Search results

  1. muqawama

    Ahadi imetimia: Israel yashambuliwa

    Soma Wingrod Commission iliyoundwa na Bunge la Israel kuchunguza Kwanini Israel Ilishindwa kupambana na Hizbullah mwaka 2006. Vita iliyopelekea Hizbullah kuweza kuyafukuzia Mbali majeshi ya Israel kwenye Maeneo waliyokuwa wakiyatawala huko Lebano. [emoji1371]http://bit.ly/2UoEGpz
  2. muqawama

    Ahadi imetimia: Israel yashambuliwa

    NIKUKUMBUSHE Wiki mbili zilizopita ndege ya Israel ilishambulia nyumba huko Syria na kuua Vijana wa wawili raia wa Lebanon na Wafuasi wa Hizbullah. Aidha ndege zisizo na Rubani (Drones) ziliingia aga ya Lebanon katika Mji wa Dhahiya ilipo ngome ya #Hizbullah. Ndege moja ilianguka na nyingine...
  3. muqawama

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Udhaifu wetu... ni wa Kiakili na Azma kuliko wa Kiuwezo na Rasilimali. Kukataa kuwa dhalili haizingatii uwezo wa Fedha wala Rasilimali ya Kiuchumi. Nikupe mfano ili uelewe. Taifa la #Saudi_Arabia ni Taifa Tajiri kwa mara nyingi ukilinganisha na Mataifa kama Iraq na Syria kama kigezo ni uwezo...
  4. muqawama

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Hujasoma Makala... hilo soma ndani utajua ninachokusudia... Sijasema tunaweza najaribu kutafakari... Udhaifu wetu kama Taifa?
  5. muqawama

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Tizama Jicho Sahihi NDEGE YA TANZANIA NA FUNZO LA KUTEKWA MELI YA IRAN Mwanzoni mwa mwezi Julai 4, 2019 Askari wa Jeshi la Wanamaji la Uingereza waliisimamisha meli ya mafuta ya Iran katika lango Bahari la Jabal al Tariq kwa madai kwamba ilikuwa inaelekea Syria. Duru za Uingereza zilidai...
  6. muqawama

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    NDEGE YA TANZANIA NA FUNZO LA KUTEKWA MELI YA IRAN Mwanzoni mwa mwezi Julai 4, 2019 Askari wa Jeshi la Wanamaji la Uingereza waliisimamisha meli ya mafuta ya Iran katika lango Bahari la Jabal al Tariq kwa madai kwamba ilikuwa inaelekea Syria. Duru za Uingereza zilidai kwamba meli hiyo ya mafuta...
  7. muqawama

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    NDEGE YA TANZANIA NA FUNZO LA KUTEKWA MELI YA IRAN Mwanzoni mwa mwezi Julai 4, 2019 Askari wa Jeshi la Wanamaji la Uingereza waliisimamisha meli ya mafuta ya Iran katika lango Bahari la Jabal al Tariq kwa madai kwamba ilikuwa inaelekea Syria. Duru za Uingereza zilidai kwamba meli hiyo ya...
  8. muqawama

    Vita na Iran inahitaji akili za mwendawazimu

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wiki hii imezindua mfumo wa Makombora yenye kuhamishika (mobile) ya Ulinzi yaliyopewa jina Bavar-373. Makombora haya yanetengenezwa Tekinolojia ya ndani ya Taifa hilo na kwaa mikono ya raia wazalendo wa Iran bila kushirikisha Taifa lolote la nje. Uwezo wake...
  9. muqawama

    ๐—๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ถ limetangaza kuangusha ndege ya Marekani

    ๐—๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ฌ๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ป๐—ฒ imetangaza ku๐—ฑ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ถ๐—ป๐—ด๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐˜€๐˜‚๐˜€๐—ถ ๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฟ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ปi ๐—ฅ๐—ค-9 ๐—›๐—ถ๐—ถ ๐˜€๐—ถ๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐—”๐—ป๐˜€๐—ฎ๐—ฟ๐˜‚๐—น๐—น๐—ฎ๐—ต ๐—ธ๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—ป๐—ด๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜‡๐—ผ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฟ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—๐—ฒ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—น๐—ฎ ๐— ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ๐—ป๐—ถ. Ukitaka kujua Ubora wa ndege hiyo tuifahamu...
  10. muqawama

    Kumekucha: Marekani yadai kuiangusha ndege ya Irani isiyo na rubani. Iran yakanusha ndege yao kudunguliwa

    Mwezi June 20, 2019 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya kiislamu *IRGC* walidungua ndege ya Kisasa kabisa ya Kijasusi isiyo na Rubani ya Marekani aina ya *RQ-4A Global Hawk BAMS-D* kwa Kombora la Balistiki. Dunia nzima ilishtushwa na kushangazwa na umahiri huo wa Iran. Serikali ya Raisi Donald...
  11. muqawama

