anasema kitu?
nafikiri kuna haja ya haya mambo kuangaliwa vema na vyombo husika..
mafuta yanapatikana katika baadhi ya vituo, mfano BP kuna mafuta ila tatizo ni foleni ndefu sana.
ukiangalia kwa vituo ambavyo wanaingiza mafuta wenyewe tunategemea wawe na mafuta ila kwa wale wanaonunua kwa hawa wanaoingiza mafutan kwa kweli wana haki ya kutouza maana wao wanategemea bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.