    Video yamuumbua Trump na uongo wake wa kulipua ndege ya Iran

    Mwezi June 20, 2019 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya kiislamu *IRGC* walidungua ndege ya Kisasa kabisa ya Kijasusi isiyo na Rubani ya Marekani aina ya *RQ-4A Global Hawk BAMS-D* kwa Kombora la Balistiki. Dunia nzima ilishtushwa na kushangazwa na umahiri huo wa Iran. Serikali ya Raisi Donald...
  12. muqawama

    Iran yaongoza nafasi ya kwanza kwenye sayansi na utafiti wa anga mashariki ya kati

    Taasisi ya kimataifa ya *Scimago Institutions* inayopima, kuhakiki na kulinganisha tafiti na Machapisho (Research Reports) za Uhandisi katika Sayansi na Teknolojia imetangaza katika Ripoti yake ya Mwaka 2018, *Jamhuri ya Kiislamu ya Iran* inaongoza kwa kushika Nafasi ya Kwanza katika nchi za...
  13. muqawama

    Iran: Vikwazo vipya vya Marekani vyaelekezwa kwa Ayatollah Ali Khamenei

    Unakosea sio Kiongozi wa dini ya Kiislamu Iran. Nafasi yake ni Mkuu wa Nchi. Raisi, Mahakama, Mabunge yote Mawili, Majeshi yote ya Usalama na Ulinzi vipo chini yake. Tofauti kabisa na ilivyo katika Siasa za Kisekula ambapo dola inaendeshwa na Mihimili mitatu na Raisi ndiye Amiri Jeshi mkuu.
  14. muqawama

    Iran: Vikwazo vipya vya Marekani vyaelekezwa kwa Ayatollah Ali Khamenei

    Ayatollah ni Cheo kinachohusiana na Ubobeaji katika Shariah za Kiislamu (Islamic Jurisprudence) KHAMENEI ni jina la kiongozi wa sasa wa Kiroho wa Iran ambaye amechukua madaraka hayo baada ya kifo cha Mtangulizi wake KHOMEIN aliyefariki mwaka 1989. Iran ni taifa la kiislamu linalofuata mfumo...
  15. muqawama

    Iran: Vikwazo vipya vya Marekani vyaelekezwa kwa Ayatollah Ali Khamenei

    Ukitaka kujua Amerika hawajui kitu duniani sikiliza HOTUBA ya Nimeisikiliza hotuba yake nikacheka sana. Yaani Ikul ya Marekani ni wajinga sana yaani wamemuandali Raisi wao hotuba wameshindwa kutofautisha kati ya Khomein na Khamenei. Trump ametangaza Wanamuekea Vikwazo Khomein ambaye amefariki...
  16. muqawama

    Saudi yaangukia pua uingereza yaogopa kushambulia Iran

    Nimependa maelezo yako. Ulivyojieleza lakini napenda utofauti Mambo yafuatayo #1). TOFAUTI YA UKOO NA DINI YA UISLAMU Al-Saudi, Al Maktoum, Nahyan hizi ni Koo zinazotawala Nchi za Saudi Arabia, Qatar Imarati na Kuwaiti. Koo hizi hazina Dini zinamsappoti yeyote endapo maslahi yao yanatimia ndio...
  17. muqawama

    Saudi yaangukia pua uingereza yaogopa kushambulia Iran

    Siku chache baada ya Jeshi la walinzi wa Mapinduzi matukufu ya Kiislamu ya Iran (IRGC) kuidungua ndege ya kijasusi ya Marekani isiyo na Rubani MQ4-C, ndege ya kisasa zaidi ya kijasusi duniani na ya gharamu kubwa kuliko zote. Rais wa Marekani Donald Trump alikurupuka muda mfupi na kutoa Amri...
  18. muqawama

    Rais Trump alitaka kuishambulia Iran, ghafla akasitisha mpango huo

    Amerika hawana huruma na Binaadamu wala hajui haki za Binaadamu. Amerika ni wauaji na wamwaga damu wanaoongoza Duniani Nenda kasome Takwimu Marekani ndio taifa pekee duniani lililowahi kutumia silaha za nyuklia kwa Binaadamu huko Hiroshima na Nangasaki (Japani) waliuwa watu 129,000โ€“226,000...
  19. muqawama

    Irani yaishangaza dua

    Jeshi letu...ni jeshi lipi lile tunaloona kwenye TV wakupasu matofali kifuani na Kulalia Msumari au la kuvuta Pikipiki kwa Meno na Kuchezea Nyoka. Jeshi letu lipi lile ambalo la lilitangaza kupambana na Maandamano ya Mange kimambi. Bro Jeshi lipi hilo??? Unalosema linaweza kidungua ndege ya...
  20. muqawama

    Rais Trump alitaka kuishambulia Iran, ghafla akasitisha mpango huo

    This is what your Narrow mind dictate and becouse all rational people cannot follow a rotten and stereo typed mind we leave you with you mindset.. But we would like to remind you Islam and Muslims in their dealings are binded to follow stipulated Quraanic Cannons and Traditions regulations from...
Back
Top Bottom